Ushauri kwa chadema wakae na Rais katika ufumbuzi wa Tundu lissu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili.
Chadema hili mlione. Ni mfumo wa dunia.
Kwa hivyo nawashauri chadema. Wakae Rais wajaribu kulitatua swala la lissu.
Dunia inavyoendeshwa kwa sasa ni mfumo mpya.
Chadema wasome alama za nyakati.
Wajifunze kupitia Venezuela, Iran. Mwenye nguvu hana kosa ktk dunia hii.
Njia nyengine ni ya mapambano kama Iran jambo ambalo chadema hawaliwezi kutokana na kuwa hawana ushawishi ktk jamii
 
Screenshot_20260406-150040~4.png
 
Uzi umedoda
 
Lissu mwenyewe hataki mambo ya kubebwa bebwa sijui kuomba omba maridhiano...hoja ni kwamba kesi iendeshwe kwa haraka inavyostahili na hukumu ya haki itolewe...full stop!.

Yaani Lissu ampigie magoti kilaza asiyejua hata nusu ya laki moja ni ngapi, seriously?!.
 
Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili.
Chadema hili mlione. Ni mfumo wa dunia.
Kwa hivyo nawashauri chadema. Wakae Rais wajaribu kulitatua swala la lissu.
Dunia inavyoendeshwa kwa sasa ni mfumo mpya.
Chadema wasome alama za nyakati.
Wajifunze kupitia Venezuela, Iran. Mwenye nguvu hana kosa ktk dunia hii.
Njia nyengine ni ya mapambano kama Iran jambo ambalo chadema hawaliwezi kutokana na kuwa hawana ushawishi ktk jamii
Ukiitaza Dunia inavyopelekeshwa na Wenye nguvu kwamba ukitaka utafanya na usipotaka utafanya 🙄 !
Imenilazimu niukumbuke msemo wa Kiswahili kwamba mwenye nguvu Mpishe 😳 !
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili.
Chadema hili mlione. Ni mfumo wa dunia.
Kwa hivyo nawashauri chadema. Wakae Rais wajaribu kulitatua swala la lissu.
Dunia inavyoendeshwa kwa sasa ni mfumo mpya.
Chadema wasome alama za nyakati.
Wajifunze kupitia Venezuela, Iran. Mwenye nguvu hana kosa ktk dunia hii.
Njia nyengine ni ya mapambano kama Iran jambo ambalo chadema hawaliwezi kutokana na kuwa hawana ushawishi ktk jamii
Mentality yakipuuzi kabisa kua Mwenye Nguvu hana makosa unatoa mfano wa Iran mbona amekaza na huyo super power moto anauona
 
Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili.
Chadema hili mlione. Ni mfumo wa dunia.
Kwa hivyo nawashauri chadema. Wakae Rais wajaribu kulitatua swala la lissu.
Dunia inavyoendeshwa kwa sasa ni mfumo mpya.
Chadema wasome alama za nyakati.
Wajifunze kupitia Venezuela, Iran. Mwenye nguvu hana kosa ktk dunia hii.
Njia nyengine ni ya mapambano kama Iran jambo ambalo chadema hawaliwezi kutokana na kuwa hawana ushawishi ktk jamii
Dunia ya sasa ni mwenye nguvu mpishe. Lisu ni mhaini hakuna ubishi, na hakuna mtu hata atoke wapi atapinga hilo.

Alisema ataasi na kweli akaasi, alisema atakinukisha na kweli kukanuka. Ukimtoa nje Lissu leo kesho kutwa ataichoma nchi yote, hana kazi nayo; ana hasira za kupigwa risasi nyingi na watu ambao hawatafutwi, anayo chuki kubwana iliyochanganyika na maumivu yaliyomfikisha kuchoma ofisi za CCM, serikali, TRA, shule, mahakama, hospitali, sheli, nyumba za watu, nk.
 
Back
Top Bottom