usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    Je, kwa Usajili waliofanya Yanga ni sahihi kumuachia Azizi Ki?

    Ni wazi kwamba Azizi ki anaelekea South Africa. Je, Yanga wako sahihi kumuacha aondoke au wanakosea?
  2. GENTAMYCINE

    Dharauni Usajili wetu Simba SC kwa kadri muwezavyo ila Kiufundi Simba SC inasajili kwa matokeo endelevu na ya Mafanikio kwa miaka mingi ijayo

    Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano. Tusije Kukimbiana...
  3. Mangi Meno

    Usajili wa panic wa Simba: Yanayoendelea mitandaoni

    Ewe mwana Lunyasi mwenzangu, weka kituko kilichopo mtandaoni kuhusi usajili wetu wa kupaniki. Wakati wa usajili, Sifa anapewa Mo ila ligi na michuano mbalimbali ikianza, Lawama zote anapewa Mangungu. Blog maarufu ya soko Afrika yakashfu usajili wa kukurupuka wa wana lunyasi. Mwingine huyo...
  4. ngara23

    Simba hakuna usajili ni kurundika wachezaji tu.

    1. MUKWALA- ametoka Asante Kontoko Imeshika namba 6 ligi ya Ghana. 2. AHOUA Ametoka Stella Adjame Imeshika namba 6 ligi ya Ivory coast 3. AUGUSTINE. Ametoka Rivers united ya Nigeria Imeshika Namba 8 4. JOSHUA MUTALE. Ametoka powe Dynamo ya Zambia nafasi ya 6 5. VALENTINO MASHAKA katika...
  5. M

    Tajiri MO hebu punguza Sifa katika kipindi hiki cha Usajili, unataka makombe yote ubebe wewe? Bienvenu Valentin NOMA

    Bila ya Salamu. Huwa najiuliza nilichelewa wapi kujiunga na Simba Sc? Mpaka leo nikifikiria nakosa majibu. Kifupi katika hiki kipindi cha wiki mbili nimeshuhudia chama langu jipya likifanya usajili wa kufuru. Magugu na mapandikizi yaliyokuwa yakihujumu timu yetu yametolewa na kuletwa vyuma...
  6. HONEST HATIBU

    Kiungo Debora Fernandes Mavambo atambulishwa kuwa mchezaji moya wa Simba

    Simba imemtambulisha kiungo Debora Fernandes Mavambo kutoka Mutondo Stars ya Zambia kwa mkataba wa miaka mitatu. Debora mwenye umri wa miaka 24, ana uraia pacha Gabon na Congo Brazaville, na timu ya taifa anayoitumikia ni Gabon. #Usajili #SimbaSC #DeboraFernandes
  7. Labani og

    Uchambuzi: Wachezaji wa Simba sio damu changa tazama hapa

    Leo nimelia sana Baada ya kugundua tunaenda kupigwa kitu kizito ( heavy thing) na uongozi wa Simba kuhusu usajili ambappo wanadai wamesajili damu changa ingawa kiuhalisia sio kweli Bali Wana UMRI mkubwa Mfano; 1. Mukwala - Imeandikwa ana 24 years, ila ukimcheki ni 30's. 2. Mutale - What a joke...
  8. ngara23

    Yanga tumelala kipindi hiki cha usajili

    Naona wenzetu Simba wanasajili Kwa umakini. Mbumbumbu wamejipanga sana Ona Sasa wamemsajili dogo ambaye kwangu ndo mchezaji Bora mzawa Valentino Mashaka. Nasikia kesho saa 7 watamtambulisha Najim Musa wa Tabora United Hawa wangekuwa ni replacement nzuri ya akina NKANE NA SHERHAN Huko...
  9. William Mshumbusi

    Usajili wa Simba uko kitapeli. Abdulrazack kutoka Supersport akichezea benchi (timu ya saba kwenye ligi) ana thamani kubwa mara nne ya Pacome

    Yani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu. Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo katambulishwa simba thamani yake imekuwa 165k us dolla. Akimzidi Pakome mwenye thamani ya 45k tu. Pacome...
  10. M

    Kwa ukubwa wa usajili wanaoufanya Simba Sc kwa msimu wa 2024/2025, natangaza rasmi kurudisha kadi yangu ya Yanga na kuhamia Simba Sc

    Shalom shalom Mimi kama mkono mmoja pasi na kushurutishwa napenda kuitangazia jamuhuri ya watanzania kuwa nairudisha kadi yangu ya Yanga Sc na rasmi sasa hivi nakuwa mshabiki kindakindaki wa wana lunyasi Simba sc. Umafia unaofanywa na bilionea Mo na C.Magori si wa kitoto. Wachezaji wanaoletwa...
  11. Mkalukungone mwamba

    Ali Kamwe Suala la Usajili wa Chama ni sehemu ya biashara yetu

    Kila mtu anakiri kuwa usajili wa Chama ni usajili mkubwa. Najua wengi wanauliza kwanini hatujamtambulisha Chama na jezi ya Yanga. Mtiririko wa matukio ya usajili huu wa Chama kwetu ni fursa. Najua wengi wanatamani kujua Chama ataonekanaje na jezi ya Yanga. Hapo ndipo tunalenga kuuza usajili huu"...
  12. denoo JG

    Usajili wa Chama kwenda Yanga -Yanga hamueleweki, sijui mna shida gani!

    Salaam Wakuu.. Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo. Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo. Ina maana huyu Chawa amegeuka...
  13. L

    Suala la usajili wa wa Clatous Chama limedhihirisha kuwa vyombo vya habari vya michezo nchini ni waongo na hawana uwezo wa kuchunguza na kupata ukweli

    Mwezi mzima huu vyombo vya habari hakuna hata kimoja kilichoandika habari ya usajili wa mchezaji Clatous Chota Chama kwa usahihi, sio vyombo vya habari vya michezo, sio mitandao ya kijamii na wala sio wachambuzi au wachang'ombe feki hapa nchini. Hebu fikiria ndipo uone kuwa vyombo vya habari...
  14. GENTAMYCINE

    Waafrka wenye Akili nchini Kenya na wanaojua Haki zao na Wasioogopa wanapambana, ila Miafrika mingine iko busy na Usajili na Adhabu kwa Mbunge

    Kama kuna Wananchi / Watu ambao nawakubali na nawaheshimu Afrika nzima ni wa kutoka nchini Kenya. Heko zao!!
  15. D

    simba usajili gani huu?? au 10%

    every player from Ghana league failed. ni nini hiki??
  16. kipara kipya

    Simba wameingia cha kike coastal union mangushi wana wali ng'ombe hawajawahi kushindwa kesi ya usajili!

    Simba wajipange kama wamefanya ujanja ujanja kutaka kutangaza mke kabla ya kumlipia mahari wala kutambulika rasmi,tangu dahali na dahali coastal union hawajawahi shindwa kesi wamuulize Aden Rage aliwahi kuifungia na kusema ameifuta kwenye kwenye vitabu vy FAT.kama wamejipanga waende watakako...
  17. L

    Simba yangu msikose kuwasajili Kelvin Nashon na Kevin Kijiri kwenye mipango yenu ya usajili, wako vzr sana vijana hao

    Kwa sasa timu yetu haina beki wa kulia mzuri, Shomari Kapombe amechoka lazima tukubali, uwezo umepungua, hana kasi, hana krosi, mzito, anakaba kwa mazoea na majeruhi ya sasa hiv yakimpata ndio imetoka hiyo. Beki wa kulia pekee mwenye uwezo wa kucheza Simba na akaliamsha kisawa sawa ni Kevin...
  18. Suley2019

    SI KWELI Murtaza Mangungu amesema Jobe ana Mkataba mrefu na pia pesa za usajili atatoa yeye

    Salaam Wakuu, Jana kupitia mitandao ya kijamii kumezunguka nukuu mbalimbali za Mwenyekiti wa sasa wa Simba Sports Club Murtaza Mangungu. Miongoni mwa nukuu iliyonipa mashaka na kutaka kujua ukweli wake ni ile inayosema Mangungu amesema Simba haiwezi kuvunja Mkataba na Jobe na nyingine kwamba...
  19. Its Pancho

    Swala la kumpeleka Musonda Mazembe watupe Baleke, tutaumia

    Wakuu Nimeskia sana tetesi kuwa kutakuwa na swap deal kati ya Yanga na Mazembe Means Musonda kwenda Congo na Baleke aje Yanga. Huu usajiri kwa kweli tunaenda kupigwa kama kweli, pakubwa sana. Why? Mpaka Mazembe wanakuja kwako kumtaka mchezaji ujue huyo ni a good player! Halafu pia hawa ni...
  20. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC nitengeeni Bilioni 2 tu kisha mtumeni Mtu aniltee hapa Kampala niwafanyieni Usajili wa kuwa Bingwa wa Makombe yote 2025

    Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano wako Afrika Kusini, Congo DR, Ivory Coast, Zambia na Angola. Kwa Wachezaji wa Ndani nitawasajilia...
Back
Top Bottom