Wakati tunaelekea siku ya wanawake najua kuna ujinga mwingi sana utaenezwa kuhusu kuwawezesha wanawake na masuala ya usawa. Mwanaume mwenzangu tumi akili yako usiruhusu huo ujinga ukupumbaze.
Ukweli ni kwamba, hakuna 50/50 kwenye akili ya mwanamke, ni either uwe umemzidi kwa mbali akupe hadhi...
Kama umeajiriwa/umejiajiri haina haja ya kumpiga vibuti bwana yako kila mara.
Kama umeajiriwa/umejiajiri toa kwa moyo na jitihada as much as bwana yako anavyozitoaga ili kukidhi bills na costs.
Kama bwana yako hana kwa muda huo, fanyeni usawa wa kumvumilia ukata wake na sio kumdharau na...
Dunia yenye vita, Dunia yenye kila aina ya majanga ya asili(tsunami, tetemeko n.k),Dunia yenye vichaa, Dunia yenye ukatili wa kila namna, Dunia yenye vipofu, Dunia yenye ajali, Dunia inayobagua walemavu na wazima, Dunia inayobagua makapuku na wenye navyo.
Hayo yote yote yanathibitisha Mungu...
Mkoa wa Katavi hii leo umezindua maadhimisho ya siku ya Wanawake ambayo ulimwenguni yatahitimishwa March 8, 2025 huku yakiangazia nyanja kuanzia mafanikio, changamoto na hata mustakabali wao, sio tu kwa wanawake bali pia wasichana.
Kote mkoani humo, Taasisi za serikali na zisizo za serikali...
Unaanza kukumbaka mara ya mwisho kijiweni uliongea nini controversial, JF ulipost nini controversial, kitu gani umenunua kutoka kwa mtu labda ni cha wizi, 😂
Ebu ingia hapo UAE, nchi ya Kiarabu iliotajirika, nchi yenye nguvu kuu yaku-attract asilimia kubwa ya wahamiaji kutoka mataifa ya kiarabu mengine lakini ...
Hakuna grooming gangs
Hakuna rape cults
Hakuna extremist organizations
Hakuna extremist charities
Hakuna extremists on welfare
Hakuna...
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka wadau wa uchaguzi kuendelea kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali iliyowekwa kwaajili ya Kusimamia shughuli za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mrindoko ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake...
Anayekwambia ukweli, jua anataka upone. Maisha yetu yameandamwa sana na siasa kiasi kwamba sasa hata vitabu vya dini tunavipiga teke. Ndiyo! Tunataka kila mtu apewe usawa, watu wote wawe sawa kwenye nyanja mbalimbali.
Lakini ukweli ni kwamba, anguko kubwa la mwanaume linaanzia kwa mwanamke...
Habari za mchana, kwa uchache wa maneno ukijaribu kufatilia kuanzi mechi ya kwanza had imefikia sasa mzunguko wa8 kwa baadhi ya timu, utaona utaona hamna mechi hata moja iliyoihusisha Simba, Yanga au Azam wakicheza majira ya sa8 mchana na ukifatilia ratiba yote haikuonyeshi mda huo kwa hizo...
Ukiona watu wanasema million ni ngumu kuikamata huku wengine wanaidaka kwa mkupuo Yani like simple hivi.
Waulize migodini, mabaharia, wazee wa kago, sema duh kuna watu wanapiga ela wewe na viten ten vyako utasubiri sana.
Badili mfumo wa kusaka maokoto Hakuna namna
Sheria kama vile zile za viti maalum kwa wanawake ni muhimu sana katika kuhakikisha usawa wa kijinsia kwenye siasa.
Zinalenga kuongeza uwakilishi wa wanawake katika mabunge na halmashauri mbalimbali nchini Tanzania, ambako kihistoria, wanawake wamekuwa wakipata nafasi ndogo katika maamuzi ya...
Duniani hapa ukitaka kupoteza muda wako we jaribu kutafuta usawa katika mapenzi, kiufupi hilo ni swala ambalo haliwezekani hata kidogo
Yaani kila mtu unayemuona ana matamanio yake ana vigezo vyake anavyopenda kwa mtu ana madhaifu yake, na ukiachana na hayo yote ukishaambiwa hiki kitu...
HATUWEZI KUHUBIRI
HAKI NA USAWA
HUKU TUKIWA WENYEWE
HATUFANYI
HAKI NA USAWA WENYEWE
TUKILAZIMISHA MUONEKANO TUSIO NAO TUTAKUWA WANAFIKI
Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni nikitoa somo ili kubadilisha mentality za Uchawa na upigaji.
Nikaanza
Mwenyezi Mungu ametupatia Akili ili...
Kwa tuliobahatika kuoa wanawake wanaojua majukumu yao ya asili tunasema asante ila tunasikitika kwa wanaume wenzetu waliooa wanawake pro haki sawa, tunahofia pia watoto wetu kusombwa na hili gharika.
Wanawake wa kisasa wengi wameona majukumu yafuatayo wasaidiane na waume zao
Kufua nguo - Kuna...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejidhatiti kikamilifu katika kupigania usawa wa kijinsia kati ya watoto wa kike na wale wakiume. Lakini kwa siku za hivi karibuni serikali imejenga dhana ya kumbagua mtoto wa kiume na kumkweza mtoto wa kiume akitangatanga bila ya msaaada wowote ule...
Tanzania iko katika wakati muhimu katika historia yake. Dira hii inaangazia hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kutokomeza ubaguzi wa kijinsia, kukomesha ndoa za utotoni, utumikishwaji wa watoto, tohara kwa wanawake na unyanyasaji huku tukikuza elimu na mazingira tegemezi kwa watoto wote. Suluhu...
✍#GMdadisi
Wengi tunachanganya na kujikuta tukipotosha zaidi kuhusu dhana ya usawa wa kijinsia kwa kutokujua vizuri.
Bahati mbaya sana wengi wameaminishwa na wanaamini Usawa wa kijinsia (gender equality) inawahusu zaidi wanawake kuliko kundi lingine.
Kuna USAWA WA KIJINSIA (Gender Equality)...
Kwa kuwa maendeleo ni mchakato wa pamoja kati ya serikali na wananchi, hapa kuna hoja kadhaa ambazo zinaweza kuchangia maendeleo makubwa Tanzania ndani ya miaka 5 hadi 25
Ila katika kila point ntakayotoa ELIMU ni kipaumbele changu
1. Elimu Bora na Endelevu: Kuwekeza katika elimu ya msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.