Nauliza kwa ambae amewai fanya usahili Gaming board Tanzania, written yao ni multiple choice au kuandika yaan maelezo mengi mengi au kwa mwenye idea huwa zinakuaje?
Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote.
Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea.
Watu wanahojiwa karibu masaa matatu...
Hivi wakuu Kuna post zilitangazwa na PSRS yaani utumishi kutoka TRC position ya Senior Commercial Officer na deadline ilikua October mwaka jana ila mpaka Leo hakuna call for interview shida itakua ni nini? wakati TRC nao wanacall watu kwa interview lakini mpaka Sasa kwa hiyo post kimya,
na pia...
Ni wiki sasa tangu walimu waambiwe wa confirm their current address lakini mpaka mda huu kimya, Kuna watu hawaendelei na majukumu Yao kisa kusubiri hizo interviews ,kwa upande wa afya haikuchukua mda mrefu je ni kwamba wamezidiwa na idadi au ?
Hello,
Kwa walimu wenzangu na wenye experience na interview za utumishi, tupeane updates.
Kama ni mwalimu wa Geography inamaana nijiandae vipi? Nisome course za Education like EP, EP, Psychology,,,au nisome subject matter.
Yaani nijiandae na Geography contents. Najua interview Kwa walimu ni...
Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na kufanyiwa usahili.
Anasema mfumo wa sasa hauna uwazi kwani Rai hawezi kusoma CV za watu wote wanofaa...
Wakuu habari,
Nimeitwa usaili wa IT Security hivyo nimekuja kuomba muongozo ikiwezekana possible za maswali. Kuna hatua tatu, usahili wa paper, practical na oral. Je nifanyaje niweze kufaulu?
Natanguliza shukrani
Kwanini baada ya kupata ajira za mkataba kupitia utumishi wa umma, inakuwa ngumu sana kupata ajira za kudumu hata baada ya kufaulu katika usaili mara nyingi?
Je, kuna sababu za kipekee au mifumo inayozuia mchakato huu wa kuajiriwa kwa njia ya kudumu?
Wakuu wadogo zenu tupo kwenye usaili idara za usalama kipindi hichi.
Tunaomba muongozo muliwahi kupita au mpo kwenye idara hizi, tunafahamu kuna undugu kwenye taasisi za usalama lakini hatuchoki kuomba msitukatishe tamaa.
Habari,
Je, kuna ukweli wowote kuhusiana na sms iliyotumwa tarehe 22/08/2023 kuhusiana na usahili?
sms inasomeka hivi:
"Tafadhali fika VETA Chang'ombe kwa usahili tarehe 25/08/2023 saa moja asubuhi ukiwa na kitambulisho kati ya hivi, NIDA/mpiga kura/leseni ya udereva/barua ya serikali ya mtaa...
Habari ndugu wana JF leo hii niko hapa kuilalamikia serikali na sekta zingine binafsi juu ya hela tunazokamuliwa watoto wa wakulima pindi tunapofanya maombi ya kazi na kufuatilia masuala ya usahili...mimi mwenyewe nikiwa muhanga wa kadhia hii nakumbuka mwaka juzi nikiwa mkoani yalitoka maombi ya...
Habari zenu wanajamvini,
Naomba kuuliza kuhusiana na matokeo ya usahili wa mahojiano ilifanyika tarehe 19/09/2022 chuo Cha Tengeru Institute of community development kwa kada mbali mbali, je majibu yameshatoka toka utumishi?
Na waliofanikiwa kupata NAFASI je wameitwa kwa simu au Bado...
Habari za wakati huu my virtual family JF
Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance
Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.