GE2025 Ushauri kwa vijana: Msithubutu kushiriki vitendo vya fujo au maandamano ya ghasia ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.

Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.

Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.

Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.

Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Hofu yako ni kitu gani? Si mmeamua Uchaguzi utafanyika tu inyeshe mvua liwake jua? Just Go ahead msitusumbue
 
ni huzuni sana na fedheha nyingi sana kwa ndugu na jamaa kumfuata kijana wao mortuary akiwa ameganda eti kwasababu ya kubebwa ufala na vibaka na matapeli wa kisiasa akalete fujo :NoGodNo:
Kenya wajinga wamefanya fujo siku ya sabasaba,wengi ni marehemu karibia 31,na majeruhi wengi tu.Wamesabqbisha hata wasiohusika kupoteza maisha.Wansotaka kuleta vurugu,walaniwe ns wazuiwe kwa nguvu zote
 
ukweli mtupu,
hayupo wa kuishinda CCM gentleman 🐒
Hayupo gentleman?
FB_IMG_1751536651627.jpg
FB_IMG_1751613861156.jpg
FB_IMG_1750959439809.jpg
FB_IMG_1750398104281.jpg
FB_IMG_1752056296146.jpg
 
Hofu yako ni kitu gani? Si mmeamua Uchaguzi utafanyika tu inyeshe mvua liwake jua? Just Go ahead msitusumbue
sina hofu,
nimetoa angalizo na ushauri mujarabu kwa vijana wote Tanzania,

ukishupaza shingo, ikivunjika ujilaumu mwenyewe 🐒
 
Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.

Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.

Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.

Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.

Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Andiko bora kabisa hili. Amani ya Tanzania lazima tuilinde kwa wivu mkubwa.
 
ushindi wa kishindo wa CCM upo pale pale bila kujali drama na mapichapicha ya kutafuta attention na public sympathy 🐒
Ushindi wa kishindo wa kutegemea refa mwenye jezi ya kijani upo pale pale kwa kucheza na timu za kijiji mnazotaka kuzitumia kutakatisha hela za mikopo.
Kushinda siyo kuogopa uwanja wenye usawa kama hizo kauli za CCM kwenye mapichapicha.
Ushindi au ushirikina? Kulingana na katiba ibara ya 74: 14 Chura kiziwi UNAOGOPA nini kuwepo Tume ambayo hakuna mwenezi wa CCM?
 
Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.

Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.

Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.

Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.

Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
No reforms no election.
 
Hata hapo Kenya hakuna mtoto wa Gachagua, Martha Karua, Kalonzo Musyoka au mwanaharakati yeyote aliyeandamana.
Watoto wao wapo salama kabisa, ila watoto wa Wananchi ndio target ili wapate siasa za kuongea.
Ukiangalia misiba inafanyika katika makazi duni sana, kumbe ni project kwa watu wa kawaida kupeleka watoto wao
 
Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.

Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.

Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.

Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.

Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Hakuna mtu atafanya fujo. Lakini mtafanyiana fujo ninyi wenyewe.
 
Back
Top Bottom