USHAURI KWA CHADEMA: Lissu akitoka asiwape platform waliojitoa awatakie kila la kheri waendako na kuwaahidi ushirikiano

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,197
Reaction score
14,771
Habarini!

Ni wazi wala bila kuzunguka namna Lissu na wenzie walifanya kampeini ya kumtoa Mbowe ilitumika baadhi ya namna zimeacha madonda machungu kwa Mbowe akini kwa team yake na heshima yake kisiasa.

Pia sitaki niwe na upande kama mshauri pia team mbowe haikujiandaa vya kutosha kupokea matokeo ya kushindwa .

Ninazo tetesi zote za jinsi mbowe hashirikiani tena na chama ikiwemo kuchukua fuso zake na kwa muda aliwahi kugoma kutoa lile stage lake kumbe huwa sio mali ya chama ni mali yake binafsi pia hata fuso ile ilipata ajali alimpa dereva wake .(nimesema hivi chadema wa deep wajue nawajua)

Pamoja na yote kitendo cha kujitoa kwenye chama mwenyekiti akiwa rumande na wanachama kutekwa na kushitakiwa ni kama kumuacha mpenzi siku amefiwa na mama yake mzazi ,dhambi hii haina msamaha .

Aidha tulitarajia hawa wenzenu basi waondoke kimya kimya na kujiunga na chama kingine cha upinzan ili kuongeza uzito wa lengo kuu la kikatiba kuitoa CCM madarakani.Ila wao wamegeuka kikundi cha kubomoa hata kile kidogo cha chadema ikiwemo kuzurura kukichafua chama ambacho wamejitoa .

Game hili tunajua litavoenda ni kuna aidha ukatengenezwa uchaguzi maigizo wa kuweka chama mamluki kama kile kinachofanyia mikutano mkoa wa muasisi tu na ni maarufu kwao na kule visiwani(ccm b) na kugawiwa viti 30 kama tunavosikia.

Lakini uwezekano mkubwa na ndo NABASHIRI ITAKUWA wataitengeneza kesi iwe kama lissu ameshindwa kisha mama atajitia kumsamehe kujifanya amesalimika kwa huruma yake .

Kisha watakubali reforms kimtego mtego ili kufanya chadema i-settle for less nia ni wasogee kwenye uchaguzi wawapige kwa staili ileile .

Kwa yote nashauri team lisu kamwe msiwajibu tena team CHADEMA ASALI akitoka mkuu mjibu barua zote kukubali kujitoa kwao na kuwatakia kila la kheri .hii movie anaicheza mbowe nia yake apate nafasi na yeye kuwemo kwenye team ya maridhiano na lisu ili aje na vya nusu mkate lissu ashikilie hapo hapo.CCM watataka maridhiano na mwenye influence ambae kwa sasa ni team lisu.

Mwanakondoo ameshinda !
 
Mbowe hajawahi kuamini katika siasa za vurugu, siku zote alitumia mbinu za ushawishi katika mikakati yake. Alipokuwa katika maridhiano, alipingwa wazi wazi na Lissu, kiasi kwamba wananchi tuliona namna nidhamu ilivyopotea ndani ya Chadema. Wakati wa Uchaguzi mlidai Mbowe alilamba asali na mkataka awapishe kwenye uenyekiti na imekuwa hivyo. Mbowe amewaacha mtekelezi siasa yenu ya 'nginja nginja' huku akiwa anafanya biashara zake. Hakuna ubaya katika hili.

Kwa upande mwingine, Reforms zimekwishafanyika.Wananchi wanaendelea kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.

Chadema haitashiriki uchaguzi wa oktoba, 2025.Waliokuwa na mpango wa kugombea kupitia Chadema, wanaendelea kutoka kwenye chama hicho, na kujiunga na vyama vitakavyoshiriki uchaguzi ili kukamilisha malengo yao ya kugombea katika uchaguzi wa oktoba, 2025.

Hivyo, kuendelea kuupuza wanachama na viongozi wanajiondoa kutoka Chadema ili wapate fursa ya kushiriki uchaguzi; huku mkijisifu kuwa mnajaza nyomi kwenye mikutano ambayo haitakuwa na athari yoyote kwenye uchaguzi wa oktoba ni zaidi ya wendawazimu.
 
Taja reforms zilizofanyima ili tuzione.
 
Nadhani unaandika ukiwa nchini zambia kama ungekuwa Tanzania usingeongea hivo .
 
No politician is perfect,exodus itaendelea kutokea tu.Hakuna malaila ni njia ya kusaka Tonge.
1.Edward Lowasa katoka CCM kaja Chadema,karudi CCM.
2.Lijua kali karudi CCM.
3.dr Slaa katokea CCM kaja Chadema karudi CCM,kahamia Chadema
4.Kitambi karudi CCM.
5.Mchungaji Peter Msigwa katokea Chadema yupo CCM.
6.COVID 19 wamehasi Chadema.
Na maelfu kibao

Mchezo wa siasa usimwamini yeyote.
 
Kwa upande mwingine, Reforms zimekwishafanyika.Wananchi wanaendelea kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Unaweza list mabadiliko yaliyofanyika hapa?
 
No politician is perfect,exodus itaendelea kutokea tu.Hakuna malaila ni njia ya kusaka Tonge.
1.Edward Lowasa katoka CCM kaja Chadema,karudi CCM.
2.Lijua kali karudi CCM.
3.dr Slaa katokea CCM kaja Chadema karudi CCM,kahamia Chadema
4.Kitambi karudi CCM.
5.Mchungaji Peter Msigwa katokea Chadema yupo CCM.
6.COVID 19 wamehasi Chadema.
Na maelfu kibao

Mchezo wa siasa usimwamini yeyote.
Ndo maana mnafikiri siasa ni game la maslahi sababu mmeachia wahuni .siasa ni kama dini inahitaji wachamungu sisi tumeachia mapadri walioasi na walevi na wasagaji
 
Nani alikudanganya siasa ni numbers.
 
Lis
Mbowe hajawahi kuamini katika siasa za vurugu, siku zote alitumia mbinu za ushawishi katika mikakati yake. Alipokuwa katika maridhiano, alipingwa wazi wazi na Lissu, kiasi kwamba wananchi tuliona namna nidhamu ilivyopotea ndani ya Chadema. Wakati wa Uchaguzi mlidai Mbowe alilamba asali na mkataka awapishe kwenye uenyekiti na imekuwa hivyo. Mbowe amewaacha mtekelezi siasa yenu ya 'nginja nginja' huku akiwa anafanya biashara zake. Hakuna ubaya katika hili.

Kwa upande mwingine, Reforms zimekwishafanyika.Wananchi wanaendelea kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.

Chadema haitashiriki uchaguzi wa oktoba, 2025.Waliokuwa na mpango wa kugombea kupitia Chadema, wanaendelea kutoka kwenye chama hicho, na kujiunga na vyama vitakavyoshiriki uchaguzi ili kukamilisha malengo yao ya kugombea katika uchaguzi wa oktoba, 2025.

Hivyo, kuendelea kuupuza wanachama na viongozi wanajiondoa kutoka Chadema ili wapate fursa ya kushiriki uchaguzi; huku mkijisifu kuwa mnajaza nyomi kwenye mikutano ambayo haitakuwa na athari yoyote kwenye uchaguzi wa oktoba ni zaidi ya wendawazimu.
Hawajiulizi Lisu na Lema kwa nini walikosa Ubunge TLP na kukimbilia Chadema!!.Walijua wakishinda uchaguzi wa Chama watakuwa wafalme matokeo yake yamekuwa magumu maana hawana misingi,hawana mikakati zaidi ya nyomi.Hawana vikao vya kujenga chama kila siku wanajibu maadui zao usiku na mchana wako busy na vita na hawajengi chochote.Mbowe kawaachia na kanyamaza,bado wanamtaka na yeye awe adui yao mwingine tena.
 
Mbowe hajawahi kuamini katika siasa za vurugu, siku zote alitumia mbinu za ushawishi katika mikakati yake. Alipokuwa katika maridhiano, alipingwa wazi wazi na Lissu, kiasi kwamba wananchi tuliona namna nidhamu ilivyopotea ndani ya Chadema. Wakati wa Uchaguzi mlidai Mbowe alilamba asali na mkataka awapishe kwenye uenyekiti na imekuwa hivyo. Mbowe amewaacha mtekelezi siasa yenu ya 'nginja nginja' huku akiwa anafanya biashara zake. Hakuna ubaya katika hili.

Kwa upande mwingine, Reforms zimekwishafanyika.Wananchi wanaendelea kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.

Chadema haitashiriki uchaguzi wa oktoba, 2025.Waliokuwa na mpango wa kugombea kupitia Chadema, wanaendelea kutoka kwenye chama hicho, na kujiunga na vyama vitakavyoshiriki uchaguzi ili kukamilisha malengo yao ya kugombea katika uchaguzi wa oktoba, 2025.

Hivyo, kuendelea kuupuza wanachama na viongozi wanajiondoa kutoka Chadema ili wapate fursa ya kushiriki uchaguzi; huku mkijisifu kuwa mnajaza nyomi kwenye mikutano ambayo haitakuwa na athari yoyote kwenye uchaguzi wa oktoba ni zaidi ya wendawazimu.
Nilidhani wewe ni mtu mwenye akili timamu kumbe ni chawa tu
 
Nani alikudanganya siasa ni numbers.
Nani alikudanganya siasa ni numbers.
Ninkawaida ya failed project kuamini kwenye kona kona .nilikuwa kampuni ya audit nilijifunza kampuni ndogo zinaamini kwenye kukwepa kodi,ushirikina ,kuuza bidhaa feki et
Na walikuwa wananihonga sana niwaandikie riport nzuri

Nikaenda kukagua kampuni kubwa walikuwa hawanipi hata mia wanaaminin kwenye weledi wanaamini kwenye bidhaa safi na mikakati ya kisayansi kupata wateja .

Same to siasa za nchi maskini huwa ziko nanhayo maneno ya sijui connection .ona uk na utajiri wote anafikia hadi muhindi anapewa uongozi na watu wanamtoa kwa kura fair na anaagabkwa hotuba ya uzalendo na kuipenda nchi .

Wenzetu urais mtu anaota toka mdogo trump aliapa atakuwa rais akiwa na miaka 30 inamaana amejiandaa maisha yote .sisi huku ukiweza kushinda tenda kwa kuhonga ukacheza ulipwe zaidi ukipata hela unahonga ubunge bungeni kutetea hoja za matajiri unatajirika kusifia serikali badala ya kuikosoa unapewa uwaziri unaongeza na ushirikina unatoa watoto kafara na kuandaa mabilion uliyohongwa kwenye mikataba nyonyaji unapata urais long way to go.ndo maana bunge limejaa matajiri wezi wa kodi,wachawi,watoto wa mjini ,wasagaji etc
 
Back
Top Bottom