Habari wanajamii,
Natafuta partner au mwekezaji kwa ajili ya kuanzisha biashara ya kuingiza na kusambaza three-wheelers (bajaj) pamoja na magari madogo ya biashara hapa Tanzania.
Kwa sasa tayari kuna mawasiliano na wazalishaji wa nje ya nchi na wameonyesha utayari wa kufanya mazungumzo ya ushirikiano. Lengo ni kuanza kwa order ndogo ya magari ili kupima soko, kisha kuongeza idadi kadri mahitaji yatakavyoongezeka.
Mpango wa biashara unahusisha:
• Kuagiza three-wheelers kutoka nje
• Kuuza kwa mfumo wa installment (mkopo) kwa madereva na wafanyabiashara wadogo
• Kujenga mtandao wa wateja na kupanua biashara kadri soko linavyokua
Kama unavyojua, soko la bajaj na magari madogo ya biashara Tanzania linaendelea kukua sana kwa sababu yanatumika kwenye:
• Mtaji wa kuanzia
• Ushauri wa biashara
• Ushirikiano wa muda mrefu kwenye kukuza biashara
Kama una interest ya kuwekeza au kushirikiana kwenye hii opportunity, tafadhali piga 0618928236 kwa mazungumzo zaidi.

- Usafiri wa abiria
- Usafirishaji wa mizigo
- Biashara ndogo ndogo