ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tahadhari na ushauri

    Ndugu zangu nawashauri kuwa makini sana na kupenda kwenda hospitali kwanza kama unashida ya kiafya ambayo unahisi ukianzia duka la dawa hutopata matibabu sahihi. Hiyo picha ni picha ya majibu ya kipimo cha sphymomanometer kinachutumika kupima presha ya damu. Hapo kwenye picha chini ni majibu ya...
  2. Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    Wakuu habari, niliomba kazi taasisi flani ya umma (utumishi) sikupata nafasi jina langu likahifadhiwa kwenye database juzi kati kuna mkeka wa kuitwa kazini umetoka na jina langu likiwemo kwenye kazi za halmashauri. Ila kwa sasa kuna taasisi binafsi nafanya kazi ambayo nalipwa vizuri sana...
  3. Wajasiriamali wenzangu naomba ushauri kwenye hili

    Hapa dukani kwetu tuna binti mmoja ambaye mwaka jana alipata ujauzito. Ulipofika muda wa kujifungua tulimpa likizo ya miezi 3 ambapo pia tuliendelea kumlipa. Mwezi huu wa kwanza tarehe 1 alirudi tena kazini ila akiwa na mtoto wake. Binafsi nilidhani baada ya miezi 3 angeweza kurudi na kuchapa...
  4. JE UNAJUA WA KUKUSAIDIA KWENYE UWEKEZAJI NA USHAURI WA KIFEDHA, Mfahamu MWAKAWASILA

    MWAKAWASILA CONSULTANT Ni mshauri wa kifedha ni mtaalamu anayetoa ushauri wa kitaalamu kuhusu usimamizi wa fedha, uwekezaji, na kufanikisha malengo ya kifedha. Huduma zake mara nyingi hujumuisha: 1. Mipango ya Uwekezaji Kushauri kuhusu hisa, mifuko ya uwekezaji wa pamoja (mutual funds)...
  5. M

    Lema anahitaji ushauri wa saikolojia, hayupo sawa. Atunga kitabu kuhusu Mbowe

    Huyu jamaa kama kachanganyikiwa. Sasa Mbowe akimshtaki mahakamani amlipe faini? Akili hizi ni za kuchanganyikiwa sio za mtu mwenye akili
  6. B

    Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Lissu, na wanaCHADEMA wote wakiwamo Chawa na hata wabangaizaji. "Mbowe aachiwe uenyekiti hadi atakapojichokea!"

    Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu. Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa. Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa. Kwamba alipo ni heri chama kife ila hang'oki hata iweje! Looh! Roho za namna gani hizi? Kwamba ni kwa sababu anajitolea mno...
  7. Naomba ushauri

    Polen na majukumu naomba ushauri nasumbuliwa na mbaa matangotango ni dawa gan nzuri kat ya sindano na vidonge nipate matokeo ya haraka
  8. Habari ndg sorry naomba ushauri nasumbuliwa na mbaa/matangotango

    Polen na majukumu na week end ya jpili nilikuwa nauliza ni dawa gan nzuri kati ya sindano na vidonge nasumbuliwa na mbaa matangotango. Plz naomba ushauri wenu ndg zangu nipote ili tatzo n muda...
  9. B

    Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    Habari Wana JF hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa huyu mtoto ebanaee. Huwezi amini in all that year nimeshindwa kumwambia kwamba nampenda japo najua...
  10. M

    Ushauri kwa Wapendanao hawa!

    Angalia video hii kwa makini ,weka maoni yako
  11. Naombeni Ushauri: Utaratibu wa kuuza bidhaa Nje ya Nchi.

    Good morning wadau, Happy New Year, Mimi nina wazo la kuuza viungo( spices) Nairobi na nimeshafuatilia soko kuwa ipo vizuri. Sasa, sijui nianzie wapi kuhusu utaratibu wa kufuata. Sitaki kufanya hii biashara kiholela but nifanye kwa ustadi mkubwa and in a professional manner. Hivyo, naombeni...
  12. M

    Ushauri kwa wanachama wa TLS

    Nawashauri watokee wanachama wa TLS wajitokeze hadharani kumkosoa Rais WA TLS wa sasa ili tuone nini kitatokea. Naandika hivyo kwa sababu yeye mkosoaji mkubwa wa viongozi wa chadema waliopo madarakani dhidi ya kundi la Lissu. Hii itatupa tumpime uwezo wake ktk masuala ya uongozi
  13. 4

    Ushauri; CCM mleteni mh Mwaniri kama Makamu Mwenyekiti, mtanishukuru baadae

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu. Mzee Mwaniri amekua mkuu wa Mkoa Tabora ila pia ameshika nyadhifa Mbali Mbali ndani ya nchi yetu, Uyu mzee anamapigo ya G z , siasa za nchi hii zinazidi changamka Sana , nami ni ombi langu ziendelee changamka . Mleteni uyu mzee kama makam wa ccm ...
  14. B

    Ushauri wa Bure: Lissu, akishachukua chama, aanze na haya yaliyomshinda Mbowe kwa miaka 21!

    1. Uchawa kama profession CHADEMA, ni marufuku! 2. Aanzishe vita dhidi ya ruzuku za vyama: Vyama vyote viendeshwe na wanachama, si huu upigaji wa pesa za wananchi kwa jina lingine lolote! "Pesa za ruzuku zielekezwe kwenye ajira mpya za vijana wanaohitimu masomo, itapendeza zaidi!" 3...
  15. Ushauri juu ya heater bora kwa ajili ya nyumba ya vyumba 4

    Waungwana, amani na iwe kwenu. Bila kupepesa macho, naamini hapa ni sehemu sahihi kwa ajili ya hili suala linalonitatiza. Ntajitahidi nieleze kwa ufupi. Nipo katika hatua za mwisho za kufanya ukarabati wa nyumba kwa ajili ya kuweka wapangaji. Nyumba ina vyumba 4. Mojawapo ya amenities ambayo...
  16. M

    Ushauri: Lema azuiliwe anataka kuharibu uchaguzi

    Haiwezekani uchaguzi umeanza wewe unaitwa vyombo vya habari kutaka kuzua taharuki. Nashauri chama kimzuie asilete taharuki. Kamkimbia mh Makonda Arusha akiamini katika siasa hana tena chake
  17. TRA chukueni ushauri huu (kulipa kwa installments) juu ya kodi kwenye imported goods

    Kwema Wakuu? Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Tanzania ni nchi ambayo inaingiza au kuagiza bidhaa nyingi kutoka nje. Bidhaa hizi zinaweza kua za mahitaji au matumizi binafsi, bidhaa za biashara, bidhaa kwa ajili ya kutoa huduma, etc. Ukiacha bidhaa hizi zinazoagizwa sasa, wapo pia...
  18. Nimeacha Kazi Bila Mkataba, Sasa Nadaiwa Kulipa au Kufanya Kazi Bila Malipo – Naomba Ushauri wa Kisheria

    Habari wanajukwaa, Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu suala linalonihusu. Nilikuwa nafanya kazi sehemu fulani bila kuwa na mkataba wa maandishi. Hivi karibuni niliamua kuacha kazi, lakini meneja wa kampuni amenipa chaguo mbili: Kulipa pesa ya mshahara wa mwezi mmoja. Kufanya kazi kwa mwezi...
  19. Ushauri kwa Wazazi : Wazazi hata kama mnapendana kiasi gani chonde chonde nawaomba msifanye mapenzi mbele ya Watoto

    Wakuu, Leo acha nizungumze na wazazi, wazazi mtanisamehe kwa nitakachokizungumzia hapa leo hii ila naomba mnielewe. Naombeni muda wenu walau kwa dakika kadhaa someni hiki ninachowaasa kitawasaidi nyinyi na watoto wenu. Kuna katabia nimekabaini katika baadhi ya familia sio zote hususani hizi...
  20. N

    Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

    Habarini jamvini? Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi yoyote,akipata kibarua anaenda kama wiki hivi anaacha. Biashara ndogondogo hataki kufanya kabisa,mzigo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…