Hivi kiongozi mmoja wa ACT Wazalendo anapotoka dharani na kusema kuwa kitendo alichokifanya Lissu cha kukutana na Rais Samia rti wao ndio walishauri hivyo, hivi huyu mtu anaelewa nini kama siyo ushamba na kujikweza?
Hawa watu hawaelewi kuwa CHADEMA wameanza kusaka suluhu ya maridhiano toka JPM...
Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines.
Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku.
Zama amesema kuwa mumewe...
Nilidhani huyu mama yenu atakuwa tofauti na waliomtangulia.
Kwamba hatoendeleza huu ushamba wa viongozi mbalimbali wa serikali na idara kwenda uwanja wa ndege kumsindikiza aendapo safari na pale arudipo toka safarini.
Yaani majitu yote hayo, kuanzia makamu wa Rais, mawaziri, sijui mkuu wa...
Niliwahi kuandika uzi kuhusu uelewa wa watanzania wengi upo chini ya kiwango kinachotakiwa kimataifa, na uzi wenyewe ni huu Uelewa wa mambo kwa Watanzania ni mdogo sana, Ujinga na upumbavu unaongezeka kila mwaka
Mjadala wa kujadili mtu badala ya uwezo wake binafsi ni matokeo ya watu waliokosa...
UKIUKWAJI NA USHAMBA BUNGENI
UKIUKAJI:
Lukuvi, Mb na Mwenyekiti wa Kikao cha Bunge cha Uchaguzi wa Spika ameruhusu Wabunge kukiuka Taratibu za Uchaguzi na akatetea ukiukaji huo.
Mosi, wakati Mwenyekiti anasema kuwa hakuna tatizo Mpiga Kura kutoa fedha kwa Mgombea wakati wa kujieleza; anajuaje...
Wengi wanapeleka watoto advance kwa kukariri kwamba ndivyo ilivyozoeleka kwamba mtu akiwa na credit 3 basi anaenda form 5, wamekariri kwamba watu wanaoenda chuoni baada ya form 4 ni wale wenye division 4 tu kumbe kuna wenye division 1 zao, wamejiongeza na wapo huko vyuoni wakiwa wameanza kusomea...
Mambo vp wakuu,
NMB acheni ushamba na uzee
1. Hivi kwa dunia ya leo yenye furniture za bei chee mnashindwa hata kuweka utaratibu wa wateja wenu kuketi kwenye viti wakiwa wanasubiri huduma? Hebu jifunzeni kwa wenzenu na mtambue kuna baadhi ya wateja hawawezi kusimama kwa muda mrefu.
2. Huu...
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.
Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.
Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona...
Rais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59 | Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona, Je, Ni ushamba, Uzalendo, Wivu au roho Mbaya Tu.
______
Minong'ona inayoendelea juu ya Safari za Rais Samia nje si za kupuuzwa zinahitaji Ufafanuzi zaidi tena kwa...
Haya Mambo Kublock Wapenzi wenu ni Ushamba Unakuta Mna Kaugomvi Kadogo tuu ila Mnalimana block kila sehemu then baada ya mda mnapatana then Mnajiunblock huo ni Ushamba na Upumbavu, utoto na uzwazwa.
Mambo ya Kublock ni ya Kishamba na ya Kipumbavu sana.
Naona sasa imekua ndo kawaida kwa wasanii wetu kila wimbo unaotoka ni Amapiano sijui amopiano yaani zinafanana kwa kila kitu,binafsi naona ni upuuzi mtupu!!
Watanzania wenzangu, mnisamehe kwa kuwaambia UKWERI huu. Nimetafakari na kufuatilia suala hili kwa muda mrefu sana na ninapokuja mbele yenu kwa 'conclusion' hii, naomba mchukue muda mjitafakari vizuri.
Tukikaa wenyewe kwa wenyewe, tunasemana kuwa "kabila fulani ni washamba!". Wengine wanasema...
Baada ya kelele nyingi mitandaoni zinazodai chuma kipya cha Daiaond ni feki, nikaamua kuingia mtandaoniili ili nicheki facts maana watalamu wanasema "No research, no data, no right to speak",,,,bila uchunguzi usio na taarifa huna haja ya kufungua mdomo.
Muda sio mrefu nimeingia kwenye account...
Wapenzi wa Yanga na Simba, Jezi zenu huwa zinavaliwa angalau siku moja kabla ya mechi,hadi siku ya mechi na baada ya mechi unaweza ukavaa kwa nusu siku hata kama umeshinda au umefungwa.Ushamba wenyewe unakuwa hivi aliyeshinda anavaa jezi wiki nzima asubuhi hadi wengine wanalala nazo,wakati...
Amani iwe nanyi!
Ndugu zangu kuna hivi vihereni vya puani, dah yaani mdada akivaa nakosa kabisa ile kuvutiwa kukaa nae hata kupiga story tuu, yaani akinipikia naweza kabisa nisile alichokipika, kuna mama nilikua mteja wake mzuri sana wa chakula chake, kuna binti mzuri tuu alimleta, aisee akaja...
DIAMOND ACHANA NA WASHAMBA/MALIMBUKENI. TAMBUA NAFASI YAKO.
Na, Robert Heriel
Kitu ambacho kinakwamisha Watanzania tuliowengi ni USHAMBA/ULIMBUKENI.
Ulimbukeni ni like kitendo cha mtu kupata kitu Kwa kizuri au cha thamani Kwa mara ya kwanza, kitu kile kikamfanya atende kinyume na desturi na...
Kusema kweli nashindwa kuwaelewa mabinti/wadada wa Kitanzania (sio wote) kwenye mitandao ya kutafta mahusiano ama dating apps. Sijui ni ushamba ama ugumu wa kuelewa.
Mitandao kama Tinder, Badoo, Hitwe, Tantan, Match.com, na mingineyo ni mitandao mahususi kwa datings na inaitwa kabisa dating...
Salaam,
Kuna hii App mpya ya ClubHouse ambayo imeanza kushika kasi ya watumiaji wengi bapa nchini na Duniani kwa ujumla, nadhani baadhi yetu tunaifahamu.
Sasa kuna kitu ninachokiona kwa watumiaji wengi wa Kibongo ni Ubishoo uliopitiliza kama ule wa enzi za BBM pamoja na ushamba wa kitu Kipya...
Siku hizi tukipata watoto tu cha kwanza ni IG account,bank account atajijua mwenyew.Likes za ndugu zetu zitawasomesha nadhani.
Halaf account ya mtoto inapost I LOVE YOU DAD-unacoment I LOVE YOU TOO MY SON/DAUGHTER....STUPIDITY!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.