Tangazo la Kusisimua!
🌟 wana jf leo kijana wenu nawaletea bulb cctv original sio fake za kkooo 🌟
Habari zenu! nafurahi kuwapa habari ya kushangaza na ninyi nyote leo. Je, umewahi kutamani kamera ya uchunguzi ipo kama taa za ya nyumba yako?
Kweli, basi swala la ulinzi dukani au nyumbani...
Kwa mujibu wa sheria kazi ya msingi ya jeshi la polisi ni kulinda raia na Mali zao, hii ni kazi inayohitaji wito Kama kua padri wa kirumi, inahitaji mtu muadilufu kama shehe wa kule makka, nikilala ndani kwangu najua polisi wapo kazi yao ni kunilinda Mimi raia wa nchi yao natakiwa nisiwe na hofu...
Habari wakuu,
Mtindo huu wa bajaji kupakia abiria wawili mbele si mpya, naamini watu wengi mmekutana nayo hii hasa kwa wakazi wa Mbezi ya Kimara. Hili ni jambo hatari ambalo linaweza kusababisha majanga muda wowote, hasa ukizingatia madereva wengi wa bajaji walivyo rafu barabarani.
Kubwa zaidi...
Na DON YRN.
Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums?, matumaini yangu tupo salama katika ujenzi wa Taifa letu. Lengo langu kutoa mada hii siyo kuleta uchonganishi au kuchafuliana biashara, hapana, lengo ni kufichua kile kinachoonekana kipo kinyume kwenye jamii.
Kumekuwa na ongezeko kubwa...
Haya majukwaa mbona yanatia aibu! Kha. Mnatumia mamilioni kukodi chopa halafu mnashindwa kufanya logistics ya majukwaa?
Ndio mnataka kusema mlimtendea vyema Kamanda Lissu kisa tu mwamba nae yupo jukwaa kama hili?
Great thinkers,
Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
Inashangaza sana, hii nchi inawezekana hata sehemu zile nyeti kutakuwa na kundi kubwa la vilaza thus why mambo yanaendelea kuharibika kila uchwao ,
Nimesikia mara nyingi Bwana Membe akiitwa Kachero Mbobezi , sitaki kupinga kuhusu hii sifa na yawezekana kweli alikuwa na sifa hyo , Ila nipende...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameonyesha kutoridhishwa na wasifu wa Bernard Kamillius Membe (69) kutogusia uwepo wake ndani ya chama hicho cha siasa.
Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa alijiunga na ACT-Wazalendo Julai 15, 2020 akitokea chama tawala-...
Bwana Bernard Camilius Membe, Mtu Maalumu kwa mikakati maalumu kwa lengo Maalumu (Mshauri mkuu wa masuala ya usalama wa Taifa na nchi kwa Jumla)
Ni wachache watakao kuwa wanajua nafasi yake ilikuwa ipi Ila kwa kifupi nafasi Kama yake uwa hazitangazwi, zinatangazwa za mshauri mkuu wa masuala ya...
Ndugu wana JF sina mengi na sitaki niwachoshe ila kuna Jambo moja naomba nipate ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa idara hii ya usalama wa Taifa.
Tangu nikiwa mdogo nimekuwa nikisikia sikia uwepo wa idara hii na Kwa ufahamu mdogo nilionao ni kwamba ili mtu awe recruited na kuwa mtumishi wa idara...
Idara zote za usalama wa nchi kuna idara ya ndani ambayo jukumu lake kuu ni kumdhibiti sponsor. Kwa maslahi ya nchi.
Idara hii ni ndogo na ya hatari mno na wote waliomo ni unnyonimous hata kwa wao wenyewe! Jukumu lao ni la hatari pia kwasababu kunapotokea ulazima wa kumu eliminate sponsor...
Wasalaam nyote!
La mgambo likiliia ujue kuna jambo.
Mnisamehe kwa kuanza na utangulizi wa jazba yote ni maumivu ya uzalendo.
Tanzania ni nchi ya ajabu sana kila Jambo lipo kimazoea, nitoe rai na angalizo uhamiaji haramu kupitia mipakani hasa Mipaka na Malawi, Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda ni...
Wanawake wengi wanaoenda kujifungulia katika Hospitali za serikali wamekuwa wakilalamika juu ya kuombwa rushwa na manesi wakati wa kujifungua ili wapate huduma nzuri.
Wamama wengi ambao walikwisha kupata huduma ya kujifungua katika Hospitali za serikali au vituo vya afya wamesema kuwa ili upate...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako akimkaidhi tuzo Mkuu wa kitengo cha Ulinzi, Usalama na Mwendelezo wa Biashara wa Benki ya CRDB, Misana Mutani wakati Benki ya CRDB ikitunukiwa tuzo tatu ambazo ni mshindi wa kwanza katika kundi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akikabidhi tuzo ya OSHA mshindi wa jumla wa maonesho hayo Mkufunzi wa Usalama mahali pa kazi wa Barrick Bulyanhulu, Azaely Kitenge (katikati) ni Mwenyekiti wa Bodi ya OSHA, Dkt. Adelhelm Meru...
NAIBU WAZIRI JUMANNE SAGINI - MAWASILIANO YA TEHAMA YAZINGATIE USALAMA NA SHERIA ZA NCHI
Akizungumza katika Mafunzo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa Mameneja wa Mikoa TANROADS Nchini na Wakuu wa Idara na Divisheni TANROADS Makao Makuu, Mkufunzi wa mafunzo na Naibu Waziri Mambo ya Ndani...
Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilikumbwa na mabishano makali kati ya Urusi inayoshikilia urais wa zamu wa Baraza hilo na mataifa ya Magharibi yanayoilaani kwa uvamizi wake dhidi ya Ukraine.
Akiongoza kikao kilichokusudiwa kuwa mdahalo juu ya nafasi ya Baraza Kuu la Usalama la...
Ni ukweli mchungu kwamba mtaani hali ni ngumu sana kuanzia upatikanaji wa pesa mpaka bei za bidhaa. Binafsi, mbali na kwamba ni muajiriwa, lakini pia najishughulisha na biashara zinazogusa moja kwa moja wananchi, kwa hiyo ninachoandika nina kifahamu vizuri.
Kwa hali ilivyo sasa, anaweza tokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.