Tunapozungumzia USALITI WA KIFEDHA (Financial Infidelity) kwenye mahusiano ama ndoa, hatuamanishi kumuibia mwenza wako pesa.
Bali tunazungumxzia hali ya kutokuwa muwazi kwenye masuala ya kifedha kwa mwenza wako hasa juu ya mapato na matumizi yako ya kifedha.
Usaliti wa Kifedha unaozungumzwa...