Mpaka sasa ukiusoma mchezo unagundua suala la DP World ni la Chongolo na baadhi ya watu wake na sio dili la CCM kwa ujumla wake, mfano mdogo ni ziara ya Kinana tangu ameanza mikutano Rufiji, akaenda Kondoa na sasa yuko Manyara sijamsikia akipigia debe suala la mkataba wa bandari.
Ndani ya CCM...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
Simu: +255 026 23222761-5 Ofisi ya Bunge,
Fax No. +255 026 2322624 S.L.P. 941,
E-mail: cna@bunge.go.tz DODOMA...
Hello wanaJF,
Nimepata thread ama post nyingi Sana zikihofia kuhusu uwepo wa Mungu. Unapozidi kujifunza na kufahamu zaidi sayansi tunategemea uwe shuhuda mkubwa kuhusu uwepo wa Mungu lakini unexpectedly ndio unaanza kusema sayansi haiamini Mungu yupo.
Ona hizi facts za kisayansi
👉...
Hello bosses and roses,
Miezi kadhaa iliopita nilisikia watu wanatishia kwamba kwa kuwa ChatGPT ina uwezo wa kugenerate 'codes' na kutengeneza algorithms basi sector ya programming nayo imeingiliwa na hili 'TOY'. Naliita toy sababu kwangu mimi naona ni Toy tu hasa tukilileta kwenye sector ya...
Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe na maneno mengi. Ukimsikiliza huyu mbunge kwa umakini utakubaliana nami pasi na shaka kwamba wabunge wa CCM walihongwa na kampuni ya DP World ili kuwauzia nchi. Inauma sana. Kumbe mkataba ulisainiwa tangu mwaka jana, sasa hawa wezi wanatuchora tu...
Juzi nilileta malamiko kuhusu tafas kuwakandamiza wananchi embu niambieni ninyi mnaweza kuishi kwa 40000 huu ni utapel unaofanywa
Bado taasisi zingine next week nakuja nazo
Sikilizq mpaka mwisho
Kila uchao, viongozi wanapishana hadi kugongana kwenye kuwahi 'kuuchambua' na 'kuupambanua' mkataba wa ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Emirati kupitia DP World. Mkataba ulishasainiwa na kuidhinishwa na Bunge. Umebaki utekelezaji tu. Lakini, kelele za wananchi juu ya mkataba huo...
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾
Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI:
Hi
Jina langu ni Amna Ghanem.
Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa...
Leo nimeshtushwa na magazeti haya mawili katika kurasa zao za mbele kubwa na vichwa vya habari vinavyofanana.
Kumekuwepo na tetesi kwamba serikali imekuwa ikiyapangia magazeti habari za kuandika.
Kati ya magazeti ambayo yalikuwa yamebaki na uhuru kidogo ni haya ya Mwananchi Communication...
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha somo kinavosema....
Msimamo wa mama samia kwenye maamuzi yake mengi ni kwamba WATANZANIA WENGI NI WAONGEAJI TUU LAKINI MWISHO WA SIKU HUKUBALI NA KUTULIA KIMYA NA KUZOEA.
Kauli hii aliitoa alipokua ana shoot film ya Royal tour akiwa maeneo ya Tegeta...
“Kama kuna mtu yeyote ana maneno yoyote ya mambo yasiyofaa yamefanyika kwenye wizara yetu [Wizara ya Nishati], aje ayaseme, alete ushahidi, tuzungumze.” - January Makamba, Waziri wa Nishati.
---
Huwezi kuona kwa macho vidudu vingi tu kama vya malaria, typhoid, amoeba, nk mpaka vipimo! lakini dalili za malaria na typhoid zipo na unaweza kuzigundua tu na kisha ukajiridhisha kwa vipimo na kuanza tiba.
Mikosi na nuksi dalili zake ni:
-Kuchukiwa na watu wengi bila sababu
-Kupanga kazi na...
Habari JF,
Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.
Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?
Je, wao nao pia wanahusika na hayo...
Yanga imeamuliwa na caf kulipa TZS 82,0000 kwa kosa la kuvunjwa vioo vya gari lililotumiwa na RIvers United ya Nigeria hapa tanzania, rivers kuibiwa fedha kwenye basi, mashabiki wa Yanga kumulika vitochi (laser) na kuwasha moshi uwanjani. Hukumu kama hii ina harufu ya ushabiki wa simba na Yanga...
Kwa wale wasiofahamu, Simba SC imewahi kutinga na kunyanyua kwapa mara kadhaa katika hatua ya nusu na fainali hatimaye ubingwa huko ughaibuni.
Hapa ni moja ya viungo wakabaji akiwa amenyanyua kwapa baada ya kutwaa ndoo.
Hapa ni moja ya ndoo zilizochukuliwa na kilabu hiki katika michuano hiyo...
Leo wakati napitapita mtandaoni nimekutana na hiki kisa nimeona nikilete humu MMU;
Kisa hiki ni hadithi ya ukweli ya mapenzi kati ya bibiye Kate na mumewe Godfrey, ambaye anasemekana kuwa ndo mwanaume mwenye sura mbaya kuliko wote duniani.
Kate alipokwenda kumtambulisha Godfrey nyumbani kwao...
Bunge linaloongozwa na Tulia Akson limekosa mvuto, limeshuka hadhi na limepoteza meno kabisa.
Tangu Tulia akalie kiti cha uspika hatujaona mijadala yenye tija, maazimio yenye tija na maamuzi yenye tija. Bunge halina tofauti na kijiwe.
Mbunge anatoa tuhuma za jumla jumla zinazochafua bunge na...
Mamlaka ya Afya ya Uingereza inayoitwa UK Health Security Agency imekiri kwamba hakuna chembe ya ushahidi wowote wa aina yoyote ya Barakoa inayoweza kuzuia maambukizi ya Covid-19.
Mamlaka hiyo imesema hata barakoa za kiwango cha juu kabisa za N95, KN95 and FFP2 hazina uwezo wowote wa kuzuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.