Sina mashaka kabisa na ninachokisema.Huyu aliyempa maelekezo msemaji wa Simba anapaswa kuondoka pale Simba mara moja.
Inaonekana ni mpango wa kuidhalilisha timu uliopangwa na upande wa pili na umeenda sawa sawia.
Mtu aliyempa uhakika Ahmed kwamba wamemalizana na Wydad kuhusu Seleman,huyu ndiye anaipigisha shot Simba na huu ni mwanzo tu.
Tuliona jinsi walivyoanza kuvutana kwenye mambo ya kuitisha vikao hadi kutuonesha changamoto zao siku ya Simba ambapo mwekezaji aliandaliwa hotuba na mtu mpuuzi kabisa,isiyo na maslahi kwa wanasimba ila iliyolenga kuwafanya mashabiki wa Simba watu wasio na akili.
Soma https://www.jamiiforums.com/threads...ma-ataichezea-simba-msimu-wa-2026-27.2461609/
Mwisho nitoe wito safisha safisha kubwa ifanyike pale Simba kuanzia kwa Mo na watu wake woote! Pia Mangungu na watu wake woote!
Kifupi tunataka sura mpya damu kama akina Jayrutty na wengine ambao hawapo kabisa hapo Simba kwa sasa.
Kwa sasa mtu pekee asiye na utapeli wala uswahili ni Jayrutty.