usawa

Lawndale is a town in Cleveland County, North Carolina, along the First Broad River. The population was 606 at the 2010 census.

View More On Wikipedia.org
  1. TODAYS

    Dunia haina usawa, Miguna Miguna kaamua kulianzisha dhidi ya Raila Odinga

    Huyu jamaa kama mnakumbukumbu ndiye aliyemwapisha aliyekuwa jamaa yake wakati huo ndugu Raila Odinga baada ya uchaguzi uliompatia ushindi Rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Jamaa baada ya kuona mambo magumu alikimbilia uhamishoni Canada. Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana amempiga na kitu kizito...
  2. Mr George Francis

    Haki ya usawa wa kikatiba

    HAKI YA USAWA WA KIKATIBA. Ibara ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema binadamu wote ni sawa na kiila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. Kila mtu anayo haki ya kupata heshima na thamani inayostahili utu wake. Ibara ya 13 inasema watu wote ni...
  3. L

    Haki na Usawa: Wito wa China wa kuwa na jamii yenye haki zaidi yenye mustakabali wa pamoja

    Haki na Usawa: Wito wa China wa kuwa na jamii yenye haki zaidi yenye mustakabali wa pamoja NA BRYAN OTIENO "Muunganiko na muunganiko, hufuatana umbali wa maili elfu moja." Matukio sawa ya kihistoria na ujumbe sawa wa kihistoria umeunganisha kwa karibu China na Afrika, na China na Afrika...
  4. Mr George Francis

    Haki ya usawa na kutobaguliwa kwa watu wenye ulemavu

    Kumekuwa na kasumba mbaya ya ubaguzi, ambapo baadhi ta watu katika jamii hubagua wengine kwa kuangalia vigezo mbalimbali visivyo na mashiko. Watu wenye ulemavu ni moja ya kundi linalokutana na kadhia hii kwa kiwango kikubwa, hali inayopelekea kukosa kupata baadhi ya huduma za muhimu katika...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Wizara ya Nishati, tunaomba TPDC waajiri watu waliosoma fani za mafuta kwa usawa

    Kwako Wizara ya Nishati, Rejea Tangazo la ajira za shirika letu la mafuta, TPDC. AJIRA MPYA - Shirika limetoa ajira nyingi za kutosha lakini kuna baadhi ya fani za mafuta hazijatajwa kwenye Tangazo hilo ilihali watu wa fani hizo wanaweza fanya kazi hizo. Tunazo fani nyingi za mafuta na gesi...
  6. K

    SoC02 Ni usawa au kufanana kijinsia?

    Usawa wa kijinsia ni lengo la jitihada za kuleta usawa katika jinsia zote,kutokana na dhulma mbalimbali za jinsia moja dhidi ya nyingine.Usawa wa kijinsia unahusiana na haki za binadamu, hasa haki za wanawake na maendeleo ya kiuchumi. Hoja hii imejengwa juu ya msingi kwamba kwa vile heshima ya...
  7. T

    Ukiumizwa na kutendwa, bado unaweza kutoa msamaha?

    Katika maisha haya bado nawaza tofauti ya kuumizwa na kutendwa maana najua mtu kukuumiza ni pale amekuonea au kupoteza imani yake juu yako lakini kutendwa na jua tu labda kwenye usaliti wa mapenzi au umeachwa, ila mimi juzi yaliyonikuta hata nalia kwa uchungu kwani mwanaume niliyechumbiwa naye...
  8. EGF

    SoC02 Tushikamane katika suala la kukuza usawa kwa jinsia ya kike

    Usawa wa kijinsia ni lengo la jitihada za kuleta usawa kati ya jinsia zote, kutokana na dhuluma mbalimbali za jinsia moja dhidi ya nyingine. Usawa wa kijinsia unahusiana na haki za binadamu, hasa haki za wanawake na maendeleo ya kiuchumi. Waathirika wakubwa katika suala la usawa wa kijinsia...
  9. Razmax

    SoC02 Elimu ya usawa wa kijinsia

    Wazo la usawa wa kijinsia ni usawa mzuri kati ya mahitaji tofauti, majukumu, shughuli, na mahitaji ya maisha yetu ili kubaki na usawa na msingi. Ni mada ambayo mara nyingi hujadiliwa lakini haifanikiwi kila wakati. Dhana ya kufikia uwiano kati ya kazi na maisha si jipya. Kwa kweli, imekuwa...
  10. Mag3

    Ukweli mchungu: CCM haikutupora viwanja tu, CCM imetupora wananchi uhuru wetu, haki na usawa!

    Kumtaka Rais kutoka CCM aingilie swala la wizi na uporaji wa mali za wananchi uliofanywa na CCM, chama ambacho hakioni aibu kumiliki mali hizo, ni ndoto za Alnacha. Rais ni zao la chama hicho na anaingia madarakani baada ya kuwaridhisha waporaji wenzake ndani ya chama hicho kuwa atalinda na...
  11. B

    USAWA uko wapi kwenye ongezeko la posho za kujikimu

    Serikali imeongeza posho ya kujikimu safarini kutoka shs. 120,000 hadi shs. 250,000 kwa daraja la juu na kutoka shs. 80,000 hadi shs. 100,000 kwa sisi makabwela. Ukiangalia hayo mabadiliko utaona kwamba wakubwa wamejiongezea hizo posho kwa zaidi ya 108% lakini nyongeza ya sisi hohe hahe ni...
  12. beth

    Mbunge Mwanaisha Ulenge: Hakuna usawa katika upatikanaji wa Elimu

    Mbunge wa Viti Maalum, Mwanaisha Ulenge amesema Tanzania haina usawa katika upatikanaji wa Elimu kwasababu ipo Mikoa ambayo bado ipo nyuma Kielimu, ikimaanisha kuna watu wataendelea kubaki nyuma kimaendeleo Amefafanua, "Wakati tunaenda kufanya Mapitio kwenye Sera ya Elimu, tufanye Tafiti kujua...
  13. F

    Dunia haina usawa - hata wajinga kabisa wanapata pesa za hatari

    Dunia hii haina usawa. hasa hasa hapa Africa yaani Tanzania..Unakuta mtu umesoma hadi Masters ama hata PhD ya sayansi sasa unajikuta unatungiwa sheria za nchi na form four na div 4. Hii kwa kweli mimi binafsi inaniuma - inauma saana. Sera za nchi huwa zinatungwa na watu wasomi makini.. siyo...
  14. L

    Wanawake ni usawa gani mnaoutaka?

    Hapo kwa majirani Ukraine raia wanakimbia vita lakini wanaume kuanzia miaka 18 kwenda juu wanazuiliwa wasiondoke. Wanawake na watoto kiulaini wanavuka boda kuingia Poland. Kama wanawake wanataka usawa kwanini wasibaki kupambana kama wanaume? Beijing wanasemaje?
  15. beth

    Februari 20: Siku ya Kimataifa ya Haki za Kijamii (Social Justice Day)

    Haki ya Kijamii Humaanisha uwepo wa Haki sawa kwa watu wote na uwezekano wa kila mtu, bila ubaguzi, kufaidika na Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii Duniani kote Ni mtazamo kwamba kila Mtu anastahili Haki na Fursa sawa. Baadhi ya Haki za Kijamii ni pamoja na kushiriki Uchaguzi, Usawa wa Fursa za...
  16. T

    Wito kwa Waziri wa Elimu: Shule zishindanishwe/zitengwe kulingana na mazingira ya utoaji elimu

    Sijui kama ni makusudi au uvivu wa kufikiri, au kuamua kuishi kwa mazoea. Kila mwaka baraza la mitihani wanakuja na majina ya wanafunzi na shule bora katika matokeo ya mitihani ya ngazi tofauti. Kinachosikitisha ni kwamba kuna utofauti mkubwa sana wa mazingira ya utoaji elimu hapa nchini...
  17. sky soldier

    Usawa: Naibu spika ni mkristo wa Bara, spika awe mwislamu wa Zanzibar

    Naibu spika Tulia Mwansasasu tayari ni Mkristo mwanamke wa bara, inapendeza apika mpya awe mwislamu mwanaume hasa akitokea zanzibar
  18. B

    Mhe. Ummy sare uleta usawa shule za serikali, mzazi anayekosa unifomu nivigumu Kupata nguo mbadala za mwanaye: Tupunguze free lunch Kwa wananchi

    Aliyeanzisha uniform au sare shuleni naamini alilenga kuweka usawa baina ya maskini na tajiri lakini pia alitofautisha Kati ya Mwanafunzi na watu watoto wengine. Tunaposema asiye na sare aende shule tunakosea, tulipaswa kuwabaini wasio na unifomu mapema Tena kwa kujiandikisha ikiwemo kuweka...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna maisha magumu Zama hizi; kilichopo ni watu kutaka usawa

    HAKUNA MAISHA MAGUMU ZAMA HIZI, KILICHOPO WATU WA SASA KUPENDA USAWA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Hakuna maisha rahisi Kama ya Zama hizi. Siku hizi kila kitu kimerahisishwa. Sijazaliwa zamani Sana Ila miaka ya 2000 Kurudi nyuma maisha yalikuwa complicated, yalikuwa magumu jamani. Sio kwenye...
  20. L

    #COVID19 Kuibuka kwa aina mpya za virusi kungeweza kuepukwa kama chanjo ingetolewa kwa usawa

    Wiki hii dunia imejikuta tena ikitamalaki baada ya kusikia aina mpya ya COVID-19 imeenea karibu katika mabara yote duniani. Mamlaka zote za afya duniani zimekuwa kwenye tahadhari kuhusu virusi vilivyopewa jina la Omicron, baada ya kutangazwa kuwa vina uwezo mkubwa wa kuenea kuliko virusi...
Back
Top Bottom