Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.
Dr. Schultz hana akili kama zako mkuu.calm down gentleman 🐒
calm down,
na uzingatie mawaidha bila mihemko gentleman![]()
Ukiona umati mkubwa unajitokeza kuwasikiza hao unaowaita matapeli,Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.
sijawahi na siwezi kumtisha mdau yeyote wa JF wala mTanzania mwenzangu yeyote gentleman,Leo umekuwa mpole mnyenyekevu. Leo unatoa mawaidha badala ya vitisho
Umeona mziki wa chadema jana hadi polisi wakaingilia msafara wa Heche
Na bado

zingatia mawaidha gentleman,Ukiona umati mkubwa unajitokeza kuwasikiza hao unaowaita matapeli,
Jua kuwa, wananchi ndio hasa wamewatuma CDM kupeleka agenda yao.
Kiukweli,
Bila Reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi,
Uchaguzi batili utayeyuka.
Mark my words!

Wewe kama nani? Na unalipwa na nani? Wewe ni CHAWA wa nani?Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.
Muhuni samia bushiri na genge lake atoboi hiyo 5 anayo imwagia damu na mwisho wake utakuwa mbaya wa aibuNawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.
WEWE mpumbavu,zingatia mawaidha gentleman,
porojo na stori zingine si muhimu sana kwa atakaeumizwa au kupoteza uhai kilofa. lazima tuwaprotect vijana kutumbukia huko![]()
Nakuhakikishia huku kweNawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.
Nakuhakikis hia huku kwetu Uchaguzi hauta kuwepo.Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuu mizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uhaajiribifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanuaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.