usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komeo Lachuma

    Nilikuwa mmoja ya watu wa kwanza kupinga usajili wa Bernard Morrison na kweli hajaniangusha. Huu ni uhuni kwa sisi Yanga

    Hawa watu niliwakataa 1. Haji Manara (huyu hana akili ila alituona sisi Yanga ndo hatuna akili. Simba wakamfukuza) sisi tukaona tumeokota Dodo. 2. Bernard Morrison (huyu alitudhalilisha sana...tulihangaika TFF, CAF na CAS. alikuwa anatuonesha dharau sana) ameachwa Simba tumemkimbilia ameanza...
  2. Yesu Anakuja

    Usajili wa ‘Kanisa la Neema’ uchunguzwe

    Siandiki ili kupinga uanzishwaji wa makanisa, naandika jambo ambalo kama halitashughulikiwa mapema, kuna siku litaleta matatizo, tena yawezekana yakawa matatizo makubwa sana. KANISA LA NEEMA la mume wake na grace zoazoa vipodozi, limekuwa kero, linatukana na kupotosha Biblia na amekuwa...
  3. tamuuuuu

    DOKEZO Kukosewa majina ya wanafunzi wakati wa kusajiliwa kufanya mitihani ya taifa kunasababisha kutofautiana na vyeti vya kuzaliwa

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Pro.Mkenda kuna shida kubwa sana sana ya watoto kukosewa usajili wa majina yao sahihi ya awali, kati na ubini. Hili jambo limekuwa ni kubwa na tatizo sana kwa sasa kila kona ya Tanzania. Kwa mfano, John -Joni Peter-Pita Rehema-Rehem Na mengine kukosewa...
  4. KJ07

    Aliyeelewa usajili wa Mudathir Yahya anieleweshe

    Mimi ni mwana yanga damdam lakin kwenye huku usajili naona kama tumepigwa na kitu kizito na sielewi Mudathir alikuwa ana uhitaji gani na naenda kumchukua nafasi ya nani au ndo yale ya kina Ngushi. Huenda Wana maana yao Ila Acha tuone walikuwa wanalenga nini...
  5. King snr

    Msaada usajili wa Trademark Brela kipengele cha Nice description

    Naomba msaada kwenye hii sehemu baada ya kujaza nice class ambayo service yangu imo natakiwa kuweka nice class description Ni zipi hizo? Mfano nice class yangu Ni 42 Kwenye nice description naandika nini?
  6. BARD AI

    NIDA yaanza usajili wa Vitambulisho kwa njia ya Mtandao

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetambulisha mfumo wa usajili wa watu kwa njia ya mtandao utakaowezesha wananchi wenye sifa za kuomba vitambulisho vya taifa kwa kujaza fomu mtandaoni. Waombaji wa awali watajaza fomu mahali popote walipo bila kulazimika kwenda ofisi za usajili za...
  7. AbuuMaryam

    Tetesi: Usajili dirisha dogo

    ~ Yanga wamalizana na Muzungu kutoka Berkane. ~ Yanga wanamaliza na Bobosi. ~ Yanga wanatarajia kuwatumia Yacouba, Sogne na Kambole kwenye mashindano ya Mapinduzi, ili kuwaangalia nani wa kumuacha na nani wa kumbakiza. ~ Yanga wapo mbioni kuachana na Makambo, Ambundo. Sijapata za uhakika...
  8. Sambinyakwe kitololo

    Bajaji, guta, pikipiki zinanunuliwa kwa Kasi Sana

    Ikiwa Ni mwaka mmoja na mwezi mmoja Toka namba D ya vyombo hivo vianze kwa Sasa wanasajili no MC**** DR* Ambapo kwenye magari walitumia muda mrefu sana kufika usajili huo, Ni wazi Hadi mapema mwaka ujao watakuwa wamemaliza no D yao na kuanza fukuzana na no D ya magari na kuwaacha forever...
  9. G

    Nauza au kukodisha Pick Up Nissan Single Cabin usajili ni DBW

    Nauza au Kukodisha pick up Single cabin Imenunuliwa 2014 ikiwa mpya kutoka South Africa. Namba ya Usajili T4....DBW Kwa Yoyote atakaye hitaji napatikana kwa 0767 848423
  10. dracular

    Gharama za usajili wa gari aina ya townace kutoka Japan

    Habarini za majukumu ndugu zangu wa Jf. Bila kupoteza muda twende kwenye maada moja kwa moja.. Nina mpango wa kuagiza gari aina ya townace kwa ajili ya biashara nilikuwa naomba kujua kuhusu gharama za usajili ikifika hapa Tanzania mpaka iweze kuingia barabarani inaweza gharimu kiasi gani...
  11. JanguKamaJangu

    Tetesi: Kocha apanga kumuuza Maguire ili akusanye fedha za usajili

    Inadaiwa kocha huyo, Erik ten Hag wa Manchester United anataka kumuuza nahodha wake lakini kikwazo ni kiasi ambacho wanatakiwa kukipata kutoka sokoni Beki huyo aliyesajiliwa kwa Paundi Milioni 80 mwaka 2019 hana uhakika wa namba katika kikosi cha kwanza cha United na Ten Hag hafurahii kasi ya...
  12. S

    Usajili dirisha dogo kuelekea michuano ya kimataifa mashariti na utaratibu wake ukoje?

    Habari wadau, Nina maswali haya kuhusu usajili huu: 1. Ni idadi gani ya wachezaji inaruhusiwa kusajili kupitia dirisha dogo? 2. Wachezaji wa kimataifa watakaosajiliwa kupitia usajili huu, wataruhusiwa kucheza katika ligi za ndani? 3. Inawezekana kununua mchezaji ambaye bado ana mkataba na...
  13. Jidu La Mabambasi

    TRA, hii imekaaje? Gari ya 2022 na usajili wa miaka ya 2005?

    Mitaani kuna vituko vingi. Kuna magari ya wasiyojulikana wengi tu sasa hivi, lakini hii ni kiboko. Gari T140ALF ina usajili wa karibia miaka 20 nyuma kwa gari iliyotengenezwa 2022, LC300 Landcruiser New model. Inakuwaje hapo?
  14. CM 1774858

    Waziri Ndaki : Wizara imeridhia wafugaji wote nchini kuongezewa muda wa Usajili na Utambuzi wa Mifugo kielectronic Mpaka desemba 31

  15. JanguKamaJangu

    Neymar afutiwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili kuhusu usajili wake

    Mshambuliaji huyo wa Paris St-Germain na timu ya taifa ya Brazil alikuwa akikabiliwa na mashtaka hayo yaliyohusu usajili wake mwaka 2013 kutoka Santos kuhamia Barcelona akidaiwa usajili huo ulikiuka baadhi ya masuala ya kifedha. Katika kesi hiyo waendesha mashtaka walitaka nyota huyo ahukumiwe...
  16. BARD AI

    Safaricom yatuhumiwa kubadili usajili wa laini ya mteja na kuruhusu wizi wa Tsh. Milioni 7.6

    Abdi Zeila amefungua kesi ya madai dhidi ya kampuni hiyo ya Mawasiliano akiituhumu kufanya mabadiliko hayo kitendo kilichopelekea kutolewa fedha kupitia Benki ya NCBA bila ridhaa yake. Zeila amesema wizi huo usingewezekana bila kuwepo mtu mwenye kibali cha kuifikia mifumo ya Taarifa Binafsi za...
  17. BARD AI

    Wakenya wapewa saa 24 kukamilisha usajili wa line kabla ya kuzimiwa mawasiliano

    Watumiaji wa Simu nchini humo wamebakiwa na chini ya saa 24 kukamilisha usajili wa laini zao za simu kabla Mamlaka ya Mawasiliano (CAK) haijazima huduma za mawasiliano yao. Kwa mujibu wa CAK watumiaji simu na kampuni za mawasiliano waliongezewa muda wa miezi 6 kuanzia April 15, 2022 ambao...
  18. Kingsmann

    BRELA: Kalynda ilipewa leseni ya kuuza vifaa vya kielektroniki

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imesema leseni ya kampuni iitwayo Kalynda E-Commerce Limited iliyotolewa Juni 21, 2022 ni kwa ajili ya uuzaji wa jumla wa vifaa vya kielektroniki na mawasiliano pamoja na ufanyaji wa biashara ya kiteknolojia ya kimataifa mtandaoni. BRELA imesema...
  19. CAPO DELGADO

    Bado nalia na Kamati ya Usajili ya Simba, kushinda michezo ya kimataifa kusitusahaulishe

    Habari wakuu. Naomba niwaeleze ukweli, japo ukweli ni mchungu. Bado NALIA na kamati ya usajili ya Simba. Simba bado ni underdog kwa YANGA. Tunawachezaji Baadhi wa KIMATAIFA nadhani uongozi uwaangalie kwa jicho la tatu. 1. Peter Banda. 2. Mohamed Ottara 3. Dejan aliyeondoka. 4. Okwa Nelson...
  20. Express Business Solution

    Ushauri na Huduma za Usajili Kimtandao

    Express and Quick Business Solution ni kampuni yenye uzoefu wa utoaji ushauri na huduma za usajili kimtandao kwa ufanisi na haraka. Usajili wa Kampuni Usajili wa log/Nembo ya biashara/Trademark Usajili wa NGO's Maombi yote ya vibali na leseni za biashara, leseni za viwanda, leseni za makazi...
Back
Top Bottom