usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    LGE2024 Kigoma: Zaidi ya Wananchi 200 wakimbilia porini wakihofia Usalama wao

    Zaidi ya watu 200 wakazi wa kijiji cha Kagunga, Halmashauri ya wilaya ya Kigoma, mkoani Kigoma wako mafichoni/ porini huku usalama wao ukiwa shakani kutokana na kile kinachodaiwa uwepo wa oparesheni 'isiyo salama' inayoendeshwa na Jeshi la Polisi dhidi yao kijijini hapo Akizungumza na Jambo TV...
  2. Waufukweni

    LGE2024 Mwanza: Askari wa Jeshi la Polisi Wafanya doria kuimarisha Usalama wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Hizi ni picha mbalimbali zikiwaonyesha askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza wakifanya doria katika maeneo mbalimbali ikiwa ni kuimarisha hali ya ulinzi na usalama mkoani humo.
  3. Waufukweni

    LGE2024 DC Chamwino: Hakutakuwa na viashiria vya changamoto ya Usalama wakati wa Uchaguzi

    Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Janeth Mayanja amesema kuwa hali ya usalama ni shwari katika vituo vyote vilivyopo katika vijiji 107 na vitongoji 813 katika Wilaya Hiyo ya Chamwino Mhe. Mayanja ameyasema hayo Leo Nov 27,2024 wakati akizungumza na Wasafi Media kwenye kituo Cha kupiga kura Cha...
  4. S

    Mradi wa usalama barabarani TZS 1.7 trillion?

    Nchi hii haishi vituko. Kuna kigogo mmoja wa Bunge, kawa dalali wa kampuni moja ya UAE anashinikiza jeshi la Polisi na wizara ya Mambo ya ndani kuingia katika mradi wa ubia wa dola milioni 700 unaohusu kuweka camera za usalama barabarani nchi nzima. Gharama halisi ya mradi huu kwa upembuzi...
  5. Poppy Hatonn

    Wajibu wa vyombo vya Ulinzi na usalama

    Msako mkali wa polisi dhidi ya vijana 520 wa Tanzania Bara wa kambi ya upinzani kati ya tarehe 9 na 12 Agosti 2024, hii ikiwa ni mkakati wa kuwazuia kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Vijana, kama walivyotaka, kwa madai kuwa polisi walikuwa wanazuia. Tishio la wazi, lililopo na lililo karibu...
  6. The Watchman

    LGE2024 Chalamila: Kwa atakayetishia usalama siku ya uchaguzi tutamnyakua na hatokuwa salama

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza jijini Dar es salaam kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mnamo mwezi Novemba 27, 2024 amesema hali ya usalama mkoa wa Dar es salaam ipo vizuri na mtu yeyote atakayejaribu kuharibu amani iliyo siku ya uchaguzi hatoachwa salama na...
  7. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Tamko la CCM kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, kwani utahusisha kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji, wajumbe wa kamati za...
  8. co fm

    Magomeni usalama

    Wadau humu jf, najua wengi humu mnauelewa na maeneo mbalimbali hapa jijini.Napenda kujua kwanini pale magomeni panaitwa magomeni usalama au chang’ombe usalama
  9. Waufukweni

    LGE2024 DC Malinyi, Waryuba awahakikishia wananchi Usalama na Amani kipindi cha Uchaguzi

    Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba ameyasema hayo wakati aliposhiriki uchaguzi marathoni Wilayani Malinyi kwa lengo la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27, 2024. DC Waryuba amesema kuwa huu ni wakati sahihi kwa wananchi kutumia haki yao ya msingi na ya kikatiba...
  10. Ojuolegbha

    Waziri Kombo kuongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa kujadili amani na usalama Ukanda wa Maziwa Makuu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ataongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa Kawaida wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje (RIMC) wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) utakaofanyika jijini Luanda, Angola...
  11. W

    Ulinzi na Usalama waimarishwa Kenya baada ya funu za Maandamano kufanyika leo Rais Ruto akiwa anahutubia Wananchi

    Vikosi vya Usalama vimeongezwa maeneo ya Ikulu na Bunge kabla ya Rais William Ruto kutoa hotuba yake leo mchana Novemba 21, 2024 baada ya taarifa za Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo kusambaa mitandaoni Aidha, Jeshi la Polisi (NPS) nchini humo lilitangaza Novemba 20, 2024 kuwa Maandamano...
  12. Thabit Madai

    NIT yatoa mafunzo ya usalama barabarani Zanzibar

    CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupitia Kituo chake cha Kikanda cha Umahiri katika Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usafiri na Usalama Barabarani Zanzibar (ZARTSA) kimetoa mafunzo ya usalama barabarani kwa madereva na makondakta wa gari za abiria wa Mkoa wa Kaskazini...
  13. M

    KERO Choo cha Wanawake Kivukoni Magogoni usalama ni mdogo wakati wa usiku pia hakuna privacy

    Mazingira ya choo kwa ajili ya Abiria kwa Wanawake katika Kivuko upande wa Magogoni hayana privacy’ na pia kuna muda hakuna usalama kwa watumiaji hasa wakati wa Usiku. Kero ya kwanza, wakati wa mchana abiria wanapokuwa hapo wakisubiri usafiri, watu wanakaa hadi karibu na mlango wa kuingia...
  14. B

    Ningekuwa mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Dar Es Salaam, ningefanya haya kujiandaa na Majanga na wakati wa Majanga

    Ndugu zangu wana Jukwaa, poleni kwa sote kwa yale yanayoendelea. Tuendelee kuweka nguvu zetu kwa panoja ili hatimaye hatua za uokoaji ambao serikali imeshaingilia kati ziweze kulete manufaa kwa wahanga. Pamoja na hayo ni vema tukatumia wakati kama huu kabla watu jawajasahau( watanzania ni...
  15. C

    Naombeni kujua utaratibu wa kuwa afisa usalama mahali pa kazi Kuna mambo mengi nayashuhudia mazuri na mabaya ila nimekosa platform

    Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali) Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa Mwenye kujua anipe mwongozo
  16. Waufukweni

    Pre GE2025 Ni mbinu ya kupata kura?, Utekelezaji wa miradi na miundombinu kipindi cha Uchaguzi: Je, Usalama wa Mazingira na Uendelevu unazingatiwa?

    Muda wa uchaguzi ni kipindi cha kipekee katika mchakato wa kisiasa, ambapo wagombea na vyama vya siasa hutumia kila mbinu kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda kura. Katika mazingira ya Tanzania, utekelezaji wa miradi ya miundombinu na maendeleo wakati wa uchaguzi umejikita kama sehemu muhimu...
  17. Wakusoma 12

    Sheria iliyopitishwa na bunge inayowaruhusu maafisa usalama kutenda jinai na wasihojiwe ndiyo inatuletea matukio haya ya watu kuuawa na kutekwa.

    Very painful Karne ya ishirini na moja unaruhusu binadamu mwenziyo kuuawa na kuteswa kwa kisingizio Cha kutekeleza majukumu. Nani asiyejua Kuna bahati mbaya na ndiyo maana kwenye makosa ya mauaji yapo ya kukusudia na Yale ya kutokusudia. Sasa inakuwaje bunge letu, Baraza la mawaziri pamoja na...
  18. figganigga

    Shujaa wangu ni Tajiri Peter Zacharia aliyewamiminia risasi Watu wasiojulikana. Baadaye Ikajulikana walikuwa Usalama wa Taifa

    Mmiliki wa mabasi ya ‘Zacharia’, Peter Zacharia, Juni 30, 2018 alishikiliwa na vyombo vya dola mkoani Mara kwa tuhuma za kuwamimini risasi maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa waliodai walikuwa katika majukumu yao. Matiss hao walikimbizwa hospitali ya mjini Tarime kupata matibabu Tarime...
  19. BENEDICT BONIFACE

    Matumizi ya Teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) katika Kuboresha Ufanisi na Usalama wa Majadiliano kwenye Jukwaa la Jamiiforums

    Jukwa la Jamiiforums linaweza kuboreshwa kwa kutumia teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) kuharakisha usimamizi wa maudhui na kuleta uzoefu mpya kwa mtumiaji. Hapa kuna baadhi ya njia za kuingiza AI katika jukwaa la Jamiiforums: 1. Usimamizi Wa Maudhui na Uchambuzi wa Hisia za Wachangiaji...
  20. Roving Journalist

    Dkt. Biteko Ataja Jitihada za Serikali Kuboresha Ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mwaka 2015, Tanzania iliunga mkono Ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya na kuharakisha utekelezaji wa Sheria za Afya za Kimataifa ili kuzuia magonjwa ya kuambukiza kusambaa kimataifa. Kupitia tathimini ya pamoja...
Back
Top Bottom