Hello!
Hii nchi bado wasomi wachache si kama tunavyodanganyana vijiweni.
Yes, haiwezekani vijana wote wakaajiriwa na serikali lakini vijana wachache watakaosoma huu Uzi na wengine wengi wanaweza kuajiriwa na serikali.
Unaweza kuwa na kampuni huku ni mwajiriwa.
Unaweza kufungua duka, ukalima...
Naombeni ushauri mama yangu kanipigia simu ana sema mwaka huu nikienda Kigoma bila binti wa wawatu nitakuta ameniandalia binti huko wakuja nae mjini.
Swali: hivi ukichaguliwa mwanamke na wazazi kwa karne hii hua kuna vibe na kudumu kweli!? Kwa alie na experience 🙏🏿
Habar wakuu huku ndani,
Hapa kijijini kwetu Moshi kuna eneo zuri potential kwa ajili ya biashara hasa ya duka la reja reja, hardware au site ya tofali za block wamiliki wa hili eneo ni chama cha ushirika wa kahawa KNCU.
Changamoto iliyopo ni kuwa hamna frame yeyote ya kufanya hiyo biashara ni...
NAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX.
Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND CRUISER ZX or VX series 202. Ipi bora na bei zake used zikoje kulingana na mileage za around 100,000.
Naomba ushauri pia kuhusu mafuta na spare zake. Shukrani.
Habari za wakati huu wapendwa wana JamiiForums,
Nina imani kabisa hapa kwenye jukwaa kuna watu wazima na wenye elimu walio elimika. Nimekuja hapa kwa lengo la kupata ushauri wa vitu vili vinanipa utata. Mimi ni kijana nimesoma elimu ya form six nikafaulu pia kuendelea na na ngazi za bachelor...
Habari wana JF
Mimi ni kijana wa miaka 24 nashukuru Mungu nilizaliwa nikiwa mzima wa afya na akili na viungo pia lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinitesa sana katika maisha yangu mpaka kufikia hatua ya kuishi maisha kama zombi/vempire kiufupi huwezi amini mpaka sasa sijafanikiwa kupata...
Harmonize wewe ni msanii Mkubwa Tanzania lakini unafeli sana anapolazimisha kuandika English lhali bado hujakijua vizuri.
Harmonize unaonekana haupo Serious kwenye post zako kwa kuandika Ngeli Mbovu na zisizo na maana kwa wanaojua English pekee.
BADILIKA MKUU.
Tayari umeapa kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha na wewe sio mgeni kwenye kazi ya ukuu wa Mkoa ulishaitumikia hapo mwanzo wakati wa Hayati Rais Magufuli.
Sasa napenda kukushauri hili.
Enzi za Magufuri zimeisha pita sasa hivi tupo na Mama Samia ndio Rais wetu hii tabia yako ya kumsifu na kumuenzi sana...
Ninajiita mtenda dhambi ila niliyesamehewa, kwasababu hakika ninafichwa na kafara la Damu ya Yesu Kristo tu mbele za Mungu, na hii ni baada ya kukabidhi maisha yangu kwake kwa maana ya kuokoka. Amekuwa Mungu wangu, mwokozi wangu, akiniangalia hanioni mimi, anaona kafara la Damu ya Yesu kwasababu...
Leo nimerudi kwa upande wa ushauri na hivi vitu navyoshauri kila moja ni kitabu chake lakini nitaweka hapa mambo makubwa ambayo Raisi Samia akivifanya vitabadilisha nchi yetu kwa miaka mingi sana ijayo
1. Boresha sheria mbovu ya uchaguzi iliyopitishwa Bungeni kwa kuongeaza chaguzi za serikali...
Habari ndugu wana Jamii Forums,
Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni kidogo.
Nyumba yangu ya kwanza, msanifu majengo mweledi kabisa alitumika na bado chumba...
Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua.
Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi, hakuna lolote linalofanyika , kuna haja gani sasa ya kutupotezea muda kuangalia na kusikiliza ripoti...
Salaam,Shalom.
Mimi ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri Tanzania, naijua thamani ya Bendera ya Taifa LANGU.
Bendera yetu ya Taifa Ina RANGI kuu nne, Bluu, Njano, Kijani na Nyeusi. RANGI hizo za Bendera ya Taifa naziona katika sakafu za ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu..
Kaka sasa liko ihvi, mimi nimeoa mwaka 2014 mpaka sasa Niko na watoto wa3 watoto wangu nawashughulikia kama Baba vizuri...
Kama mada inavosomeka hapo juu jamaa angu ana mtu wake kwenye mahusiano huyo binti alimuamisha jamaa kwamba ni Bikira Kwa 100%, lakini alichokuja kugundua Jana baada ya Sex Hakukuta kitu(hamna dalili ya utando wa damu kutoka) kama ilivokawaida(na hiyo sex hadi kupewa amesotea mwaka Sasa)
Sasa...
Baada ya shirika letu pendwa kuendelea kushusha vyombo (madege mapya na ya kisasa) ni wakati sahihi wa Kuajiri Marketing Manager Mzungu na pengine Ops Manager. Wenzetu wapo smart sana, anapewa malengo asipofikia anaondoka, tunaleta mwingine hadi kieleweke.... (Ila asiingiliwe mipango yake na...
Naona kila kona vituo vya polisi vimeandikwa " Kituo cha Polisi" kisha kufuatiwa na jina la mahala lilipo.
Sasa swali la kujiuliza, raia anamfuata polisi ama usalama wake pamoja na mali zake.
Nashauri vibadilishwe majina na kuitwa vituo vya usalama wa raia na mali zake.
Hii iitaboresha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.