GE2025 Ushauri kwa vijana: Msithubutu kushiriki vitendo vya fujo au maandamano ya ghasia ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.

Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.

Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
wa
Kama vijana wenye maono, uzalendo na kuwa mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
2.Asubuhi vituo ambavyo tutakuwa tumeshindwa Wananchi tutawazuia kuingia kupiga kura
 
ni huzuni sana na fedheha nyingi sana kwa ndugu na jamaa kumfuata kijana wao mortuary akiwa ameganda eti kwasababu ya kubebwa ufala na vibaka na matapeli wa kisiasa akalete fujo :NoGodNo:
 
kama kijana,
haipendezi kupeleka zawadi ya huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au mauti kwa familia yako gentleman:putinWalk:
sio gopi kufa tajitokeza ila polisi atakaye nigusa nitamtumia jini la kumf*ra mda wote na tunampango wa kuanzisha intelahamwe tawi la tanzania
 
Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.

Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.

Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.

Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.

Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
WEwe andamana tu kwa ajili ya maslahi ya tumbo lako ,waache wenye njaa na kiu wahangaike vile waonavyo itawafaa.
 
mimi siandamani kilofa,
na wala nisingependa vijana wenye njaa na kiu za kilofa wakiwa walemavu au wanapoteza maisha kindezi ndezi tu :NoGodNo:
 
Kwa kuwa ni kwa ajili ya tumbo lako siyo kilofa.
 
kila mwanadamu ana tumbo gentleman,
na ni vizuri kuhakikisha unaliridhisha tumbo lako kwa bidii na maarifa,

na sio kubebwa ufala kifikra na vibaka wa kisiasa kwenda kufanya mambo kinyume na sheria kwa kusababisha fujo au vurugu za kujikuta umepata ulemavu wa kudumu au kupoteza maisha yako na kuwapelekea wazazi wako zawadi ya msiba nyumbani kwa maslahi ya wanasiasa na famila zao:NoGodNo:
 
Ingekuwa vyema ungewashauri Polisi waache kufanya fujo na pia waache kuvaa mask
 
Uchaguzi tz ni useless tu
Nyie endeleeni hakuna haja ya kuingia gharama
Nyie endeleeni tu kutawalaaa

Ova
 
Gentleman,

Alfajiri yote hii umeanza kutufokea, umekula hata uroda kweli?

Mkeo kaburudika?

Naagiza unyang'anywe hiyo simu mara moja.
Hilo la kuburudisha mke kwanza kwake sio hoja maana ndani ya chama chao kuna Umoja na kujaliana hivyo kama hupigi basi wanakupigia!
Umesahau zama zile za Naibu Katibu Mkuu "Savimbi" alivyokuwa anawachapia makada wenzake hadi wakamfumania Igunga?
KAZI IENDELEE!
 
Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.

Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.

Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.

Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.

Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
KAHAWA-7072025.png
MAPATO-YA-KOROSHO-09072024.png
MATUMIZI-YA-TPA-YASHUKA.png
WACHIMBAJI.png
 
Unatumika vibaya sana wewe!!
 
Uchafuzi?
FB_IMG_1750959233636.jpg
 
Hakuna wa kufanya vurugu, ikiwa wanachama wenyewe wanaogopa kupigwa na wengine wanajifungia ndani kuhamasisha unadhani nani atajichanganya kwenda kufa ili watu fulani wapate ulaji? Kwasababu huyo lissu na wenzake wao wanapambania nafasi ya ulaji hata akiwa rais leo hana cha kubadilisha nchi hii, na CHADEMU ukitoa matusi na uongo hawanaga hoja nyingne ya kushawish wananchi, subiri uone matusi yao hapo chini
View attachment 3334265
Kenya wamefanya maandamano ya saba saba,wamekufa 31,na wengine kujeruhiwa,na maduka kuvunjwa na magari kuchomwa moto.
Hakuna wa kufanya vurugu, ikiwa wanachama wenyewe wanaogopa kupigwa na wengine wanajifungia ndani kuhamasisha unadhani nani atajichanganya kwenda kufa ili watu fulani wapate ulaji? Kwasababu huyo lissu na wenzake wao wanapambania nafasi ya ulaji hata akiwa rais leo hana cha kubadilisha nchi hii, na CHADEMU ukitoa matusi na uongo hawanaga hoja nyingne ya kushawish wananchi, subiri uone matusi yao hapo chini
View attachment 3334265
Ni ujinga,kama ilivyotekea Kenya,kwenye saba saba,watu 31 wamepigwa risasi,na wengine mahututi hospitalini.Maduka na biashara kadhaa kuibiwa na kuchomwa moto,magari kuchomwa moto,mahospital kuvunjwa,wahonjwa kukosa matibanu na wajawazito.Wengibe wameuliwa wakitoka vibaruani kutafuta riziki.Vita havina macho.Mtoto wa kike muaka 12kapigwa risasi yuko nyumbani anatuzama TV.Wengine wameuliwa wakirudi majumbani mwao.Ni majonzi juu ya majonzi,watu nwakemee ujinga huu,usiseme humo,later baya kutokea kwako pia.
 
ni huzuni sana na fedheha nyingi sana kwa ndugu na jamaa kumfuata kijana wao mortuary akiwa ameganda eti kwasababu ya kubebwa ufala na vibaka na matapeli wa kisiasa akalete fujo :NoGodNo:
Ndio ilivyotekea Kenya kwenye saba saba,masndamano yameleta huzuni.kubwa na vifo 31 na majeruhi wengi tu,na biashara kubunjwa na kuibiwa,na magari kuchomwa moto,tupinge ujinga huu,kwa nguvu zote.Mtoto wa miaka 12,kapigwa risasi akiwa kwao.Anayetaka kuvuruga amani,akatazwe mapema na kuwahiwa yeye kuwekwa ndani
 
Back
Top Bottom