Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha
Lakini kikwazo kikubwa ni ughali wa leseni za usajili wa huduma hizo za kibunifu kwa wabunifu wanaoanza yaani...
Upotoshaji wa taarifa kwenye soka hufanyika zaidi wakati wa msimu wa usajili. Kipindi hiki ambacho mashabiki wa soka hufuatilia kujua Wachezaji wanakuja na kuondoka kwenye timu zao, wapotoshaji hutengeneza #taarifapotofu kwa makusudi ili kupata wafuasi kwenye kurasa zao au kuibua taharuki.
Kwa...
1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo.
Tulichoshuhudia MUNGU anajua.
2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu...
Yanga walipopata barua toka kwa FIFA, CAF na TFF Pacome akapata injury, TFF imeficha jina la mchezaji aliyechezeshwa na Yanga wakati usajili wake wa utata.
Wameamua wasimchezeshe kabisa, sheria inajulikana kila mechi aliyochezeshwa points 3 zinatakiwa zikatwe.
TFF simamieni sheria acheni...
Halafu kuna mitandao ukipiga ile mia na sita ukaenda angalia usajili inasoma namba na jina lililosajili namba hiyo bila kuambiwa uweke nida! Hii nayo si sawa
Habari za leo Watanzania?
Nilifungiwa mita ya umeme LUKU mpya takribani mwezi mmoja sasa.
Umeme uliwekwa units chache sana na tangu tarehe 05 Aprili 2024 nawasiliana na TANESCO makao makuu kuhusu suala hili na mara zote husema idara husika inalifanyia kazi suala langu.
Naomba kuuliza kwenu...
Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo.
Pamoja na masuala...
Tanzania sijui ni nani amewaloga watumishi wa umma. Kila wakikaa ofisini wanatafuta namna ya kuwafanya watu wasiende kuzalisha badala yake wakapange foleni kubishana na watumishi husika.
Tanzania watu wanaopanga kujikwamua kiuchumi lazima wanaripoti ofisi zifautazo kwa lengo la kuendesha...
Kampuni ya Vodacom inakatalia wateja wake kufuta usajili wa laini zao kwasababu wanakuwa na laini moja tu. Vodacom wanadai kwamba hawawezi kufuta usajili wa laini moja tu labda ziwe zaidi ya moja.
Kwanini wanafanya hivi kwasababu kitendo hiki ni sawa na kumlazimisha mteja atumie mtandao wenu?
Imeelezwa kuwa kiongozi wa Israel,Benjamin Netanyahu anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa ngiri muda wowote kuanzia kesha.
Kesho hiyo hiyo mwanasheria mkuu wa serikali anatarajiwa kusaini sheria ya kuwalazimisha wayahudi wa msimamo mkali kuingizwa jeshini kwa lazima.
Mayahudi wa mrengo huo pamoja...
Klabu ya Real Madrid inadaiwa kuwa inamfuatilia beki wa pembeni wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold (25) ambaye amekuwa tegemeo katika kikosi ch Liverpool tangu Mwaka 2016.
Mkataba wake unatarajiwa kumalizika Mwaka 2025 na inadaiwa mazungumzo ya kuuongeza bado hayajafanyika.
Alexander-Arnold...
Mbona kusajili mnatuma mawakala mpaka maporini huko wanafika na usajili unafanyika bila mlolongo wowote iweje kufuta namba mpaka mtu afike kwenye duka la mtandao husika?
Yaani mnaendekeza faida tu kwa upande wenu bila kujali madhara kwa mteja na jamii yake au taifa kwa ujumla! Kumbukeni baadhi...
"Wanawake wote shirikini kikamilifu na UWT imekuja na kampeni mahususi ya kuhamisha wasichana na wanawake kujiuga na UWT kidijitali ama kielekrtoniki, karibuni wote kujiunga na jeshi la wapambanaji, wachapakazi na wapeana fursa na wapenda maendeleo."
"Dunia ya sasa imebadilika tunataka jeshi...
Naona Prince Dube ameaga anaondoka Azam, na assume ametimiza masharti aliyotoa Azam, je ataruhisiwa kujiunga na club nyingine wakati dirisha la usajili limefungwa, Januari?
Habari wadau,
Ninatoa huduma za Usajili wa Makampuni BRELA
A] usajili wa Jina la Biashara
b] usajili wa kupata cheti cha kuzaliwa toka NIDA
C] kutengeneza company profile na annual report
d] tunatayarisha memorandum and article of association
e] tunadesign business card, stickers, logo's,
f]...
Kanisa Katoliki lagoma kuendesha Ibada ya misa ya mazishi ya Thadei Ole Mushi kwa sababu ALIPINGA WARAKA WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA (TEC) Uliopinga uuzwaji wa Bandari, uliotolewa tarehe 18 August 2023 na TEC.
Thadei Ole Mushi alipinga hadharani waraka wa TEC, kupitia...
Leo nikiwa town katika mishemishe nakuta chuma ya serikali imepaki. Kucheki namba ni STN.
Nikajiuliza si ni juzi tu hapa STM ilianza? Ndio imejaa kwa kasi hivyo!
Serikali yetu inamiliki magari mengi na sasa usajili umefikia “STN” hii ni kasi zaidi ya 5G