ushauri kwa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baraka Sabi

    Walimu wasio na ajira; ushauri kwa Serikali

    WAKUU, AMANI NA IWE NANYI. Ni lengo la sera ya elimu ya mwaka 1995 na 2014 kuwa na Mtanzania aliyeelimika, mwenye maarifa, stadi na mtazamo chanya katika kuchangia maendeleo endelevu ya Taifa la Tanzania. Nikiri tu kwamba, Serikali imefanikiwa kuwaelimisha kwa kuwapa maarifa na stadi walimu...
  2. deNavigator

    Maswali yangu kumi kwa sekta ya elimu. Tukiyajibu kwa vitendo tutakua tumewajibu NETO kwa usahihi

    Leo asubuhi nilichapisha uzi hapa kwenye jukwaa la siasa kuhusu Interview za walimu, wengi waliunga mkono hoja ya kuwa interview ziendelee lakini wachache waliendelea kuweka msimamo kua interview ziondolewe kabisa. Bado msimamo wangu mimi mwalimu SADATY H. DAUDI ni kwamba tusiingize siasa...
  3. bopwe

    Ushauri kwa serikali: Wajibu wa kikatiba katika kutoa huduma za afya na kusaidia nhif kwa ruzuku

    USHAURI KWA SERIKALI: WAJIBU WA KIKATIBA KATIKA KUTOA HUDUMA ZA AFYA NA KUSAIDIA NHIF KWA RUZUKU 1. UTANGULIZI Serikali ya Tanzania ina wajibu wa kikatiba kuhakikisha kwamba kila raia anapata huduma bora za afya. Kifungu cha 30(1) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinaitaka serikali...
  4. Pang Fung Mi

    Je, Tanzania kwa sasa haina Baba au Mama wa Taifa hususani Wastaafu ambao kwa nia njema wanaweza kusema neno la dhati bila hofu na bila hila?

    Je, Taifa halina wenyewe kiasi kwamba Rais wa nchi ndivyo anakuwa final, na nchi imekosa Wastaafu wa dhati kabisa kusema kauli njema zenye kuakisi tunu ya hekima na busara za Taifa hili, seriously? Are we in a dead state? Like serious? The state is torn to that extent? Uhuru wa maoni ya...
  5. Mzalendo Uchwara

    Ushauri kwa serikali wa namna ya kudhibiti ukwepaji kodi bila kutumia mabavu.

    Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali. Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu. Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka kwenye matumizi ya cash na kuwa wa kieletroniki. Na jambo hili lisifanyike kwa kutunga sheria ya...
  6. Hofajr16

    SoC04 Ushauri kwa Serikali, Wazazi, vijana kuhusu kupunguza tatizo la ajira

    Suala la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania limekuwa sio stori tena ni suala ambalo linaonekana ni kama changamoto sana kutokana na sababu mbalimbali, lakini andiko langu nitagusia sana katika ujifunzaji wa lugha za kigeni hususani lugha ya kichina katika kupanua soko la ajira kwa vijana...
  7. S

    SoC04 Ushauri kwa Serikali juu ya kuongeza na kuboresha huduma za Ofisi za NIDA

    chanzo ni; yotube Hata sasa kwa Nchi ya Tanzania , Huduma ya upatikanaji wa namba za nida au vitambulisho vya nida bado imekuwa changamoto na mfumo huo kusumbua. Ofisi inayohusika na namba za nida utaikuta ipo wilayani tu au mkoani tu , yaani ofisi hizi za nida zinapatikana katika halmashauri...
  8. 21 JuLy

    USHAURI KWA SERIKALI YA MKOA WA DAR ES SALAAM KUHUSU KUBADILISHA MATUMIZI KWA STAND YA MABUS MAGUFULI MBEZI.

    Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la...
  9. K

    Ushauri kwa Serikali kuhusu uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga msimu huu

    Kwanza tunamshukuru Mungu kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga kwa msimu huu. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wananchi wamepata mavuno makubwa ya mpunga. Kwa sasa bei ya mchele inazidi kuteremka na ninaambiwa kuwa maeneo ya Katavi kilo moja ya mchele umefika Tshs. 600. Pia...
  10. L

    Ushauri: Serikali iwekeze kwenye ujenzi wa barabara za kiwango cha lami

    Wadau Mimi nilikua nawazo kwa Serikali kuhusu miundombinu ya Barabara Nchini. Barabara ndio kila kitu kwa mwananchi Ili afike pale anapotaka kufanya shughuli zake. Wazo langu nikuwa Serikali inatakiwa iangalie sehemu zenye watu wengi au makazi waweke Barabara zenye kiwango cha Lami Ili...
  11. Uhakika Bro

    Barua ya Wazi kwa TMDA: Kushughulikia Dawa Zilizoainishwa Kutofaa kwa Matumizi ya Binadamu

    Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) S.L.P 1253 Dodoma / 77150 Dar Es Salaam. Barua pepe: info@tmda.go.tz Tovuti: www.tmda.go.tz Yah: PENDEKEZO LA UTARATIBU WA KUSHUGHULIKA NA DAWA ZISIZOFAA KWA MATUMIZI NCHINI Baadhi ya tafsiri: Dawa zisizofaa kwa matumizi: Ni zile bidhaa...
  12. G

    Mnatuchukua vijana kutulimisha JKT, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu

    Acheni kutuchukua vijana Kwenda JKT mkatulimisha kisha mkatuacha MTAANI, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu ambao hata JKT HAWAJAPITA, halafu mtaani wanajisifu, Watu wamekaa JKT miaka 3 halafu mnambiwa mkajiajiri kujiajiri nyoko madako yenu.
  13. data

    Ushauri kwa Serikali juu ya matokeo haya yaliyotoka, FTNA

    Wadau wa Elimu na Wazazi. Mtokeo ya Dara's la nne na kidato Cha pili yametangazwa leo. Napenda kulipongeza Baraza La Mitihani kwani kiukweli kabisa mwaka huu yamkuja matokeo halisi sawa na watoto tunavyowafahamu huku mashuleni na mtaani. Naomba niseme hivi... Kidato Cha pili wanfunzi wengi...
  14. Mhaya

    Yericko Nyerere atoa ushauri kwa serikali na TISS zianze kufanya biashara ya taarifa za kijasusi

    Katika mahojiano yaliyofanyika kwenye Channel ya YouTube ya Simulizi Na Sauti (SNS) kati ya Sky Walker, DJ Smaa na Yericko Nyerere. Nguli wa uchambuzi wa mambo ya Siasa na uchumi wa kivita na ujasusi, Yericko Nyerere amesikika akiishauri Serikali ya Tanzania na Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)...
  15. FaizaFoxy

    Ushauri kwa Serikali na Huduma za Jamii Tanzania

    Binafsi ni mwana CCM kindakindaki tokea ilipobuniwa 1977, kabla ya hapo nilikuwa TANU Youth League. Ingawa ni mwana CCM lakini si kila jambo la serikali linaniridhisha, kuna ambayo tukipata nafasi tunayafikisha vikaoni lakini hivi sasa imekuwa ngumu sana kufikisha ujumbe kwenye ngazi za...
  16. K

    Ushauri kwa Serikali kwa mambo ya nje hasa Balozi

    Mimi kama diaspora nitaanza na mawazo mawili makubwa halafu naomba wadau muongeze 1. Nashauri Mabalozi ambao wanateuliwa wapimwe uwezo sio tu kuchagua watu ambao ni madiplomasia wa wizarani na ofisi zetu za balozi lakini kuchagua watu ambao wanauzoefu wa biashara, uwekezaji na ushawishi...
  17. FaizaFoxy

    Ushauri kwa Serikali ya Tanzania, hususan Waziri wa Fedha kuhusu misamaha ya kodi

    Hapa Jamii forums, hapo zamani tumeshajadili sana kuhusu misamaha ya kodi ya kila namna na jinsi inavyotuumiza. Leo hii sitaki kuchanganya mjadala wa kodi aina nyingi, nashauri hapa misamha ya kodi sehemu mbili tu ifutwe: 1) Wabunge wote wafutiwe misamaha yote ya kodi. 2) Taasisi za kidini...
  18. CK Allan

    Ushauri kwa Serikali: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) mali zake ziuzwe na zigawanywe kwa walimu kisha chama hiki kifutwe

    CWT hakuna msaada wowote kwa mwalimu zaidi ya kumkata kuanzia shilingi elf 15,000 hadi elf 60,000 kwa mwezi kulingana na daraja lake, kisha hizo pesa zinaliwa na wajanja wachache. Kupitia hizo pesa, chama kimeweza kutengeneza miradi mbalimbali na hadi kufungua bank (MCB) kwa fedha hizi hizi za...
  19. Msanii

    Ushauri kwa Serikali kuhusu utaratibu wa kutumia kadi ya kieletroniki Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli

    Tangu jana tarehe 20 Februari 2023 serikali imeweka utartibu mpya kwenye kituo cha mabasi cha Kimataifa cha Magufuli Bus Terminal pale Mbezi; ambao kimantiki ni utaratibu mujarabu unaoleta tija kwa jamii. Utaratibu wa kutumia kadi ya kieletronic ya N-Card kwa wananchi wanaoingia ndani. Mantiki...
  20. C

    Ushauri kwa Serikali, TAMISEMI na Wizara ya Elimu

    Kwanza naishukuru sana serikali na wizara ya elimu kwa kujitahidi kuhakikisha kuwa kila mtanzania anapata nafasi ya kufikia walau elimu ya sekondari bila malipo. Nikiwa nimefundisha shule za umma kwa miaka 15+ na kujua na kuona changamoto za mashuleni nimeona niandike kile ambacho katika...
Back
Top Bottom