usajili wa selemani mwalimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ahmed alijua usaliti wa selemani mapema, hakumtaja kwenye kikosi

    Ahamed Ally aliotea mapema usaliti wa Selemani Mwalimu kwenda Yanga, hakumtaja kwenye kikosi kilichofanya vizuri na simba msimu uliopita.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Aliyemwelekeza Ahmed Ally kumtangaza Seleman Mwalimu anapaswa kujiuzulu mara moja pake Simba ni mhuni

    Sina mashaka kabisa na ninachokisema.Huyu aliyempa maelekezo msemaji wa Simba anapaswa kuondoka pale Simba mara moja. Inaonekana ni mpango wa kuidhalilisha timu uliopangwa na upande wa pili na umeenda sawa sawia. Mtu aliyempa uhakika Ahmed kwamba wamemalizana na Wydad kuhusu Seleman,huyu ndiye...
  3. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba ni ugonjwa usiosikia dawa na kamwe hautopona. Sakata la usajili wa Selemani Mwalimu miongoni mwa mifano

    Uongozi wa Simba unaendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zimeanza kuibua maswali mazito miongoni mwa mashabiki wa klabu hiyo. Miongoni mwa maeneo yanayoonekana kuwa na changamoto kubwa ni namna uongozi unavyofanya maamuzi, mawasiliano ya ndani na utekelezaji wa mipango ya usajili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…