Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.