Nimehudhuria usaili kadhaa wa utumishi kwa kazi nilizoomba kupitia ajira portal wiki hii. Ni kazi za ICT officers.
Kwenye mchujo (written interview) wanauliza maswali ambayo ni ya wanafunzi, yale maswali yanayohusisha kukariri vitu vingi na terminologies.
Wiki iliyoisha tulikamilisha usahili wa sensa lakini Kuna maajabu ambayo mimi niliyashuhudia kwa macho yangu kwenye majina ya sensa yaliyotoka yalikuwa Kama 38 kata nzima wakati tunaelekea kumaliza zoezi la sensa ghafla likaibuka kundi la walimu wa shule jirani na ofisi ya kata ambapo tulikuwa...
Wakuu habari,
Nimeanzisha huu uzi nikitambua kuwa wapo ambao wameshafanyiwa usahili katika nafasi hii ya msimamizi wa TEHAMA katika ajira za muda za sensa zilizotangazwa.
Hivyo naomba msikunje mioyo wandugu, Tuambizane yaliyojiri huko!
Ahsanteni
Habari za muda huu wapendwa, poleni na majukumu mbalimbali katika kulijenga taifa letu.
Lengo la uzi huu ni kujuzana ni maswali ya namna gani yanaulizwa katika interviews za tutorial assistant kwa sekta ya Elimu.
Kama ulishawahi kufanya interview utumishi na ukafaulu au vinginevyo basi...
Wapendwa samahani sana,
Naomba kufahamu kuhusu zile nafasi za kazi kwa wake waliotuma maombi Aprili 2022, ni kweli majina yalishatoka?
Usahili tayari umefanyika na wameingizwa kazini?
Habari Za Mchana,
Poleni na majukumu na mihangiko ya Kila Siku na Kwa wale watakaofanya Usahili kesho niwatakie Usahili Mwema.
Sasa nirudi Kwenye topic, hili suala nimekua nikiliangalia Sana kwenye Usahili ukienda lugha inayotumika kuwasahili ni kiingereza. Hivi wanavyofanya hawatendi haki...
Kwa wanaohitaji usafiri wa kwenda kwenye usahili wa UTUMISHI (TRA) DODOMA nakurudi DAR tafadhali wasiliana nasi mapema 0719250926 fanya BOOKING mapema nafasi zimebaki chache
Wakuu kama mada hapo juu.
Tumefika saa mbili lakini zoezi linaendelea hadi mda huu. Wanataka imei number na wamesisitiza hawataki simu za shangazi uje nayo leo na siku za kazi unakuja nq samsung yako s2.
Uhakika wa chaji kutunza ndio msingi wa zoezi
Kama hili nililosikia lina ukweli basi hali ni tete sana katika utaratibu wa ajira sahizi. Imagine nafasi ziko 350 tu ila raia wanaowania kinyanganyiro wanakaribua 20K..
Niwatakie kila la heri wadogo zangu najua sio kosa lenu ila ndio hali ya maisha ilipofikia hapo!
Wale wenye uwezo msisite...
Habari za wakati ndugu zangu, natumaini mu wazima. Bila kupoteza muda naomba nielekee kwenye hoja ya msingi.
Leo Tume ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) wametoa orodha ya majina ya watu waliofuzu kwenda Dodoma kufanya usahili wa awali wa maandishi (amplitude test) siku ya tarehe 8...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.