usawa

Lawndale is a town in Cleveland County, North Carolina, along the First Broad River. The population was 606 at the 2010 census.

View More On Wikipedia.org
  1. mshale21

    Amani Karume: Nilishangaa wana-CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, Uchaguzi 2015 Zanzibar nilisikitika, niliwauliza hawa wenzetu si Watanzania?

    Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume amesema miongoni mwa mambo yaliyowahi kumsikitisha ni kuitishwa kwa uchaguzi wa marudio mwaka 2015, wakati wakiwa kwenye kikao cha kujadili yaliyotokea katika uchaguzi huo akisema yeye alikuwa miongoni mwa wajumbe wa CCM waliokuwa wakifanya...
  2. mwanamwana

    Getrude Mongella: Unapokuwa unaamini usawa wa binadamu ukiacha baadhi ya binadamu nje wewe ni mnafiki

    RAIS wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Balozi Getrude Mongella amesema demokrasia ni ushirikishwaji wa kila mmoja na kwamba huwezi kutofautisha usawa wa binadamu na demokrasia. Amesema “Unapokuwa unaamini usawa wa binadamu ukiacha baadhi ya binadamu nje wewe ni mnafiki. Huwezi ukasimama hapa...
  3. U

    Dunia haina usawa kwanini muongoza meli/ndege aitwe captain halaf wa basi aitwe dereva

    Ili tuwe na tukae katika usawa basi tuheshimiane , kwanini muongoza chombo meli au ndege anatambulika kama captain na anavaa kofia na nguo za kiaskari wakati muongoza basi anaitwa dereva , hiyo sio haki na wao waitwe madereva, au wa basi aitwe kaptain apewe nguo na kofia ya kijeshi Kama wenzake...
  4. beth

    #COVID19 UN: Dola Bilioni 8 zinahitajika kuhakikisha usawa katika Chanjo

    Umoja wa Mataifa umesema fedha hizo zinahitajika kuhakikisha Chanjo dhidi ya CoronaVirus zinasambazwa kwa usawa duniani kote ili kutoa fursa kwa Nchi zote kupambana na janga hilo ambalo limesababisha vifo zaidi ya Milioni 5 UN imesema kutokuwepo na usawa katika usambazaji ni hatari kwakuwa...
  5. P

    Maendeleo kwa usawa wa kikanda

    Nimekuwa nikitafakari ile kauli ya viongozi kwamba maendeleo yanapelekwa kwa usawa katka mikoa yote bongo lkn naona Kanda ya Ziwa Magharibi imeachwa mno haswa katika taasisi na miundombinu Kama ifuatavyo 1. Barabara: Hii ndio Kanda pekee mikoa haijaunganishwa kwa lami ie...
  6. beth

    #COVID19 UNGA: Afrika yaeleza ukosefu wa usawa chanjo za Corona

    Viongozi wa Afrika wameelezea ukosefu wa usawa katika usambazaji wa chanjo za Covid-19, wakati walipohutubia kikao cha 76 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, mjini New York. Katika hotuba yake ya kwanza kwa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ukosefu wa...
  7. K

    SoC01 Janga la hamsini kwa hamsini ifikapo 2025

    TAFAKARI NAMI KATIKA MAKALA HII Kumekuwa na kelele nyingi zinazohusu usawa wa kijinsia, kauli mbiu ikiwa ''Hamsini kwa Hamsini ifikapo 2025''. Kumekuwa na nadharia kuwa wanaume wamekuwa wanawakandamiza wanamke, Tumeshuhudia katika kipindi miaka kumi iliyopita kumekuwa na ongezeko kubwa la...
  8. Magema Jr

    Wanaopinga Serikali ya Rais Samia wapo wengi tofauti na matarajio yake kama Rais Mpenda haki na usawa

    Ni miezi michache tu tangu bibi yetu achukue kijiti hiki.Mwanzoni alionekana kukubalika saana hasa na wapinzani na wenye mlengo tofauti na aliye kuwa rais wakati huo. Lakini hali imebadilika ghafla na kila mmoja wetu ana hofu nna mashaka juu ya hatima ya kesho. Wengine wanajaribu hadi kumpinga...
  9. Eli24

    Usawa 50/50 kwa Wanaume na Wanawake

    Habari za Jumapili wanajamii Naamini mko vzur na weekend ikiwa inaisha taaratibu ila kwa uhakika. Leo nimepita pita kwenye mitandao ya kijamii nimeona baadhi ya wanawake wakiwa wanalalamika kwanini wameteuliwa wakuu wa mikoa wanawake 4 na wanaume 22. Feminists wa kibongo wamekomaa kwel kwel...
  10. Sky Eclat

    Tunapoongelea usawa katika ndoa tukumbuke tofauti za kiuumbaji kati ya Mwanamke na Mwanaume

    Mwili wa mwanaume una misuli mingi kupita wa mwanaume. Misuli hii inampa nguvu za ziada katika kuilinda familia. Mkiona nyoka ndani ya nyumba hutashangaa kusikia muiteni baba, ni mara chache kwenye familia yenye wazazi wawili kusikia kuna nyoka huku muiteni mama. Baba akishamuua nyoka Ego...
  11. Victor Mlaki

    Umbali kutoka usawa wa bahari na tokeo la maisha ya viumbe na uhai

    Umbali kutoka usawa wa bahari una uhusiano mkubwa sana na maisha ya viumbe hai, nadharia mbalimbali zinaonesha asili ya viumbe engi kuwa na ukaribu na maji na hata viumbe wanaoishi kwenye maji. Kadiri umbali kutoka usawa wa bahari unavyoongezeka aina ya viumbe, mimea n.k hubadilika na uwezekano...
  12. Shadow7

    China yataka usawa katika usimamizi wa Dunia

    Rais Xi Jinping wa China amesema mfumo wa utawala wa kilimwengu lazima ufanywe uwe wa usawa na uadilifu zaidi, na kwamba kanuni zinazowekwa na nchi moja ama baadhi ya mataifa haziwezi kulazimishwa kufuatwa na wengine. Akizungumza kwenye Jukwaa la Boao, ambalo ni mbadala na Jukwaa la Kiuchumi...
  13. Victor Mlaki

    Afrika itachukua muda wa karne moja, miongo minne na miaka miwili kufikia usawa wa kijinsia

    Kulingana kasi ya ukuaji wa usawa wa kijinsia ya sasa kwa Afrika utafiti uliofanywa na "Global institute on the power parity in advancing women's equality in Afrika" kama ilivyonukuliwa na (Nanjala, 2020) East African, Afrika itachukua muda wa miaka mia na arobaini na mbili(142) kufikia usawa wa...
  14. msovero

    TAMISEMI mnakosea sana mnapotaka kutoa ajira za walimu kwa upendeleo

    Naibu waziri-Tamisemi, mhe. David silinde akiongea na kituo kimoja cha redio huko Lindi ametoa agizo kwa walimu wakuu kuorodhesha majina ya walimu wanaojitolea kwenye shule zao ili wapatiwe kipaumbele cha ajira kila zinapotangazwa na serikali. In fact ni agizo ambalo linahitaji tafakuri ya kina...
  15. T

    Hivi Serikali itatoa ajira kwa usawa?

    Jamani wanajamvi, Nilikuwa nauliza tu ni lini serikali itatoa ajira za waalimu maanake zile 5000 zimetolewa kwa connection na rushwa nyingi. Lkn tumaini langu ni kuanzishwa kwa somo la historia nina imani wengi tutaajiriwa. Viongozi wetu waache kutuona sisi kama mazombi, nasi tuna haki ya...
  16. Sema Tanzania

    Malezi ~ Elimu juu ya haki na usawa kwa mabinti wa Msalala

    Tarehe 1 Disemba 2020 timu yetu ilipokelewa kwa bashasha na mabinti watatu kutoka shule ya Sekondari ya Nyikoboko mkoani Shinyanga. Mabinti hawa kwa majina yao ni Mengi Daudi, Helena Joseph pamoja na Mengi Lucas, wanafunzi wa kidato cha kwanza. Mabinti hawa walikuwa kati ya washindi wa shindano...
  17. Keynez

    Maboresho katika karatasi ya kupigia kura ili kuleta usawa kati ya wagombea

    Nimejaribu kuichunguza karatasi ya kupigia kura ya Urais wa JMT katika uchaguzi huu uliopita, na nina machache ya kuchangia. Nianze kwanza kwa kusema karatasi ya kupigia kura inabidi kuichukulia kama ni nyaraka muhimu sana. Uzito wa kipekee unahitajika katika kuibuni, kuichapisha, kuisambaza...
  18. Kididimo

    Uchaguzi 2020 Ushauri: TVs na Redio zitoe kwa usawa hotuba za mwisho za Wagombea Urais wote. Miaka yote kuanzia 1995 hadi 2015 ilifanyika hivyo

    Ni maoni yangu kuelekea hitimisho la Kampeni leo 28/10/2020. Lengo kuu ni ili Wananchi wawasikie kwa lugha moja katika kuhitimisha na kesho wafanye maamuzi sahihi. Naamini leo hakuna pumba au chuya, ni mwendo wa "SERA".
  19. Replica

    TBC imekosa usawa hadi kwa yanayoonekana dhahiri

    TBC wanayo matangazo kipindi hiki ambayo yanahamasisha watu kwenda kupiga kura. Matangazo haya yanakuwa na kipande cha mtu anaongea kuhamasiha wengine kwenda kupiga kura na ni matangazo yasiyofungamana na chama chochote. Sasa limekuja la 'Mhogo Mchungu' maarufu kwa uigizaji wa filamu. Tangazo...
  20. hayaland

    Uchaguzi 2020 Hongera sana ITV kwa kurusha habari kwa usawa kwa vyama vyote

    Nimekuwa nikifatilia habari mbalimbali hususani habari za UCHAGUZI KUU NA WAGOMBEA WAKE. nimegundua ni ITV pekee wanaorusha habari sahihi zisizo elemea upande wowote ule(sijui azam).ukikosa habari ya itv inakulazimu kutumia mitandao ya kijamii kupata habari zenye uhakikia zaidi.Baadhi ya vituo...
Back
Top Bottom