usahili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    USAHILI WA WAKALA WA MAJENGO TANZANIA (TBA)

    Kwa wale walio wahi kufanya usahili wa TBA au wenye uzoefu na mambo ya TBA, msaada wenu tafadhari....! Natanguliza shukrani..!!
  2. UTUMISHI: Tabia ya kutoa tangazo halafu mnaita watu kwenye usahili baada ya miezi tisa mkome.

    itaendelea wiki ijayo..
  3. P

    Usaili Gaming Board Tanzania

    Nauliza kwa ambae amewai fanya usahili Gaming board Tanzania, written yao ni multiple choice au kuandika yaan maelezo mengi mengi au kwa mwenye idea huwa zinakuaje?
  4. Wagombea wa Upinzani wamewekwa Ofisi ya Wilaya siku 3 kwa mahojiano, Masasi

    Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote. Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea. Watu wanahojiwa karibu masaa matatu...
  5. Kwa nini Utumishi wanachelewa kuita waombaji kwenye usahili?

    Hivi wakuu Kuna post zilitangazwa na PSRS yaani utumishi kutoka TRC position ya Senior Commercial Officer na deadline ilikua October mwaka jana ila mpaka Leo hakuna call for interview shida itakua ni nini? wakati TRC nao wanacall watu kwa interview lakini mpaka Sasa kwa hiyo post kimya, na pia...
  6. Utumishi mmegoma kutoa majina na vituo vya usahili kwa walimu

    Ni wiki sasa tangu walimu waambiwe wa confirm their current address lakini mpaka mda huu kimya, Kuna watu hawaendelei na majukumu Yao kisa kusubiri hizo interviews ,kwa upande wa afya haikuchukua mda mrefu je ni kwamba wamezidiwa na idadi au ?
  7. Walimu wenzangu mnajiandaaje na Usahili?

    Hello, Kwa walimu wenzangu na wenye experience na interview za utumishi, tupeane updates. Kama ni mwalimu wa Geography inamaana nijiandae vipi? Nisome course za Education like EP, EP, Psychology,,,au nisome subject matter. Yaani nijiandae na Geography contents. Najua interview Kwa walimu ni...
  8. G

    Usaili wa Afisa Mipango Daraja II unakuwaje?

    Naomba kujuzwa maswali ya Afisa Mipango daraja la pili yakoje written na oral?
  9. E

    Naomba kujua usahili afisa kilimo daraja la pili kwa Dar unafanyikia wapi tarehe 12/05/2023

    Naomba kujua usahili kada ya afisa kilimo kwa Dar unafanyikia wapi tar 12/05/202411
  10. Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!

    Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na kufanyiwa usahili. Anasema mfumo wa sasa hauna uwazi kwani Rai hawezi kusoma CV za watu wote wanofaa...
  11. J

    Kwa waliowahi kufanya usaili wa IT Security huko ajira portal msaada wa muongozo

    Wakuu habari, Nimeitwa usaili wa IT Security hivyo nimekuja kuomba muongozo ikiwezekana possible za maswali. Kuna hatua tatu, usahili wa paper, practical na oral. Je nifanyaje niweze kufaulu? Natanguliza shukrani
  12. M

    Kwanini baada ya kupata ajira za mkataba UTUMISHI, inakuwa ngumu kupata ajira za kudumu hata baada ya kufanya usahili na kufaulu mara nyingi?

    Kwanini baada ya kupata ajira za mkataba kupitia utumishi wa umma, inakuwa ngumu sana kupata ajira za kudumu hata baada ya kufaulu katika usaili mara nyingi? Je, kuna sababu za kipekee au mifumo inayozuia mchakato huu wa kuajiriwa kwa njia ya kudumu?
  13. W

    Msaada wa aina ya maswali wanayouliza usaili wa Uhamiaji

    Wakuu wadogo zenu tumeitwa usahili wa uhamiaji tunaomba mwongozo muliowai kupita au mupo kweny taasisi ya uhamiaji
  14. G

    Majina ya usahili Uhamiaji tayari?

    Wakuu kuna yoyote anayefahamu mchakato wa usahili wa uhamiaji anijuze nasikia majina yametoka
  15. G

    Mliowahi kupita kwenye idara ya Uhamiaji na Magereza tunaomba uzoefu wenu

    Wakuu wadogo zenu tupo kwenye usaili idara za usalama kipindi hichi. Tunaomba muongozo muliwahi kupita au mpo kwenye idara hizi, tunafahamu kuna undugu kwenye taasisi za usalama lakini hatuchoki kuomba msitukatishe tamaa.
  16. D

    Kuna ukweli kuhusu SMS ya usahili kutoka KCB?

    Habari, Je, kuna ukweli wowote kuhusiana na sms iliyotumwa tarehe 22/08/2023 kuhusiana na usahili? sms inasomeka hivi: "Tafadhali fika VETA Chang'ombe kwa usahili tarehe 25/08/2023 saa moja asubuhi ukiwa na kitambulisho kati ya hivi, NIDA/mpiga kura/leseni ya udereva/barua ya serikali ya mtaa...
  17. Daah watoto wa masikini tunaendelea kukamuliwa visenti vyetu kwenye usahili na maombi ya ajira ambazo hatuna uhakika wakupata

    Habari ndugu wana JF leo hii niko hapa kuilalamikia serikali na sekta zingine binafsi juu ya hela tunazokamuliwa watoto wa wakulima pindi tunapofanya maombi ya kazi na kufuatilia masuala ya usahili...mimi mwenyewe nikiwa muhanga wa kadhia hii nakumbuka mwaka juzi nikiwa mkoani yalitoka maombi ya...
  18. Majibu ya usahili wa kada mbalimbali Tengeru Institute of community development Yalishatoka?

    Habari zenu wanajamvini, Naomba kuuliza kuhusiana na matokeo ya usahili wa mahojiano ilifanyika tarehe 19/09/2022 chuo Cha Tengeru Institute of community development kwa kada mbali mbali, je majibu yameshatoka toka utumishi? Na waliofanikiwa kupata NAFASI je wameitwa kwa simu au Bado...
  19. Usahili Tutorial Assistant-ICT

    Ndugu ambae amewahi kuhudhuria intervew ya tutorial assistant kada ya ICT naomba anisaidie sample ya maswali written na oral pia...shukran
  20. Usahili: Tutorial Assistant, Kuna baadhi ya mambo kuhusu written interview ningependa kufahamishwa

    Habari za wakati huu my virtual family JF Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…