Jana nimefungua facebook nikaona mkurugenzi mmoja wa wanyama pori ametoa wazo kuwa serikali itoe kibali tembo wanaoharibu mazao kwa sasa wauwawe.
Mimi kama mzalendo sikubaliani na wazo hili kwa sababu tutakuwa tunatatua tatizo moja tunaunda lingine.Tutajenga mawazo mabaya kwa majangili kuwa...
Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake.
Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi...
Sisi wamiliki wa vyombo vya moto, tumekuwa wazito sana kulipia vyombo vyetu Bima(third party).
Hasa Mikoani.
Ushauri:
Kama ilivyo kwa iliyokuwa Road License, third party iingizwe kwenye mafuta, hii itasaidia sana.
1) Serikali itaachana na mambo ya Agency
2) Haitawaumiza walipaji (they won't...
Kwa wote wanaohusika,
Awali napenda kuipongeza Serikali kwa kuja na wazo la maombi ya kazi za Sensa kufanyika ONLINE na katika hili Urasimu umepungua Sana kutofautisha na njia iliyotumika kwenye ANUANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI ambapo ilifanya nafasi zitolewe kwa kujuana na hivyo wenye sifa...
Hii nembo haipewi heshima stahiki kila mtu anaitumia anavyotaka naomba serikali itoe tamko kuhusu matumizi, upande wa Bendera turuhusiwe lakini kwa kibali ijulikane inaenda kutumika wapi !!
Habari ndg wanajf.
Napenda kuishauri serikali ilichukulie umuhimu hili jambo ipunguze mishahara ya wabunge hadi kufika milion 5. Pesa ya mafuta na service ibaki palepale ila mafuta na hela ya service iwe inakaguliwa kama imetumika ipasavyo.
Pia ile ya mfuko wa jimbo ni vema wakaongezwa watu...
Kukopa kutoka nje ni jambo jema sana ikiwa utatumia mkopo husika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi.
Tangu tupate uhuru 1961 mikopo tuliopata ni mabillioni ya dollar za Kimarekani. Tujiulize kuwa thamani ya mikopo hiyo na hatua ya maendeleo tuliopiga mpaka sasa inaoana...
Kila mwaka wanavyuo wengi wana graduate na kurundikana mtaani bila ajira huku wakihangaika kutafuta ajira bila mafanikio. Serikali kama mdau wa ajira nchini inapaswa kuja na wazo la ajira za mkataba kama ifuatavyo;-
1.Kwenye utumishi wa umma:
Mfumo wa ajira za maisha uondolewe yaani nesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.