ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. wakuishiishi

    Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

    Jamani naomba kujua je, bachelor in applied geology ina soko kwa saa hizi??
  2. M

    Rais wa TLS (Mwabukusi) anaikosea heshima TLS

    Nawashauri TLS kumshauri Rais wao Mwabukusi kujiepusha na siasa chafu za chadema. Kweli katiba inamruhusu kushabikia Upande anaotaka lkn yeye kama kiongozi wa mawakili nchini na anaeongoza Taasisi alioita pinzani kwa ccm ni vizuri kukaa kimya katika kipindi hichi, kuegemea kwa LISSU huku...
  3. econonist

    Ushauri Kwa wajumbe wa CHADEMA, kula kwa Mbowe ila Kura kwa Lissu.

    Naomba niwashauri wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA, pesa zikija au kuletwa kwenu kuleni bila huruma ila kura mpigieni mwanamageuzi Lissu. Ushauri wangu kwenu ni kwamba kuleni kwa Mbowe ila kura mpigie Lissu. Asanteni kwa kunielewa.
  4. B

    Naombeni ushauri ndugu zangu

    Habari za mda huu Nina million 1200000 wazo la biashara nililolipata ni kununu a pikipiki ya laki 8 alafu pesa inayobaki ninunue nguo za ndani za wadada na vigauni vikali niwe nawatembelea masaloon na kuwauzia je kwa hilo wazo nitafeli? Maana nitakuwa na pikipiki nitakuwa na uwezo wa kuuza...
  5. Mr Dudumizi

    Kila mwenye ushauri mzuri aje amshauri Lissu. Mimi naanza na ushauri huu

    Habari zenu wanaJF wenzangu Ndugu Lisu kwanza napenda nianze kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Najua hatujuani, lakini hilo haliwezi kuwa sababu ya mimi kuacha kukushauri pale ninapoona inafaa mimi kufanya hivyo. Bila kupoteza muda na kuchosha wasomaji ukiwemo wewe...
  6. Truth Bot AI

    Naomba Ushauri Kwa Huyu Msichana Nimefanya Kosa Au Ni maringo yake tu

    Ebwaana Eeh Kilichonikuta jana Kabla ya mkesha wa Xmass Ni balaa! Kuna kimchepuko kimoja nilikipenda kutokana na kuwa ni kizuri sana na kina umbo zuri sana nikaona sio mbaya nikitongoze.. Mtoto yule nimemtongoza Ila akawa ananitolewa nje ooh Mimi nakupenda sana ila ningependa tuwe kama kaka na...
  7. Sakascom

    Napenda kutoa ushauri Kwa taasisi za umma panapokuwa na changamoto au marekebisho ya kimfumo iwe inatolewa taarifa

    Napenda kutoa ushauri Kwa taasisi za umma panapokuwa na changamoto au marekebisho ya kimfumo iwe inatolewa taarifa kuwa kuanzia saa Fulani Hadi Fulani kutakuwa na jambo Fulani kwahiyo hamtakuwa hai wakati huo. Lakini Kwa sasa asilimia kubwa ya mifumo mingi ya taasisi za Umma kukiwa na...
  8. L

    Huduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
  9. kindikinyer leborosier

    Naelekea kupoteza mafao yangu, ushauri wenu Wanasheria

    Habari ndugu zangu, Niende Moja kwa moja kwenye tatizo langu. 1. Mwaka 2017-2019 niliajiriwa sehemu nikawa nalipwa ujira wangu, nilikuja kuachana nao na kujiunga na taasisi nyingine, Hawa maboss wangu waliniahidi kiasi Fulani Cha fedha wanapeleka NSSF lakini hawakuwa wakifanya hivyo, na kibaya...
  10. MAHANJU

    Tatizo la CHADEMA ni kukosa wazee wa ushauri ndiyo matokeo ya kinachoendelea sasa

    TATIZO LA CHADEMA NI KUKOSA WAZEE WA USHAURI NDIO MATOKEO YA KINACHOENDELEA. Utakubaliana na mimi kwamba chama kikubwa cha siasa aina ya Chadema ambacho uhai wake ni zaidi ya miaka 30 kukosa wazee wa Ushauri ni aibu na ndio matokeo ya minyukano inayoendelea kipindi hiki cha Uchaguzi wa wao wa...
  11. Surya

    Mrejesho: Asanteni Kwa Ushauri, Mtego ulikuwa kweli.

    Kiukweli ningefanya maamuzi ya kukurupuka, huwenda kwa sasa ningekua na adui moyoni ambaye kala vya kwangu na kukimbia.. https://www.jamiiforums.com/threads/msaada-wa-mbinu-ya-kuluka-mtego.2287176/ Baada ya washauri kuniambia ni achane na huyo pasua kichwa hakupendi, basi nikaamua kufunga...
  12. T

    USHAURI WA BURE: CHADEMA MSIPUUZE MAONI YA WANANCHI

    Msipuuze maoni ya wananchi. Kuna yale ya moja kwa moja na haya yanayotolewa kwenye mitandao ya kijamii. Msikilizeni pia Baba wa Taifa kwenye hii clip.
  13. Trainee

    Ushauri kwa NMB kuhusu miamala na mikopo

    Nilichoona na kuamua kuzinduka ni kwamba ukiwa na hoja yoyote kwenda popote basi taarifa inafika vizuri, haraka na kwa uzito kupitia Jamiiforums kuliko njia zingine za kiprotokali zinazowekwa na wahusika Leo naomba NMB wachuje ushauri huu 1. Mtu akifanya miamala kwa nmb mkononi huwa mnatoa...
  14. chakii

    Ushauri : Lisu imetosha kubali yaishe, Jiengue kwenye nafasi ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wadau ... Nipende kumshauri mpinzani wa kweli na Muumini wa Demokrasia Mh Tundu A. Lisu kuwa ni busara kujiengua mapema kwenye kiini macho kinachosubiriwa cha uchaguzi CDM, watu ambao wanaenda kupiga Kura wanakula , wanalala kwa gharama za Mbowe. Wewe Nani atakupigia Kura japo wanafahamu uwezo...
  15. Genius Man

    uzi maalum kwa wale wenye shida mbalimbali wanaohitaji msaada au ushauri tunduizi

    nimefungua uzi huu kwa lengo la kutaka kusaidia watanzania wenzangu kwa namna moja au nyingine wale wanaopitia changamoto mbalimbali kwenye maisha na kwamba wanahitaji ushauri au msaada wa aina flani ili kuweza kutatua changamoto hizo. Kwa wale ambao wataguswa na changamoto za mtu yoyote pia...
  16. ibrah0102

    Ushauri: Dada yupo kwenye ndoa miezi miwili sasa anaona ndoa kama utumwa

    Tumpe ushauri huyu dada
  17. T

    Nimepata mkopo Tsh 300,000. Naomba ushauri nini cha kufanya

    Sorry, za muda hu waungwana, nimepata mkopo mahali flani wa pesa taslim laki tatu, sijui na sielewei naifanyia nini,!! Maan marejesho kila baada ya wiki mbili kwa miezi sita, Naombeni ushauri 🙏
  18. shaban abdala

    Naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitenge hususani jijini Dar es Salaam

    Habari Wana JF Naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitenge hususani jijini Dar es Salaam.
  19. T

    Mahitaji mdau wa kufanya nae Biashara au anikopeshe au Ushauri

    Wana JF natumaini mko salama. Naomba kushirikisha suala moja hapa, Katika kupambana kwangu na harakati za kujikwamua, nikafanikiwa kununua Kiwanja na kujenga nyumba. Pia nikafungua biashara ya bidhaa za Jumla jumla za Dukani. Nilianza na Mtaji wa milioni 4, Baadae Mtaji ukafika mpaka milioni...
  20. kikoozi

    Ushauri: kuanzisha mji wangu katika mkoa wa Mwanza

    Habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya hapa na pale, naombeni ushauri wenu, kwa sasa nipo kwenye ili jiji la chalamila jua na mvua vyote ni vyangu. Katika tafakuri zangu za maisha nimepata wazo moja ambalo nahisi linaweza kunisaidia kwenye siku za usoni, nataka kuanzisha mji wangu mimi...
Back
Top Bottom