ushauri kwa vijana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushauri kwa vijana Wakike na Kiume

    Ushauri huu unatoa mwanga mzuri kwa vijana kuhusu maadili na namna ya kujitunza. 1-no tattoos 2-no kutoboa pua na maskio kwa wanaume. 3-no twerking hadharani. 4-usivae kibukta kinachoacha nusu paja wazi. 5-jifunze kutengeneza hoja jifunze kuongea na watu 6-ukipata chance ya kusoma piga book...
  2. Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

    "Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao. Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
  3. Mje mtushauri vijana wa miaka 25 hadi 40

    Habari, Nimekuja na mada hii kwa wazoefu wa maisha mnaweza kutusaidia sisi vijana wadogo ambao tuko kwenye miaka 23 hadi 40. Maisha yetu yamekuwa ni ya matarajio mengi sana lakini uhalisia wa hayo matarajio ni tofauti na tunavyofikiria au tulivyoahidi. Umri umefika tumejikuta tuna wake...
  4. Ukipewa nafasi ya kuwashauri vijana wa kitanzania, ushauri gani ungewapa ushauri kwa manufaa ya jamii inayowazunguka na Taifa pia?

    Hakika vijana ndo taifa la kesho na nguvu kazi kwa taifa na jamii inayomzunguka, tusipowekeza kwa vijana tunaweza kuja kuwa na jamii na taifa la hovyo hapo mbeleni. Ni upi ushauri wako ungeliwapa endapo ungepewa nafasi ya kuzungumza nao?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…