TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 utakuwa wa huru, haki na wenye kufuata katiba na hiyo ni pamoja na kuruhusu watazamaji wa ndani na nje ya nchi ambapo hadi sasa Tume imetoa vibali kwa Asasi za kiraia na Taasisi 97 za ndani ya nchi na makundi 16 ya...
Na: McWenceslaus
01/10/2020.
Habarini za muda ndugu wanabodi wenzangu! Poleni kwa kazi na majukumu mengi ya siku. Baada ya kukaa kwa muda hivi, tukiwa tunatathiminu hali ya kampeni tangu mwanzo hata hivi leo, zikiwa zimesalia siku 27 kufika siku ya kufanya maamuzi ya kamchagua Rais, wabunge na...
Na: McWenceslaus
01/10/2020.
www.ccmmpya.org
Habarini za muda ndugu wanabodi wenzangu! Poleni kwa kazi na majukumu mengi ya siku. Baada ya kukaa kwa muda hivi, tukiwa tunatathiminu hali ya kampeni tangu mwanzo hata hivi leo, zikiwa zimesalia siku 27 kufika siku ya kufanya maamuzi ya kamchagua...
Kwa nini wanawake mnadai haki na usawa wa kijinsia huku mnashindwa kuonyesha umoja kwenye njia mnayoipitia katika kudai usawa na ile nadhalia ya kutaka kupewa nafasi kwenye mabalaza ya maamuzi?
👉 Wanawake wanadai usawa kwenye kila jambo wanaloona wameachwa nyuma, tuzungumzie siasa na uongozi...
Salaam Wakuu.
Napenda kushare nanyi wakuu wa jukwaa hili kuhusu Ibara moja wapo ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanania ya mwaka 1977.
Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 42(3)(a) inasomeka hivi-
(3) Mtu aliyechaguliwa kuwa Rais atashika kiti cha Rais hadi-...
å Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC.
å Taarifa ya kwanza ilikuwa ni kuripoti matukio ya kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020 ya vyama tofauti tofauti.
å Wa kwanza kuripotiwa ni mgombea wa CCM, John Pombe...
Katika kampeni zinazoendelea, nimeona zinakibeba chama cha mapinduzi kwa sehemu kubwa, kwani viongozi wanaogombea bado wanako madarakani na wamekuwa wakiendelea kutoa maagizo kwa mamlaka zilizo chini yao,
Mfano: Unakuta mgombea urais anatoa maagizo ya kujenga barabara na pia kutoa pesa...
Habari waheshimiwa!
Hapo mwanzo kulianza kuwa na harakati za haki sawa, binafsi nilikubaliana nazo maana kulikuwa na baadhi ya wanawake wanadhulumiwa haki zao kutokana na sheria kandamizi zilizokuwepo wakati huo. Wanaharakati walipambana na hatimae sheria kandamizi zikaondolewa na zinaendelea...
Ni dhahiri tupo kwenye usawa wa microscope ya tunaowaita "mabeberu". Figisu zote zinaonekana na zitaendelea kuonekana dhahiri kabisa dunia nzima.
Muhimu ni kwa vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia uchaguzi vizingatie uwazi, haki na usawa kwa vyama vyote na wagombea wote.
Hakuna jiwe...
Kilichotokea nchini Mali na nchi mbalimbali duniani kuhusu viongozi madikteta kuondolewa madarakani kinatoa somo kwa maafisa waandamizi wa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa hawaijui kesho yao basi ni vema kutenda haki na usawa kwa watu wote bila kujali vyama vyao vya siasa kwa kufuata katiba...
Hivi karibuni, Marekani imefanya kila iwezalo kwa kisingizio cha “usalama wa taifa” kuidhoofisha kampuni ya teknolojia ya Huawei, hata kuikashifu kuwa “mkiukaji wa haki za binadamu” na kutangaza kuweka vikwazo vya visa dhidi ya wafanyakazi wa Huawei. Lakini je, nani anayetishia zaidi usalama wa...
JOHN Shibuda, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, amesema Rais John Pombe Magufuli, aliumizwa na sintofahamu iliyojitokeza katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa tarehe 24 Novemba 2019.
Shibuda amesema hayo leo Ijumaa tarehe 17 Julai 2020 wakati akizungumza katika warsha ya wadau...
BAadhi ya wabunge wasitaafu wanatumia kiinua mgongo waliachopata hivi majuzi kurubuni wajumbe na hicyo kuondoa keshima ya chama chetu.
Kila kona rushwa. Hii inaondoa usawa kwa wagombea ubunge mwaka huu. Itakuwa vigumu sana wasio na pesa kupata ubunge.
Tunaimba uongozi wa chama chetu ccm uwe...
Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho.
Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa kumpata mtu atakayepeperusha bendera ya Chadema kwa nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu.
Kwa hali...
Hii nchi haina usawa. Hii nchi haijapata kiongozi wa kuleta usawa ingalau kwa nusu tu miongoni mwa wananchi....
Tumesikia wimbo huu wa kinafiki kuwa, Rais John Pombe Magufuli ni Rais na kiongozi wa wanyonge, wananchi wa hali ya chini wa nchi hii....
Si kweli, ni uongo mtupu na ni propaganda za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.