Sisi wamiliki wa vyombo vya moto, tumekuwa wazito sana kulipia vyombo vyetu Bima(third party).
Hasa Mikoani.
Ushauri:
Kama ilivyo kwa iliyokuwa Road License, third party iingizwe kwenye mafuta, hii itasaidia sana.
1) Serikali itaachana na mambo ya Agency
2) Haitawaumiza walipaji (they won't...