ushahidi

Ushahidi is an open source software application, and a non-profit technology company with staff in nine countries whose mission is to help marginalized people raise their voice and those who serve them to listen and respond better. It has been instrumental in creating the Kenyan tech ecosystem, known as the Silicon Savannah, and its employees have gone on to found iHub, Akirachix, and BRCK.The organisation uses the concept of crowdsourcing for social activism and public accountability, serving as an initial model for what has been coined as "activist mapping"—the combination of social activism, citizen journalism and geospatial information. Ushahidi offers products that enable local observers to submit reports using their mobile phones or the internet, while simultaneously creating a temporal and geospatial archive of events. The Ushahidi platform is often used for crisis response, human rights reporting, and election monitoring. Ushahidi (Swahili for "testimony", closely related to shahidi which means "witness") created a website in the aftermath of Kenya's disputed 2007 presidential election that collected eyewitness reports of violence reported by email and text message and placed them on a Google Maps map.The Ushahidi platform has been used by the United Nations Department of Field Services and Peacekeeping, in response to the Haiti Earthquake in 2010, to monitor the Nigerian elections in 2011, by the Obama Campaign for America 2012, by the Nepalese army to respond to the earthquake of 2015, in and by local activists groups such as Humanitarian Tracker to monitor violence in the Syrian civil war and HarassMap to help women report on sexual harassment.Successful deployment of crisis mapping applications like Ushahidi benefits from careful attention to how the technology fits into the relevant cultural settings, and focusing on realistic goals.

View More On Wikipedia.org
  1. Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 19/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. ======= Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi imeahirishwa...
  2. Mke wa Sabaya adai askari wenye silaha waliwavamia

    Arusha. Mke wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Jesca Thomas (28) ameieleza Mahakama namna walivyokamatwa na mume wake na askari waliokuwa na silaha jijini Dar es Salaam. Jesca ambaye ni shahidi wa pili wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Sabaya na wenzake...
  3. Ufaulu wa darasa la nne, kidato cha pili na nne umepaishwa ili kuwafurahisha wapiga kura; ushahidi huu hapa

    Watanzania tumerogwa; yaani tunafurahia matokeo feki huku elimu yetu ikizidi kushuka kila mwaka. Aliyeturoga kafa. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya matokeo ya darasa la nne (SFNA), kidato cha pili (FTNA) na kidato cha nne (CSEE) kutolewa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) hivi karibuni na...
  4. Napendekeza kuanzishwa kwa Bima ya mapenzi, ukiumizwa na kama kuna ushahidi unalipwa

    Hii Bima ni muhimu sana, nashangaa kwanini haipo , mambo ya ajabu kabisa!
  5. S

    Huu si ushahidi kuwa CCM ni chama dola? Je, kuna mangapi yanafanyika juma ya pazia zaidi ya hili?

    By John Pambalu kupitia twitter(kamnukuu kwenye clip iliyoko katika akaunti yake ya twiitter). "Mimi nilikua Mkuu wa kikosi Cha Jeshi ,wakati hairuhusiwu afisa wa jeshi kushiriki kwenye mambo ya kisiasa lakini Mimi nilishiriki, biliwapa Lita 200 za Mafuta CCM Mwaka 2007" Kanari Ngemera Lubinga.
  6. Ushahidi wa kinachowapeleka Wachagga nyumbani Desemba.

    Pichani ni mifano hai ya sababu zinazowafanya wachaga waje Moshi kila mwisho wa mwaka.....
  7. Suala la ardhi halimo kwenye Muungano, Zanzibar wapo makini kulinda ardhi yao lakini wametuzidi akili kuimiliki ardhi ya bara

    Kwenye katiba ya Tanzania hakuna sehemu iliyohusisha ardhi kwenye muungano, Ardhi ya Tanzania bara ni kwajili ya raia wake na ardhi ya Zanzibar ni ya raia wake. Hatuna budi kuwapongeza wazanzibari maana hawana mchezo kwenye kulitekeleza hili kwa kulinda ardhi yao iwe kwajili yao, Lakini sasa...
  8. Ushahidi: Delila hakumnyoa Samsoni bali alisingiziwa

    Samsoni hakunyolewa na Delila bali Delila amekaa kusingiziwa Imekuwa ikienea kuwa mwanamke kwa jina la Delila ndiye alimunyoa Samsoni kitu ambacho si kweli. Wengi hufikiri kuwa Samsoni alinyolewa na Delila. Ushahidi unaonyesha katika biblia takatifu Delila yeye alihusika katika kumdanganya...
  9. Ushahidi mkubwa hadi Sasa wa kusulubiwa wapatikana huko Uingereza kutoka nyakati za Warumi

    Moja ya ushahidi wa mwanzo wa kusulubishwa kwa warumi umepatikana katika mji uliyo katikati mwa Uingereza. Mfupa wa mwanamume uliyokuwa na msumari kupitia kisigino chake ulipatikana katika mji wa Fenstanton, karibu kilomita 115 kaskazini mwa London. Mtaalamu wa mifupa wa Chuo Kikuu cha...
  10. Ushahidi mkubwa hadi sasa wa kusulubiwa wapatikana huko Uingereza kutoka nyakati za Warumi

    Moja ya ushahidi wa mwanzo wa kusulubishwa kwa Warumi umepatikana katika mji uliyo katikati mwa Uingereza. Mfupa wa mwanamume uliyokuwa na msumari kupitia kisigino chake ulipatikana katika mji wa Fenstanton, karibu kilomita 115 kaskazini mwa London. Mtaalamu wa mifupa wa Chuo Kikuu cha...
  11. M

    Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

    Soma mwenyewe
  12. Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021

    Kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea mahakamani leo Novemba 30, 2021 ======= Wakili wa Serikali: Mheshimiwa Jaji Shauri limekuja kwa ajili ya Kusikilizwa, Naomba tupatiwe Nyaraka ilikuweza Kuzikagua. Wamekabidhiwa Nyaraka na Kuanza Kukagua Moja baada ya Nyingine. Wakili wa...
  13. Ushahidi kuntu kuhusu utapeli uliojificha ndani ya biashara ya dada wa kazi (house girls)

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Dada wa kazi wa kizazi hiki ni zaidi ya majanga. Ndugu zangu, wasichana wa kazi za ndani (house girls/maids) ni hitaji muhimu sana kwa familia nyingi za mijini, hasa wale wanafamilia wanaofanya kazi zinazowalazimu kuamka asubuhi na kurejea jioni. Ni kwa sababu...
  14. CHADEMA huruma za kisiasa kupitia mitandao ya kijamii haziwezi kusaidia Mbowe na wenzake kushinda kesi, kesi ni ushahidi

    Ni cardinal rule kuwa anayetoa shutuma lazima athibitishe. Jamhuri ya Tanzania imetoa shutuma kuwa Mbowe na wenzake walipanga njama ili kutekeleza ugaidi. Hili jukumu la kuthibitisha waachiwe Jamhuri ili kuthibisha. Madai kuwa kuna njama za kuwakandamiza watuhumiwa hazina mashiko maana suala...
  15. Kwanini kesi ya Mbowe imejikita kwenye ushahidi wa Mapolisi kukamata kuliko zana na mipango ya ugaidi?

    Tangu kesi ya Mbowe ianze ilielezea kidogo sana matukio ya Moshi ambako ndiko tulitegemea milango ilifanyika, sana tulichoshuhudia mbege party, manunuzi ya vocha za simu na safari za hapa na pale. Wengi walitegemea hatua ya mwanzo wangeona zana za kutendea ugaidi kama vifaa vya kushambulia...
  16. Wanavyofanya Musukuma na Polepole ni ushahidi wa ukomavu wa Rais Samia kisiasa

    Polepole na Musukuma ni watu wanaopingana na Rais Mama Samia kwenye kila kitu. Wanabweka kwenye mitandao kupinga maamuzi ya Rais. Walipinga chanjoweeeeee lakini mwishowe nadhani na wawo walichanja kimyakimya. Sasa hivi wanapinga uwamuzi wa mama Samia wa kuisafisha miji, eti miji isisafishwe...
  17. Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe alitoa ushahidi wake. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ======= Jaji ameingia Mahakamani Kesi namba 16 ya Mwaka 2021...
  18. Vodacom pia walipanda kizimbani kutoa ushahidi dhidi ya Sabaya katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili

    Hapo vip! Katika kesi ya Sabaya vodocom walipanda kizimbani kutoa ushahidi dhidi ya Sabaya ila huu upande ambao kwa sasa hivi wanailalamikia TIGO kutoa ushahidi dhidi ya kesi ya Mbowe waliona sawa na walikaaa kimya. Ninachokiona kuna ushabiki mkubwa wa kisiasa katika hizi kesi..nakuna vikundi...
  19. Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

    Ikiwa leo ni tarehe 2 November 2021 , kesi hii inayobeba sehemu kubwa ya habari za Tanzania inaendelea tena Mahakamani hapo . Baada ya ushahidi wa Muuza Mbege wa Rau Kukamilika , Leo upande wa Jamhuri utaleta shahidi wa Tano miongoni mwa wale 24 waliopangwa kutoa ushahidi huo . Kama kawaida JF...
  20. Q

    Kesi ya Mbowe: Hadi sasa sijaona ushahidi wowote unaoonesha kulikuwa na ugaidi

    Takribani mashahidi wanne hadi sasa wameshatoa ushahidi wao lakini kati ya hao wote sijaona ushahidi wenye nguvu ya kuwatia hatiani watuhumiwa wa ugaidi. Shahidi badala ya kuthibitisha uhusiano wa silaha iliyokamatwa na mtuhumiwa anakuja kutuambia silaha zilizokamatwa ni nzima kwani silaha kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…