ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nina mtaji wa laki nne na nusu, naombeni ushauri nifaye nini?

    Wakuu nimefukuzwa kazi Niko na mtaji wa Laki nne na nusu (450,000/-) naombeni ushauri nifaye nini na hiyo hela
  2. Mjukuu wa kigogo

    Ushauri kwa Diwani wa Kata ya Nyasura Wilayani Bunda Kiboko Magigi

  3. Mycojkhan

    Naomben Ushauri

    Habar zenu wakuu,poleen na Mvua na Baridi. Naomben Ushauri hapa ;Kuna Dem Nmemuacha Ila Kakatalia Nguo yangu anadai kuwa Ety Ni Kumbukumbu kwake.
  4. S

    Wale waliozaliwa 1995 pita hapa kuna ushauri

    1-Fahamu kwamba ndo unaingia miaka 30. (ni mingi mno) 2-Hakikisha una mtoto (kuoa sio muhimu ila hakisha una mtoto) 3- Kama umesoma huna ajira anza kusaka ajira rasmi 4-Bana matumizi, punguza matumizi ya social media ,pombe sigara 5-Stop kukumbizana na wanawake . 6-Jifunze kuvaa...
  5. S

    Ushauri:CHADEMA na wanaharakati mbalimbali, wakati umefika Mdude apewe tuzo ya ushujaa katika siasa za mapambano na harakati za kupigania haki za watu

    Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa. Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
  6. Brojust

    Mchepuko wangu anahitaji ushauri kuhusu biashara ya mbao

    Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana. Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa. Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
  7. Saidama

    Naomba ushauri wa kununua gari used ndani ya nchi

    Habarini wana jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Nimejichanga changa, mungu kasaidia nimepata kitu kidogo, nimeamua ninunue usafiri kurahisisha shughuli zangu. Natamani nipate gari kama Spacio au Raum ila sina uzoefu kabisa na magari. Hivyo nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ni vitu...
  8. cutelove

    Huyu mdada anaomba ushauri wenu

    Iko hivi huyu ni binti miaka 23, anajikuta kwenye dimbwi la mawazo katika kufanya maamuzi Amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mbaba(40 yrs) yaani mume wa mtu kwa zaidi ya miaka miwili na amemuahidi kumuoa na amejitambulisha mpaka kwa Wazazi wake hata alipokuwa chuo cha maendeleo huyo mbaba...
  9. Mwanadiplomasia Mahiri

    Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni malalamiko ni mengi kuhusiana na network yao, naombeni ushauri

    Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni naona kelele ni nyingi juu ya malalamiko kuhusiana na internet kuwa slow. Nilipo hapa natumia bando la kawaida la Airtel na liko poa. Naombeni ushauri kuhusu hizo router zinafaa au hazifai kabla sijaingia mkenge! NB Matumizi yangu ni ya kawaida...
  10. John kirua

    Ushauri naomba!

    Hiv ni kwanini mwanamke umehamua kuishi nae wote mnafanya kazi Lakini anakutegemea kila kitu ndani basi nimenunua mwanaume kila kitu ndani bado ni mtihani hata kama sabuni imeisha anaitaji utoe ela yako wakati vitu vidogo kama ivyo anauwezo wa kufanya Unamuliza ela zake anapeleka wapi...
  11. N

    Mwanamke yupi sahihi kati ya hawa wawili? USHAURI WAKO NI MUHIMU

    Naomba ushauri wako kati ya hawa wanawake wawili yupi anaweza kuwa sahihi kwangu? MWANAMKE WA KWANZA Ana elimu ya darasa la saba lakini ni mjanja sana maana hata text za kiingereza anajua kusoma na kuandika baadhi ya maneno, amezaliwa 1988 (miaka 36), ana watoto wawili wote wa kike - sio watoto...
  12. Olaw2jr

    USHAURI: Beam & Block Slab - Gharama na Mafundi

    Habarini Nina mradi wa nyumba na ninahitaji ushauri kuhusu beam and block slab. Ningependa kujua: Gharama ya kuweka beam and block slab kwa eneo la takriban mita za mraba 160 Uzoefu wenu na aina hii ya slab - ubora wake na changamoto zake Mapendekezo ya mafundi wazuri wenye uzoefu na kazi hii...
  13. Introverted

    Ushauri kuhusu mashuka, pazia, mito na makapeti

    Habari ndugu zangu, mm kijana wa kiume(26) napatikana Dar es salam-kigamboni, hivi karibuni nmepata wazo la kufanya biashara tajwa hapo juu lakin katika kuandaa business plan yafuatayo nayataftia majibu na ninyi nimeona ni watu sahihi kuwauliza na kupata hayo aidha katika kupeana ushauri...
  14. Jumanne Mwita

    Magodoro bora na yanayodumu: Ushauri Kati ya QFL, COMFY, VITARAHA, TANFOM, SPRING n.k

    Habari wanaJamiiForums, naomba ushauri wenu/kuukiza kuhusu magodoro bora na yanayodumu kwa muda mrefu. Mwaka 2021 nilinunua godoro la kampuni ya super banco toka kipindi hicho mpaka sasa ni miaka 4, lakini sasa limeanza kumomonyoka na haliwezi tena kutumika. Imrnilazimu kuingia tena dukani...
  15. Mjukuu wa kigogo

    Kanisa la Anglican Church of Tanzania(ACT) nina ushauri kuhusu Shule yenu ya Wasichana Bunda Girls iliyopo wilayani Bunda

    Binafsi Mimi ni kati ya wadau wa elimu katika Taifa langu la Tanzania.Napenda kutumia wasaa huu kuushauri uongozi wa juu wa kanisa la Anglikana ngazi ya Taifa kuhusu Shule ya wasichana ya Bunda girls ambayo wao ni wamiliki wakuu. 1. Eneo la Taaluma Katika eneo hili Taaluma ya Shule bado...
  16. sergio 5

    Ex- kukupa ushauri hii ipo sawa?

    Mbona Dunia inaenda kasi how come ex-wako anakushauri? Au kumpa sikio ndiyo anajua ana mamlaka na Mimi anyway waga naskiliza na kuyaacha apo apo uliyoniambia. Ungekuwa unaejitambua usingekuwa unanyanyua simu sijawahi kukutafuta mbona unanitafuta?
  17. B

    Nimekosa chuo naomba ushauri

    Nimepata one ya saba PCB nilikosa vyuo vya serikali nikapata vyuo vya private na mkopo sikupata wazazi wakasema Awana uwezo wa kulipa ada ya private nikuwa na waza niende veta nikajifunze ufundi au nisubiri mwakani ni apply tena
  18. M

    Ushauri: Gari Toyota Spacio New Model kukosa nguvu pindi ninapokutana na mlima

    Wakuu habari za Majukumu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, gari yangu hiyo aina ya Toyota Spacio hivi karibuni imekuwa ikikosa nguvu pindi inapoanza kupanda mlima hata kama ni kidogo pia inakuwa kama inamiss hivi sasa sijajua kama ni ishu ya Fuel Pump au maana hata nikijaribu piga ress...
  19. Manyanza

    Ushauri wangu wa bure kwa Mabinti

    Hakuna faida ya kubadilisha wanaume kama nguo maana kumbuka kadri miaka inavyozidi kwenda thamani yako inapungua huku thamani ya mwanaume ikiongezeka. Ndio maana utaona mzee wa miaka 60 akioa binti wa miaka 25 huku bibi wa miaka 60 akipata ndoa ni muujiza mkubwa. Unapowadanganya wanaume...
  20. Rjx

    Karibu kwa Ufahamu na Ushauri kuhusu Ramani na Ujenzi...kisha tufanye kazi🤝

    Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi. Hakikisha unakiwanja ambacho kimepimwa na kinatambulika na manispaa ya mji...kuepuka migogoro. Katika kiwanja unachotaka kuanza ujenzi Hakikisha unatambua upitaji wa barabara(access roads) na mpango mji , kwa mfn kuna maeneo ambayo ni maalum kwa ajiri...
Back
Top Bottom