Mbowe ni kibaraka wa CCM na watu walishampuuza kabisa.
Wananchi sasa wapo serious kupambana na maisha magumu hivyo hawataki usanii wa kipuuzi juu ya hatima maisha yao.
Kujifanya wajanja ili muchezee akili za wananchi wao walishashutuka ipo siku mtapigwa mawe hadharani.
Huu sio wakati wa Mbowe...
Wasanii wanatengeneza mapambo kwa kutumia siagi za rangi (butter sculptures) katika mji mkongwe, Lhasa. Huu ni usanii wa jadi wa utengenezaji wa sanamu mkoani Tibet kwa kutumia siagi.
Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi...
Nchi hii kuna viongozi wa ajabu ajabu sana, hivi waziri anapata wapi mamlaka ya kuzuia uhamisho wa mtumishi wa umma ambaye mkataba wake unamruhusu kuhamia eneo lolote kisheria?
Utakuta mtu ana miaka mpaka 8 hadi 10 anafanya kazi ndani ya eneo moja, lakini leo hii anaomba kuhama kufuata...
Kuna wimbi kubwa la usanii Wakati unapouziwa gari kwenye showroom: wateja wengi wanalalamika kuwa wauzaji wanaondoa Baadhi ya vifaa muhimu vya magari mf. Vifaa ndani ya Exhaust system n. k.
Kagua vizuri kabla na uende kununua ukiwa na fundi gari. Wengi hawakagui, wanastuka Baadae wanapopeleka...
Yaani GSM umefikia hatua ya Kulazimisha Yanga SC icheze Mechi za Kirafiki kisha mnazungumza na Mabeki wa hizo Timu wamuachie Mayele afunge Magoli ili asionekane Mzigo na kama mmesajili Garasa tu?
Haya GSM hebu Wahongeni basi na Mabeki wa River United FC mnaocheza nao CAF CL Siku ya Jumapili...
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo...
Usanii huu wa DStv utaendelea mpaka lini?
Leo wameondoa channel namba 228 (super sport variety) Kwa vile Tu mashindano ya Olympic yataanza kesho kutwa!! Huu sio uungwana na ni wizi wa mchana tena ni usanii mtupu, haiwezekani tumelipia kifurushi ambacho hiyo channel inakuwepo halafu ghafla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.