Hatuwezi kuamini kwamba Mtaishia kumsema sema kwenye hizo Press release pekee.
Kwa tunavyowajua CCM na Wahuni Gang wake, ni vema tuwaambie mkae mkijua hilo, kwamba maadamu tumewaona hadharani mkimshambulia kwa hasira kali.
Na pale atakapopatwa na lolote lile baya, hatutawaacha na nyinyi...