Ili kampeni ya TONE TONE ifanikiwe, ni lazima iambatane na mambo yanayogusa wananchi moja kwa moja na zaid yanayogusa watu wengi.
Kwa maneno mengine, ni lazima CHADEMA waonyeshe na watangaze uhusiano wa TONE TONE na maisha ya wananchi.
Kwa mfano, kampeni ya TONE TONE kuanzia kwenye mabongo ya...
Nakumbuka mwaka 2015 jijini Dar es Salaam, kipindi ambacho kishindo cha kampeni za CHADEMA kilikuwa kikubwa. Kati ya matukio yaliyonivutia ni kundi kubwa la watu nililoliona maeneo ya Magomeni likielekea Msimbazi kuhudhuria mikutano ya chama. Ingawa wakati huo sikuwa na mshikamano wa karibu na...
Kutokana na Hali iliyojitokeza jana , nashauri ya kwamba CHADEMA watangaze kususia uchaguzi Mkuu ujao na uchaguzi wa Serikali za mitaa. Hii ni kutokana kwamba Serikali kupitia polisi imeshaonesha biasness na kwamba uhalifu wowote dhidi ya CHADEMA polisi hawatashughulika nao.
Itakuwa ni aibu kwa...
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini.
Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
Jinsi ya CHADEMA kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa 2025.
1. Kwanza, mgombea urais wa CHADEMA apatikane kwa njia ya primaries. Hii ndio njia tuliyokuwa tunaitumia huko nyuma. Hata wakati Mbowe anagombea urais wa 2005, tulitumia mfumo wa primaries. Kwa maana nyingine wanachama ndani ya Kanda ndio...
JUST IGNORE HIM, MSIMJIBU, MPUUZE, MPOTEZEE (vijana wa mjini wanasema)
What power is there in ignoring someone?
1. Ignoring someone can have a powerful impact since it sends the message that you do not want to engage with the person.
2. Ignoring someone can also have a strong emotional...
Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi wa Mwenyekiti na makamu wake mvuke salama kipindi hiki.
Mtakumbuka machawa walivyoshangilia...
Pipoooooooooooozi
Moja kwa moja kwenye mada. Katika kipindi hiki ambacho Main stream nyingi na Online media zimeamua kuwa Tawi la CCM nafikiri ni wakati sahihi wa chadema sasa Munatakiwa kuwa wabunifu kwa kuboresha Mitandao yenu ya Kijamii kwa kuwafikishia wananchi taarifa zaidi.
Leo hii...
Kwa kuwa tunatumia jukwaaa ili kushauriana na kushauri, kutoa maoni na mapendekezo na hata kutoa onyo na karipio basi acha Leo nitoe ushauri kwa CHADEMA jambo ambalo ni nadra kweli kulifanya.
Kwa kuwa nilitumia jukwaaa hili kumshauri ndugu yangu Abdul Nondo ambaye ni Mwenyekiti wa Ngome ya...
Habari, nawiwa kutoa ushauri wangu wa kitaalamu leo hii (techictal advisory) kwa Mwenyekiti Mbowe na Kamati nzima ya uongozi wa CHADEMA.
Kwa hali ilipofikia sasa, reconciliation yaani munganiko kwa CHADEMA hauepukiki. Wangaalie ni wapi walikosea, waanze kujipanga kama kitu kimoja na wasonge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.