Leo ni tarehe 1 November 2026 Saa 12:00AM, usiku,Kwa muda wa kitanzania, tunamshukuru Mungu kutufikisha salama mwezi tuliousubiri muda mrefu.
Ni hivi, Msikubali kutengeneza msafara Wala tukio lolote la kukusanya umati wa watu kuandamana kuelekea ofisi za chama au mkutanoni kuhutubia akiachiwa...