Mzuka Wanajamvi!
Mkumbuke awamu ya 4 kulikuwa hamna ukame na mvua zilikuwa zinanyesha za kutosha lakini kila wakati umeme ulikuwa unakatika. Bofya kwenye hizo linki za thread za malalamiko zilizoletwa humu JF
-...
Wakuu naombeni mwongozo wenu tafadhali, nilikua nafatilia pasi ya kusafiria (International Passport) kidogo nimekumbsna na vikwazo. Mimi niko mkoani huku (Chuganian)
Nimejaribu kuulizia uhamiaji wa hapa nimeelezwa niwe na:
Cheti cha kuzaliwa (Ninacho)
Namba za Nida (ninazo)
Cheti cha kuzaliwa...
Putin analalamika akisema Ukraine walitumia lori kulipua daraja lake Crimea, ila wataalam wanaokagua video za uharibifu huo wanasema lilipua pigo la drone inayosafiria kwenye maji....
Russian officials named a 25-year old Krasnodar man, Samir Yusubov, as the owner of the truck, and said an...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Kama muonavyo hapo pichani, huu ndio ukweli halisi kuwa huku nje watu wengi wamekuwa wakiifahamu nchi yetu kupitia mambo mbali mbali ya kitalii nk.
Ni kawaida sana kukuta vijana wa kikristo hasa huku mijini na kwenye majiji wanaoa hadi wafike 33.
Wengine wanaishi na wanawake majumbani na wana watoto lakini hawana ndoa.
Kwa vijana wengi wa kiislam ninkawaida kukuta ashaoa akiwa na 23 hadi 25.
Huu ni usbhahidi tosha kwamba ndoa za kikristo...
Baada ya mwanamama Barbra CEO wa Simba Sc kuteuliwa CAF kumekuwa na kejeli za kila aina kutoka Yanga. Kejeli hizi zinafanya nje na ndani ya JF. Kuhusu uwezo wake hakuna shaka, hata wanaokejeli humu wanalijua hilo.
Ila najiuliza shida nini tumekuwa haters wa kiwango hiki? Mtindo huu wa maisha...
Mwigulu Nchemba ana ushetani mwingi sana. Hana utu hata kidogo,ana kiburi na mjivuni sana. Suala la kuwakata watu pesa zao zikiwa bank na wanapotoa huu watu wameuchukulia kama ni Unyang'anyi wa Serikali yako kwa wananchi maskini.
Yaani mmeshindwa kukusanya kodi sasa mnachukua kwenye accounts za...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetoa mchanganuo wa kina wa hatua ilizoweka ili kuhakikisha kuwa mifumo yake ililindwa dhidi ya wadukuzi na watu ambao hawajaidhinishwa.
Katika majibu iliyowasilisha kwa Mahakama ya Juu Jumamosi, Agosti 27, IEBC kupitia mawakili wake ilishikilia kuwa...
Wakili wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Mahat Somane, amesema kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameghushi nyaraka za ushahidi alizowasilisha mbele ya Mahakama Kuu katika ombi lake la Kupinga Matokeo ya Urais
Katika mawasilisho yake leo Septemba 1,2022 Wakili Somane aliitaka Mahakama Kuu...
Kesi 1,840 zafutwa kwa kukosa ushahidi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali(IGP) Camilius Wambura, amesema kesi 1,844 ambazo zimekosa ushahidi wa kutosha kupelekwa mahakamani zimeondolewa, huku kesi zingine 2,117 zikifanyiwa mabadiliko.
IGP Wambura alikuwa akizungumza jana...
Habari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?
Iko hivi mume wangu alikuwa amesafiri for almost two months kikaz Arusha akarudi J3 , Alhamis ambayo ni juzi akaniambia anaenda kuonana na rafiki yake ilikuwa mida...
Baadhi ya Waandishi habari wetu wana walakini ya wazi kabisa. Maswali yao kwa makocha na wachezaji wa nje na ndani yanamtia kichefuchufu hata msikilizaji.
Wanaiangusha taaluma ya habari, hayana weledi kabisa.
Pia hawajui kiingereza lakini wanataka kuwahoji wachezaji wa timu ngeni.
Nimeona Video inayosambaa kwa kasi sana mitandaoni ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba akiwaita wabunge na watanzania wapuuzi na kama hawamtaki wamuue.
Kwenye hotuba yake ametumia neno MSHENZI huyo akimaanisha wabunge na Kamati ya Bunge ya Nishati iliyohoji bungeni kuhusu kuchelewa kwa Mradi...
Utata umeibuka baada ya familia ya mtoto, Ngatipa Parmao(17) anayedaiwa kuuawa kwa risasi na askari wa wanyamapori wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kudai kuna njama zimefanywa kuondoa risasi mwilini kwa mtoto huyo katika hospitali ya awali alikokimbizwa kwa matibabu.
Familia ya mtoto...
Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu.
Yaani anaondolewa Mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.
Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama...
Uwepo wa wanasiasa uchwara Tanzania uligunduliwa kwa mara ya Rais William Benjamini Mkapa (RIP). Uchwara wa wanasiasa wetu haujali kuwa una elimu kiasi gani, kabila, dini wala jinsi ya mwanasiasa.
Hivi zile sababu zilizosababisha ndugu zetu Wamasai wachanganywe na wanyamapori ziko mpaka leo...
Siandiki haya kwa ushabiki au kwa kufurahia ila naandika ili niwakumbushe kuwa ukatili wa Polisi ukitamalaki basi hakuna aliye salama.
Kuna taarifa kuwa Da Carol Ndosi ameshikiliwa kituo Cha Polisi Oysterbay huku akinyanyaswa na "kushambuliwa" na Askari kwa kile kinachodaiwa na yeye mwenyewe...
Mbona mnakuwa kama watoto wadogo?
Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa.
Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.