Kwa hiyo siku hizi vyombo vya usalama ndani ya kata, wilaya na mkoa haviwezi kufanya majukumu yao? Kwa ishu ndogo kama kupotea mwanafunzi
Msukuma amegeuka kuwa mpiga debe wa Dp world
Watu wanasahah mambo ya msingi kama kujadili bajeti.
Alafu tunaambiwa Mwigulu ni waziri bora hajawahi kutokea.
Waziri wa ulinzi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Washauri wao pamoja Kamishna Mkuu wa Forodha wamestaafishwa kwa lazima na Rais Bola Tinubu na nafasi zao kuchukuliwa na maafisa wapya
Kwa muda mrefu Nigeria imekabiliana na wimbi la mashambulizi yanayosababishwa na makundi ya Jihadi na Magenge ya...
Leo majira ya Saa Tisa za Tanzania kijana mmoja aitwaye Joram Mbyella, na mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na watu wasiojulikana huko nyumbani kwake Kinondoni.
Huko Sudan kuna machafuko makubwa sana yanayosababishwa na mapigano makali baina wao kwa wao, zaidi ya wanafunzi laki vyuoni wamelazimika kurudi majumbani ama kwenda nje ya nchi, kwa hapa Tanzania wanafunzi 150 wa kada za afya wamekuja kumaliza masomo yao. Hapo kabla ya vita kulikuwaga na...
Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) Ni Idara ambayo inamajukumu ya kukusanya, kuchunguza na kuchambua Taarifa na shughuli zote zinazohusiana na Usalama wa Taifa. Ikiwa ni pamoja na kubaini matishio yote dhidi ya Tanzania lakini pia kushauri wizara zote juu maswala ya ulinzi na Usalama...
Kwa jiografia ya nchi yetu ilivyo, bandari ndio mlango mkubwa wa nchi yetu wa kuingilia na kutoka. Mlango huu ukimkabidhi mgeni kwa miaka 100, hatuwezi tena kudhibiti kwa ukamilifu kitakachokuwa kinaingia na kitakachokuwa kinatoka. Hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi yetu. Silaha zinaweza...
Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge imeidhinisha uteuzi wa Noordin Haji kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Usalama wa Taifa (NIS).
Haji atakula kiapo siku chache zijazo akichukua nafasi ya Philip Kameru ambaye anatarajiwa kustaafu baada ya kuwa madarakani NIS tangu Septemba 2014.
Rais...
Asalaam Aleykum wana jamvi,
Ama baada ya salamu hizo nidondoke kwenye mada tajwa hapo juu.
Kiukweli suala la kubinafisha (??!kumilikisha) Bandari zetu, ni suala ambalo limeibua hisia za Watanzania wengi wazalendo wa dhati (na wasio na uzalendo wa dhati).
Ni suala ambalo kwa kweli kwa kila...
Nafanya wiring kwa gharama za bei nafuu sawa na Bure (150,000)kwa ramani ya nyumba hii kwa ubora na usalama wa nyumba yako pia nakupitishia form ya maombi tanesco bila wewe kwenda ofisini kwaoWaweza nitumia ramani ya nyumba nikakufanyia tasmini ya gharama za wiring
Napatikana dar es salaam...
Mungu ulioko Mbinguni sisi tulio watoto tunalilia Taifa la Tanzania. Mungu vivuvie nguvu uwezo wakijasusi na akili za ajabu Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa Taifa hili Mungu wangu naijulikane upo.
Mungu wataifa la Tanzania Mungu naijulikane upo, njaa ya watu wachache isiliuze Taifa la...
Wakuu
Kama mada ilivyopandishwa hapo juu, yafuatayo ni masuala hatari sana kuyakabidhi kwa wageni kukodi, kubinafisisha au kuuza kwao maana yanahatarisha usalama wa nchi na uchumi wake wa ndani na nje
1. Usafiri wa anga
2. Usafiri wa maji wa nchi kutoka nchi moja au bara kwenda kwingine
3...
Serikali ya Rais Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa - TISS ambao kwa ujumla wake una mapungufu mengi ikiwemo kuwapa kinga ya makosa ya jinai kwa maafisa wa idara hiyo. Jambo hili limezua mijadala maeneo tofauti watu wakiuliza Rais Samia anataka kuwatumia maafisa...
bunge
bunge la tanzania
hata
haya
idara
kinga
kupoteza
kuua
maafisa usalama
majukumu
muswada
sheria
sheria ya usalama wa taifa
taifa
tanzania
tatizo
tiss
usalamausalama wa taifa
wafanyakazi
wake
Kwa mujibu wa Bill Gertz, mwandishi wa Kitabu cha Breakdown: How America's Intelligence Failures Led to September 11 alinukuliwa akisema "Maafisa wa kijasusi na usalama waliopinga mpango wa kubinafsisha Bandari zake kwenda Dubai Ports World walisema bandari ziko hatarini kutumika katika...
Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia.
Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari?
Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi...
MBUNGE NORAH MZERU ASISITIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA USALAMA MAHALI PA KAZI KIWANDA CHA NGUO CHA MAZAVA MOROGORO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru mnamo tarehe 05 Machi, 2023 amefanya ziara na kutembelea Kiwanda cha Uzalishaji Nguo cha Mazava kilichopo katika...
CCM chama changu HUWA mnakurupuka sana,sijui akili zenu HUWA mnamwazima nani wakati wa kupitisha SHERIA tata kama hizo.
Hivi mnajua baada ya hapo mnatakiwa muwe makini mnapokosoa serikali!!?yaani mwenye serikali akichukia tu anatuma hao vipepeo na kumaliza KAZI bila hata wasiwasi!
Kama ni...
Mahakama ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara imemuhukumu Patrick Wambura (34) Mkazi wa Bariadi Mkoani Simiyu kutumikia kifungo cha miezi mitatu gerezani kwa kosa la kujifanya Afisa Usalama wa Taifa.
Hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Babati Victor Kimario...
Kumekuwa na mkanganyiko kidogo juu ya tofauti ya Jasusi, Shushushu, Kachero, Mpelelezi nk. Kwenye kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi nimeeleza kwa kirefu zaidi juu ya utofauti wa mambo haya muhimu matatu kwa Tanzania ambayo ni lazima kila mtu ayajue na kuyatofautisha kufuatia mageuzi ya...
Usalama ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi yoyote, na Tanzania sio tofauti. Katika juhudi za kuboresha usalama na kulinda raia wake, serikali ya Tanzania inaweza kutumia vifaa vya usalama, teknolojia ya usalama barabarani, na polisi kwa njia yenye ufanisi.
Kwanza, Kuanzishwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.