usalama wa taifa

Idara ya Usalama wa Taifa
The Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) is the national intelligence and security agency of Tanzania. The Agency works closely with other National and International intelligence agencies and securities organs in the promotion and maintenance of peace, safety and security in and outside Tanzania’s borders.

----

Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara ya Usalama wa Taifa kufanya kazi zake ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia ina ainisha majukumu, mamlaka na mipaka ya idara ya usalama wa Taifa. Kutokana na kuwepo kwa sheria hiyo siyo rahisi kwa idara hiyo kufanya mauaji ya raia wasio kuwa na hatia kwani idara itakuwa inavunja sheria na kukiuka mamlaka iliyopewa na Bunge.

View More On Wikipedia.org | Ifahamu Idara ya Usalama wa Taifa
  1. Roving Journalist

    Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  2. Nehemia Kilave

    CHADEMA inawezaje kuwa na wastaafu wa Jeshi au viongozi waliowahi kuwa karibu sana na Usalama wa Taifa?

    Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA? Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe. CCM kuna wastaafu pia , hawa watu kwanini wakistaafu wakatulia tu . Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi...
  3. Msanii

    Ni wakati sahihi wa IGP kujiuzulu ama Rais achukue hatua

    Hakuna kinachozuia IGP kujiuzulu kwa haya yanayoendelea. Mauaji ya watu wasio na hatia tena mchana kweupe wanakwapuliwa kwenda kuuawa ni dhahiri polisi na usalama wanashirikiana kutekeleza hayo. TISS ipo chini ya ofisi ya Rais na aliitaka ikae chini yake kupitia mabadiliko ya sheria ya TISS...
  4. R

    Pre GE2025 Kwa hili la Ali Kibao hakuna yoyote ndani ya CHADEMA aliye salama!

    Hamko salama nyie nyote, Viongozi chukueni tahadhali, chukueni tahadhali na kaeni mtafakari kama chama nini kifanyike? Nini kifanyike? Usalama wenu ukoje be it Mbowe, Mnyika Heche, Lissu, Lema to mention but a few! Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa...
  5. T

    Kwa yanayoendelea nchini je, Watanzania tupo salama?

    Taifa la Tanzania ni Taifa la watu waungwana na watu wasio na makuu ni Taifa la wana Hewala kama napata mlo wangu wa siku mambo mengine hayaniusu. Ni taifa kama niliumizwa na wewe unaumizwa basi leo ni zamu yako mimi siwezi kuingilia ni taifa la aina yake. Leo napenda kuja na mada yenye...
  6. Chachu Ombara

    Pre GE2025 Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ali Kibao

    TAARIFA KWA UMMA Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed Kibao, akiwa safarini na basi la Tashrif alichukuliwa na kushushwa toka kwenye basi hilo na watu ambao...
  7. Chachu Ombara

    CHADEMA: Mzee Ali Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika akizungumza na wanahabari mchana wa siku ya Jumamosi Septemba 7, 2024 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam amesema kuwa... “Kwa aina ya bunduki walizokuwa nazo hao watu waliokuja kumchukua (Mzee Ally Mohamed Kibao ambaye ni...
  8. K

    Wanaopewa ajira kwenye vyombo vyetu vya ulinzi wawe wanaoipenda kazi hiyo kwa moyo na kujivunia kuifanya

    Yanayoendelea sasa kwa baadhi ya askari wa jeshi la polisi ni matokeo ya watu kufanya kazi wasiyoipenda. Hawawezi kuifanya kwa ufanisi. Hapo zamani za kale kimbilio la waliokosa ajira ilikuwa fani ya ualimu. Kilichotokea ni kushuka kwa kiwango cha elimu nchini kwasababu ya kukosa morali ya...
  9. Swahili AI

    Mkurugenzi Usalama wa Taifa wa Marekani awekwa kikaangoni na Senators masaa manne ya moto.

    https://youtu.be/CZqDspnuYSk?si=UMrMe0lG0O0PZovA https://www.youtube.com/live/x0IhM-veJIM?si=tkwDLfxodgRbbTWe Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Marekani, Kimberly Cheatle, alikabiliwa na ukosoaji mkubwa kufuatia jaribio la kumuua Donald Trump katika mkutano wa kampeni huko Butler, Pennsylvania...
  10. Membe S K

    Zielewe kazi za Usalama wa Taifa (TISS) na mipaka yake

    ZIELEWE KAZI YA USALAMA WA TAIFA (TISS) NA MIPAKA YAKE Leo tuongelee TISS au USHUSHU au UNYOKA au IDARA au KITENGO. Kwasababu uelewa mdogo kwa idara hii na kazi zake miongoni mwa wananchi unafanya watu wengi wakose amani wanapokuwa na watu wanaowahisi ni mashushushu, na wakati mwingine...
  11. Pascal Mayalla

    Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?

    Wanabodi, Naomba kuuliza, Of late, there has been a lot of hiring and firing kwe ile ofisi yetu nyeti!. Could there be a problem with our vetting systems? . This hirings and firings za DGIS wa ofisi yetu nyeti, hazitaonekana kama ni early signs of incompetence on a part of the appointing...
  12. Suley2019

    Wakurugenzi wa TISS tangu uhuru mpaka sasa. Mzee Mzena ashikilia rekodi ya kuhudumu muda mrefu zaidi

    1. Wa kwanza ni Mzee Emilio Mzena, huyu aliongoza mwaka 1961 hadi mwaka 1975. Ndiye Mkurugenzi wa TISS aliyeongoza idara hii kwa miaka mingi zaidi kuliko wengine (miaka 14). Wengine ni kama ifuatavyo: 2. Dkt. Lawrence Gama: 1975-1978 3. Dkt Hassy Kitinr: 1978 - 1980 4. Dkt. Augustine Mahiga...
  13. ChoiceVariable

    Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

    Rais Samia afanya uteuzi wa Mkurugenzi Wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ambapo bwana Abubakar Mombo Ateuliwa baada ya ndugu Siwa kustaafu. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Mululi Majula Mahendeka, Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  14. Kamanda Asiyechoka

    Leo ndio nimeshangaa! Kumbe idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa kumwambia rais Wananchi wanataka nini? Mbona Rais Samia haambiwi ukweli?

    Ufisadi halimashauri? Uzembe makazini? Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini? Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya? Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika? Migomo ya kodi na tozo😅😂 Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto...
  15. J

    Rigathi Gachagua ailaumu Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya kwa kumpa Rais Ruto taarifa zisizo sahihi

    Gachagua amevilaumu Vyombo vya Usalama Kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi Rais Ruto na hatimaye kusababisha Vifo vya Watoto Wasio na hatia Gachagua amesema Hata Polisi wamelalamika hawakupewa taarifa na idara ya Usalama wa Taifa mapema Aidha Gachagua amesema Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa la...
  16. The Supreme Conqueror

    TANZIA MRATIBU Msaidizi Baraza la Usalama wa Taifa, Brigedia Jenerali Vitalis Andrew Chakila amefariki dunia

    MRATIBU Msaidizi Baraza la Usalama wa Taifa, Brigedia Jenerali Vitalis Andrew Chakila amefariki dunia. Taarifa ya kifo chake imetolewa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda. Kwa mujibu wa Taarifa iliyosainiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Jeshi la Ulinzi la...
  17. britanicca

    DOKEZO Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

    Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa! Swali kwanini kwa kipindi hiki wamefukuzwa sana wakurugenzi wa idara hii? Cc Pascal Mayalla Britanicca Pia Soma - Uteuzi : Abubakar...
  18. SteveMollel

    Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐠𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐀𝐧𝐬𝐚𝐫 𝐚𝐥-𝐬𝐮𝐧𝐧𝐚. - 𝐍𝐣𝐢𝐚 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐛𝐢𝐭𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐥𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐂𝐚𝐛𝐨 𝐃𝐞𝐥𝐠𝐚𝐝𝐨. - 𝐖𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐨𝐤𝐨𝐭𝐚 𝐦𝐢𝐢𝐥𝐢 𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐜𝐡𝐰𝐚 𝐯𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐩𝐞𝐦𝐛𝐞𝐧𝐢. 𝐒𝐄𝐇𝐄𝐌𝐔 𝐘𝐀 𝟬𝟭: Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa, Dkt. Stergomena Tax analiambia bunge kuwa hali ya usalama katika...
  19. Vvan12

    SoC04 Jitihada za dharula zielekezwe katika kukuza TEHAMA nchini kwa manufaa ya kiuchumi na usalama wa taifa letu

    TEKNOLOJIA- SILAHA KALI YA ULIMWENGU MAMBOLEO. Ni ukweli usio fichika kwamba karne ya ishirini na moja imeshuhudia mabadiliko makubwa sana katika ukuaji wa teknlojia duniani. Sekta kama viwanda,kilimo na ata sekta za huduma kwa jamii kama hospitali na elimu zimenufaika na mageuzi haya ya...
  20. JOHNGERVAS

    Mbeya: Mwandishi wa Habari mbaroni kwa kujifanya afisa Usalama wa Taifa

    Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema wanamshikilia mwandishi wa habari (41) (ambaye jina lake limehifadhiwa) kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, akijitambulisha kuwa ofisa usalama wa Taifa. Kamanda Senga ameyasema hayo leo Jumapili Mei 05, 2024...
Back
Top Bottom