usafirishaji haramu binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Janeth Ndimbo afikishwa Mahakamani kwa mashtaka 8 ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Mkazi wa Sinza Mori, Janeth Ndimbo (30) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka manane ya usafirishaji haramu wa binadamu. Amefikishwa mahakamani hapo leo Agosti 4, 2026 na kusomewa kesi ya uhujumu uchumi, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya. Mshtakiwa...
  2. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii biashara ya usafirishaji wahamiaji inafanywa na matajiri wakubwa wenye connection na vigogo

    Kwenye Sector ya usafiri kuna Ma mafia wengi sana. I just saw picha ya gari la mzigo tena loose cargo inasafirisha wahamiaji haramu nikashangaa sana. Yaani gari ukiona mzigo ni bomba za maji zimewekwa kwa kichanja. Ila ndani kuna chumba raia wamepumzika wanasafiri na maisha yanaendelea. Sasa...
  3. mrangi

    JamiiForums Tanzania Nani amepata ujumbe wa kuzuia uhalifu wa usafirishaji haramu wa binadamu?

    Niaje, Nilitumiwa ujumbe huu kwenye simu yangu; ZUIAUHALIFU Jihadhari na Usafirishaji Haramu wa Binadamu. Watu wanatumikishwa, wanateswa, wanatolewa figo na kuuawa. Tushirikiane kupiga vita uhalifu huu. ... Nani mwingine amepata ujumbe kama huu kwenye simu yake? OVA
Back
Top Bottom