usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hismastersvoice

    Nionavyo lengo la wiki ya usalama barabarani ni kuuza stika, anayeamini kupungua kwa ajali anieleze ni kwa vipi

    Kila mwaka polisi huandaa wiki ya usalama barabarani lakini hali ilivyo barabarani ni ileile ya siku zote zaidi ya kuuziwa stika ambazo hazipunguzi ajali! Vurugu za bodaboda na daladala ziko vilevile na pacha wao ajali. Mimi naona lengo si kudhibiti ajali kwa kuwakumbusha madereva juu ya...
  2. M

    Wiki ya usalama barabarani, Polisi tuwaeleze ukweli

    Leo waziri mkuu mh. Kasim Majaliwa amezindua wiki ya usalama barabarani. Miongoni mwa watu wanachangia ajali za nyingi za barabarani ni polisi kupitia KIKOSI CHA KAMATA KAMATA Polisi hao wanaokimbiza pikipiki bila utaratibu,wanachomoa funguo kwenye pikipiki sasa muendesha pikipiki anapowakwepa...
  3. JanguKamaJangu

    WhatsApp ipo tayari kufungiwa Uingereza kuliko kulegeza usalama wa faragha

    WhatsApp imesema haitaweza kupunguza au kulegeza masharti yake ya usalama wa faragha ya watumiaji wa mtandao huo hata kama watatakiwa kufanya hivyo katika Muswada wa Sheria ya Usalama Mtandaoni. Ujumbe wanaotumiana watumiaji wa WhatsApp unabaki kati yao na hakuna upande unaoruhusiwa kuona...
  4. system hacker

    Hawa watu walipaswa kuwa usalama wa Taifa kwenye idara kadhaa

    Usalama wa Taifa ni 'sector' kama zilivyo sector zingine. Kikubwa ni vitu vitatu vinne vikubwa hivi: 1. Intelligence 2. Usiri 3. Uaminifu 4. Uwezo to make it happen Mengine ni added advantage. 1. Tundu Lissu - eneo la sheria 2. Peter Kibatala - eneo la sheria 3. Chief-Mkwawa - eneo la Teck...
  5. seedfarm

    Panya Road wavamia Bunju Magengeni, maduka yafungwa kwa kuhofia usalama

    Wakuu nimepata taarifa kuwa Bunju hali mbaya, Kuna Panya Road wanaharibu magari na kukata watu mapanga huko Bunju Magengeni Nasikia hali mbaya, Hofu imetanda sana, Nipo Mbezi Beach naelekea huko lakini hali ni tete sana Eneo la Magengeni hali ni mbaya sana kwa mujibu wa taarifa ---- ===...
  6. Doctor Ngariba

    Kuna nini barabara ya Nyerere daraja la Mfugale?

    Habari za asubuhi waungwana na wapendwa wa Jamii Forums. Bila kupoteza muda, mimi ni mdau na mtumiaji wa barabara ya Mwalimu Nyerere takribani miaka saba sasa. Kuna jambo ambalo kwa siku za hivi karibuni linanikera na naamini wapo pia wengine ambao linawakera nalo si jingine bali ni foleni...
  7. BigTall

    Serikali za Mtaa zifanye jambo kuhusu usalama wa wanafunzi katika shule ambazo zina vichaka pembeni

    Huku mtaani kwetu kuna shule nyingi ambazo hazina uzio na mazingira yake pembeni yamekuwa na mitimiti ambayo ikifika mida ya jioni kunakuwa na mazingira flani ambayo ni hatarishi kwa wanafunzi. Sisi wenyewe ndio tumesoma kwenye shule nyingi za aina hiyo lakini sasa hivi tumekuwa nimegundua kuwa...
  8. GENTAMYCINE

    Sikatai Tundu Lissu kurejea Tanzania, ila je, ameshahakikishiwa na kujihakikishia pia Usalama wake akirudi rasmi?

    Je, wale Maadui zake wapo au labda wameshakuwa Executed na waliopanga ile Mission dhidi yake? Je, ana uhakika kuwa hakuna Mabaki ya Maadui zake waliomfanyia Tukio baya Dodoma yamebaki na kwamba huenda kwa Hasira walizonazo kwa Kumkosa basi Safari hii akirejea watahakikisha Wanamaliza Shughuli...
  9. D

    Jeshi la polisi hivi mnauhakika wale Trafiki pale mwenge (bagamoyo road) wanafanya kazi ya usalama barabarani?

    Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road) Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala. Kinachonishangaza ni vile wako...
  10. Sildenafil Citrate

    Haki ya faragha Mtandaoni lazima izingatiwe

    Kila mtu ana haki ya faragha akiwa Mtandaoni. Hii inajumuisha uhuru wa kutofuatiliwa, haki ya kutumia msimbo (encryption), na haki ya kutokujitambulisha kwa majina halisi. Kulindwa kwa haki hizi siyo tu huongeza uhuru wa kujieleza bali huongeza ushiriki wa watu katika kupasa sauti zao wawapo...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mkutano wa mjadala wa utekelezaji wa mradi wa uimarishaji ya miliki ya ardhi(land tenure improvement program)

    MKUTANO WA MJADALA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UHIMALISHAJI YA MILIKI YA ARDHI (LAND TENURE IMPROVEMENT PROGRAM) Tumefungua mkutano wa mjadala wa Utekelezaji wa Mradi wa uhimalishaji Salama ya Miliki za Ardhi yaani Land Tenure Improvement Program. Mradi huu unakwenda kupima, na kutambua Vipande...
  12. K

    Mkuu wa Wilaya ya Kahama anatishia usalama wa waandishi wa habari, zikiripotiwa stori za wanafunzi kusomea chini anakasirika

    Waandishi wa habari Mkoani Shinyanga wameomba mamlaka zinazohusika kuingilia kati vitisho vinavyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga. Malalamiko ya waandishi wa habari ni juu ya hali ya ulinzi na usalama wao katika shughuli zao pindi wanapoandika habari za changamoto zilizopo...
  13. D

    Ijue mipaka ya kimamlaka kwenye video ya mzozo wa mwanajeshi na trafiki wa usalama barabarani inayosambaa mitandaoni

    Kuna video inatembea mitandaoni! Video ile inamuonesha mwanajeshi wa jeshi la wananchi akiwa na sare akiwa ni moja ya abiria kwenye bus (daladala) akizozana na askari wa usalama barabarani (trafiki) Kipande hiko cha video kinaonesha kulikuwa na majibizano na lugha isiyofaa kabla! Maneno...
  14. Sildenafil Citrate

    Kila Mtu ana Haki ya Kujieleza na Kutoa Maoni

    Siku hizi Vifaa vyetu vya kielektroniki vimekuwa fursa kwetu kutoa maoni, kushiriki Mijadala na kutoa Hoja mbalimbali Mitandao ina nafasi muhimu katika kuhakikisha Watu wanabadilishana Mawazo na kupaza sauti zao Uhuru Wa Kujieleza na kutoa Maoni hulindwa na Katiba za Nchi nyingi Barani Afrika...
  15. L

    Enyi wapambanaji, "Kama kazi yako, hujawahi kutana na polisi au vyombo vya usalama" kuwa tajiri Ni ndoto!

    Enyi wapambanaji, "Kama kazi yako, hujawahi kutana na polisi au vyombo vya usalama" kuwa tajiri Ni ndoto! Utakuwa na maisha ya kawaida Sana, shida ZITAKUWA nawe kila siku, lakini kamwe hutoweza kuwa tajiri ktk maisha haya. "Lakini Kama kazi yako unayoifanya una misuko suko ya kukutana na...
  16. JanguKamaJangu

    Iran: Waandamanaji wawili wanyongwa wakituhumiwa kumuua afisa usalama

    Mohammad Mahdi Karami na Seyed Mohammad Hosseini walihukumiwa kunyongwa wakakata rufaa wakidai wakiteswa na kulazimishwa kukiri makosa. Baada ya tukio hilo, hukumu za walionyongwa kutokana na kushiriki maandamano sasa imefika watu wanne. Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty...
  17. S

    Njia salama zaidi kwenye kushughulikia kitovu cha mtoto

    Kinadharia Jamii yetu unaamini uwepo wa nguvu za giza na jinsi zinavyoathiri maisha yetu. Kitovu ni muunganiko wa kiroho na kimwili ili kupitisha virutubisho na uwepo wa mawasiliano ya kiroho pia Kati ya mama na mtoto. Ipo inayotumika kupitisha nguvu za giza Ili kudhuru au kukamata maisha ya...
  18. Dr Restart

    Kwa nini Wanajeshi, polisi, magereza na Usalama wa Taifa bado wanamlilia Rais Magufuli?

    Amani iwe nanyi. Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu. Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa...
  19. BARD AI

    Msumbiji yachukua nafasi ya Kenya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC)

    Taifa hilo kutoka Kusini mwa Afrika limeingia rasmi katika #BarazalaUsalama la Umoja wa Mataifa (UNSC), likianza muhula wa miaka 2 baada kuchaguliwa Juni 2022 pamoja na Nchi za #Ecuador, #Japan, #Malta na #Switzerland. Msumbiji inaungana na #Ghana na #Gabon kuhudumu katika Baraza hilo, huku...
  20. Erythrocyte

    Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

    Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu? Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa? Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom