Kwenye Sector ya usafiri kuna Ma mafia wengi sana. I just saw picha ya gari la mzigo tena loose cargo inasafirisha wahamiaji haramu nikashangaa sana.
Yaani gari ukiona mzigo ni bomba za maji zimewekwa kwa kichanja. Ila ndani kuna chumba raia wamepumzika wanasafiri na maisha yanaendelea.
Sasa...
Niaje,
Nilitumiwa ujumbe huu kwenye simu yangu;
ZUIAUHALIFU
Jihadhari na Usafirishaji Haramu wa Binadamu. Watu wanatumikishwa, wanateswa, wanatolewa figo na kuuawa.
Tushirikiane kupiga vita uhalifu huu.
...
Nani mwingine amepata ujumbe kama huu kwenye simu yake?
OVA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.