ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa wiki ya nenda kwa usalama

    Sote tunaumizwa na ajali za kila mara zinazopelekea kupoteza nguvu kazi na hasa Vijana wa Kitanzania. Polisi wa Usalam barabarani wamekuwa wakijitahidi sana kupunguza ajali hizi lakini kwa asilimia kubwa Polisi mara nyingi wanakuwa na maelewano usio rasmi kati ya mkosaji na Polisi. Hivyo ajali...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana Wakike na Kiume

    Ushauri huu unatoa mwanga mzuri kwa vijana kuhusu maadili na namna ya kujitunza. 1-no tattoos 2-no kutoboa pua na maskio kwa wanaume. 3-no twerking hadharani. 4-usivae kibukta kinachoacha nusu paja wazi. 5-jifunze kutengeneza hoja jifunze kuongea na watu 6-ukipata chance ya kusoma piga book...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Fani gani nikisoma ni rahisi kufanyiwa Recategorization?

    Mimi ni mwalimu, naombeni msaada wa fani ambazo endapo nikasomea inakuwa rahisi kufanyiwa Recategorization kwa upande wa halmashauri. Mbarikiwe. #kuna hali imenishinda kuendelea kuendelea kushika chaki
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa kijana

    Leo tuifanye hii thread iwe ya moto. Ni ushauri upi wa muhimu unao mpa kijana wa kitanzania siku ya leo ili aweze kuyabili maisha vema?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya dagaa

    Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa ujenzi

    Habari wakuu naomba ushauri wenu kwa eneo la ukubwa wa upana 10M kwa 10 M Na urefu wa 10.5M kwa 10.7M naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu Kwa vijana

    1. Punguza Tamaa Zako Za Ngono Ukiendekeza Tabia Hii Itakupelekea kutembea Na Watu Mbalimbali. Hali Hiyo Siku Moja Itakupelekea kupata Magonjwa ya zinaa /Kwa Wewe Binti Mimba Na Hata UKIMWI. Akili Zako zitakuw zinawaza Sex tu. Mambo ya Maendeleo yatakupita kushoto. 2. Acha Kabisa Kuangalia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Cyber crime: Msaada wa ushauri wa Kisheria na Hatua za Kuchukua

    Kuna utapeli unaoendelea mitandaoni, unaohusisha baadhi ya watu fungua kurasa/pages/Accounts za Instagram kwa kutumia picha za watu wengine (innocent) huku pages hizo zikiwa na maudhui ya kudhalilisha. Kama kuna yeyote ambaye anaweza kushauri njia nzuri ya kisheria ya kuchukua against watu kama...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa LATRA, RPC na RTO Morogoro

    Habari wana bodi. Mimi ni mdau wa sekta ya usafirishaji na katika observations zangu nimegundua tatizo na nashauri watajwa hapo juu katika mkoa wa Morogoro kama ifuatavyo. Manispaa ya Morogoro iliamua kuhamishia mabus madogo yote yanayokwenda nje ya mji yawe yanaanza safari zake stand ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemaliza chuo, nina mtaji wa 2M. Naweza kufanya biashara gani?

    Wakuu nina kiasi cha 2M kama mtaji na ni juzi nimetoka Chuo Dar wa Salaam nimeamua kurudi mkoani kwa mzazi wangu Geita kuanza maisha maana hadi umri huu wa miaka 24 siku zote pesa nilikuwa napewa na wazazi mmoja akafariki Natamani kufanya biashara Nimesoma Degree ya business administration. So...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chama changu CCM,Hususan Dk Nchimbi; Saidia Chama na Taifa kwa Ujumla

    Nakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike. Wewe ndiye pekee kwenye Chama uliyebaki kuinusuru nchi hii. Najua mtu yeyote akigombea urais kupitia CCM...
  12. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kijana wa karne hii kufuata ushauri wa "wazee" katika ndoa au mahusiano?

    Nyakati zimebadilika sana, wanawake single mothers , talaka kwa Wakristo na ndoa kwa watu wa makabila tofauti sio mwiko(taboo) tena, katika mazingira haya je kuna haja ya kuwasikiliza na kuwatilia maanani wazee walioishi karne hiyo kuhusiana na masuala ya ndoa au mahusiano?
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri wa kimkakati: Red brigade wapewe mafunzo ili kukabiliana na dhuluma ya polisiCCM.

    Tumeshuhudia kwa macho na masikio. Viongozi wetu wamenyanyaswa na kuteswa. Ni wazi wanahitaji ulinzi. Na kwa mantiki hii basi Red brigade wapatiwe mafunzo ikibidi wapelekwe nchi kama Korea na Cuba. Lazimq tupinge uonevu na kujilinda.
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Lee Kuan Yew kwa viongozi wa nchi

    According to Tony Brair akimzungumzia Raisi aliyekuwa Kiongozi wa nchi masikini ya Singapore... Lee Kuan Yew. Nadhni Tanzania na Africa we need Raisi mwenye maono kama huyu Lee. hebu msikilize. Piga chini kiswahili kimetuletea umasikini tu na kutufanya zaidi tuwe houseboy n.k hatukubaliki...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana wa CHADEMA mlioingia kwenye siasa hivi karibuni kimihemko

    Natoa ushauri kwenu kwa nia nzuri tu, mkitaka chukueni msipotaka endeleeni na harakati zenu, mimi nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii wakati nikiwa form 2 mwaka 1992, enzi hizo ndio kumepamba moto siasa za vyama vingi yaani democratization process. Hali ilikuwa moto kipindi kile, chama chenye...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

    "Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao. Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu naombeni ushauri, kuhusu baba kaoa kule na mama kaolewa huko

    Wakuu Habari za weekend. Hivi unakuta Baba na mama walizaa ila kila mmoja akaenda na ndoa yake. Sasa kijana anataka kuoa, na yeye hajaishi kwa Mama yake wala kwa Baba yake. Kaishi na shangazi yake. Sasa anajiuliza kuhusu situation itakuwaje kuhusu mama yake kuudhulia kwenye shughuli kama...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kama kuna wadau wanaozielewa projector kali inayoonesha 4k, bei kwa badget ya 500,000-1000,000

    Habari wanajamvi nataka kufungua biashara eneo la wazi biashara itahusisha chips,mihogo yakukaanga,nyama choma,supu nk nafikiria kununua projector itakayo nipa nch 100 ama zaid iwe moja ya kivutio hasa kipind cha mipira na movie kali Kama kuna wadau wanaozielewa projector kali inayoonesha 4k...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu kati ya CPA au degree ya accounts nianze kipi?

    Wakuu habari za leo! Natumai mu wazima wa afya. Wapendwa naomba niwashirikishe jambo kidogo kwa ufupi mimi ni IT Professional nafanya kazi moja ya kampuni za private hapa mjini Dar, nimekua nikipitia changamoto sana katika kazi yangu ya IT yaani natumia nguvu kubwa sana kufanikisha majukumu...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu perfume(Ematscents)

    Nataka nichukue hizi mbili, Dapper Man na Royalty Kama ushawahi kutumia hizi perfume za Ematscents nipe madini....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…