Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax akizungumza baada ya kufunga Mkutano wa ulinzi na Usalama baina ya Tanzania na Msumbiji uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, amesema:
Tulikuwa na kikao cha tano cha Kamati ya Pamoja ya...
JamiiForums imeendesha mafunzo ya Usalama Mtandaoni kwa Waandishi wa Habari 25 wanaowakilisha Vyombo mbalimbali vya Habari Mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC
Mafunzo hayo yanalenga kuongeza ufanisi kwa Waandishi katika kazi zao kwa kuzingatia...
Habari wanajukwaa.
Leo nilikuwa nasafiri nilipofika stend nimeikuta Noah inapakia abiria. Ajabu ticket ina maelezo ya gari nyingine, lakini yenyewe plate namba nyingine.
Tumetoka pale tupo 8 na ilipotoka stend ikapakia tena wawili kwenye buti, wengine wakasimama ndani na mwingine mbele kwa...
Kumekuwa na Trends siku hizi Madereva hasa hawa wa Daladala wakifika sehemu kuna taa au Foleni huwa wanashuka na kujizugisha zugisha au kulizunguka Gari akisubiri foleni itembee.
Hichi Kitendo ni kibaya na kinahatarisha usalama wa Abiria, Ikitokea Gari inakuja imefeli breki au kukosa uelekeo...
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Kamati ya Utatu ya Makatibu Wakuu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa...
Akizungumza leo Sept. 4, 2023 wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, Rais Samia amesema wananchi bado wanalalamikia tatizo la Rushwa hasa kwa Askari wa Barabarani.
Amesema “Mfano tukiweka Kamera za Barabarani hakutakuwa na sababu ya Askari kusimama Barabarani...
Kongamano la tatu la Amani na Usalama kati ya China na Afrika lenye kauli mbiu ya “Utekelezaji wa Mpango wa Usalama wa Kimataifa, Kuimarisha Mshikamano na Ushirikiano kati ya China na Afrika” linafanyika mjini Beijng, na kuhudhuriwa na zaidi ya wajumbe 100 wakiwemo viongozi wa majeshi ya nchi za...
Kongamano la tatu la Amani na Usalama la China na Afrika limefanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Hii ni hatua muhimu kwa China na nchi za Afrika kuhimiza kwa pamoja "Pendekezo la Usalama Duniani" la China, na pia ni ushahidi mwingine kwa China kuchangia amani na usalama barani Afrika...
Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿
Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake).
Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya...
Leo Rais Samia ametumbua aliyekuwa Boss wa TISS (Usalama wa Taifa), Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi na kumeteua Boss Mpya Balozi Ali Idi Siwa
Wanajamavi, watu wenye connection, wajuzi wa mambo, tuambiane nini chanzo cha Massoro kuliwa kichwa mapema hivi?
Soma:
- Rais...
Wanashangaa kwanini bado yupo ilhali taifa linapitia aibu yote hii na mateso mengi tu....wanajeshi wanauawa kama senene kule kwenye uwanja wa mapambano huku drones za Ukraine zinajipigia popote ndani ya Urusi ikiwemo hata ikulu.
Some in Russia's intelligence services are calling on dictator...
Nimedokezwa kuwa huko CIA na MOSSAD wao Kipaumbele chao kwa wanao wa recruit ni Akili za Kuzaliwa nazo pekee na hizo za Kitaaluma (za Darasani) nenda Katambe nazo kwa Washamba Wenzako huko Kijijini Kwenu.
Na nimedokezwa pia nchi zingine nyingi (hasa Barani Afrika) ila Tanzania haipo Wao ili uwe...
Serikali inategemea kufanya mabadiliko makubwa kiutendaji hivi karibuni; mabadiliko hayo yataenda sambamba na kuwafuta kazi baadhi ya viongozi waliokwama kufanya kwa ueledi na viongozi wa vyombo vya dola. Lengo ni kuleta sura mpya za vijana watakaozitafsiri kwa vitendo 4R za Mhe.Rais
Sambamba...
Leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu ili Nielimike zaidi nikiamini kuwa hapa JamiiForums kuna Wabobezi na Wazoefu wa Fani hii inayoitwa ya Wenye Nchi.
Katika mikutano ya Chadema hivi karibuni baadhi ya wahutubiaji wake kumekuwepo na viashiria vya dharau kwa vyombo vya ulinzi na usalama.
Maneno mengi ya kujilabu yalionyesha wazi kuvidharau vyombo hivyo, kwamba tu wao wamesoma sheria watatumia usomi wao kuwapiga bao vyombo hivyo.
Kukamatwa...
Katika miaka ya hivi majuzi, mauaji ya kufyatua risasi yamezidi kuwa ugonjwa sugu wa kijamii nchini Marekani. Wakati huo huo, Marekani inasafirisha maafa haya kwa nchi nyingine duniani kupitia kuziuzia silaha, na kusababisha tishio kubwa kwa usalama wa kijamii duniani.
Shirika la Habari la...
Hili ni tishio jipya la usalama Kwa nchi zetu za Africa.
Uwepo wa Wagner group Africa kunapelekea mapinduzi ya kijeshi kwa Serikali halali za Africa haswa zile zisizo egemea upande wa Urusi.
Uwepo wa Wagner group Africa kunaibua njia mbadala Kwa wanasiasa wetu wenye uchu wa madaraka kuchukua...
Ndg. Said Hussein Nassoro, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)
Leo tunalo swali makini kwa wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama: Ni sawa kwa Raia wanaopinga uhaini uliofanywa wa Rais dhidi ya Jamhuri kunyamazishwa kwa kufunguliwa mashtaka ya uhaini dhidi ya Rais anayetuhumiwa kwa...
Wakati Watanzania wakipambana na Bei kubwa za Mafuta yenye Wastani wa Bei kati ya 3,000 hadi 3,500 kwa Lita moja, Nchi ya Libya licha ya kuwa na changamoto za Kiusalama bado ndio Nchi yenye bei ndogo ya Mafuta Afrika na ya 3 Duniani.
Kwa upande wa Afrika Mashariki, Nchi ya Jamhuri ya...