ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D-Smart

    Ushauri kuhusu Biashara ya Kuagiza Nguo za Special za Kupoint Mtandaoni kutoka Alibaba - Je, Inalipa?

    Habari wana JF, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuagiza nguo za special za kupoint kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni, hasa kwenye mitandao kama Alibaba. Hii ni biashara ambapo nitachagua nguo chache chache kutoka kwa wauzaji tofauti, badala ya kuagiza kwa wingi. Ningependa kujua...
  2. Charlez kanumba

    Ushauri: Rafiki yangu ni msaliti na mnafiki nimfanyeje?

    Nisiwachoshe sana, tabia za huyu rafiki yangu ni hizi. *Ananizungumzia vibaya kwa masela nikiwa mbali, inafika point anawaambia wajaribu kuanzisha ugomvi na mimi halafu yeye atawalipa pesa. *Anamponda na kumkosoa kila mwanamke nitakae kuwa nae katika mahusiano ila nikiachana na huyo mwanamke...
  3. chiembe

    Ushauri: Malisa na yeye akamatwe kwa kuwa huwa anakusanya michango bila kibali

    Kuna huyu ndugu anaitwa Malisa. Yeye pia ni sehemu ya watu wanaokusanya michango mitandaoni bila kibali chochote. Nashauri na yeye aitwe Polisi akahojiwe. Inaweza kuwa ina namna
  4. Richard

    Ushauri kwa Waziri Mkuu: Aliechangisha milioni 37 za maafa asidhuriwe na sheria serikali imuajiri kwenye kamati ya maafa ana uwezo wa kuhamasisha

    Leo Waziri mkuu katembelea eneo ambalo ajali imetokea huko Kariakoo na baadae akateta na wananchi na viongozi mbalimbali wa mkoa na serikali akiwemo waziri alie chini yake William Lukuvi. Lakini ukweli wabakia kuwa ni uleule kwamba bado wapo watu wamekwama huko chini ya kifusi na hatima yao ya...
  5. Green Beret

    Yaliyotokea Kariakoo: Ushauri

    Pole kwa waathirika. Moja kwa moja kwenye hoja. Mwaka 1986 pale Urusi kulitokea janga kubwa la kinu cha nyuklia cha Chernobyl kulipuka. Kutokana na uhaba wa wataaalamu na nguvu kazi wachimbaji wa makaa ya mawe waliitwa kusaidia kuokoa na kuepusha janga la mazingira lililokua tishio. Hapa...
  6. Crocodiletooth

    Ushauri kwa waokozi kariakoo!

    Kutokana na kuwa jengo kwa ujumla lipo katika hali ya hatari sana, hasa kutokana na uwezekano wa kuweza kuporomoka na kuleta maafa, Nawashauri waje nje kwenye mlango mkuu wa jengo, wachimbe Tundu la mraba kushuka chini, katika urefu wa mita 6-7, halafu waanze kwenda mbele usawa wa lango kuu...
  7. T

    Ushauri na Usaidizi ktk Maandiko ya miradi

    Salam! Kwa mtu binafsi Kwa biashara yoyote Kwa NGO yoyote Kwa taasisi yoyote ya elimu Kwa taasisi yoyote ya kidini IWE NI WAZO AU SHUGHULI HALISI NINATOA HUDUMA YA USHAURI NA USAIDIZI KATIKA: 1) Kuanzisha/kuboresha/kupanua biashara au Mradi 2) Kufanya Tathimini ya maendeleo ya biashara au...
  8. S

    Ushauri wa kiufundi katika utanuaji na ukarabati wa maghorofa pasipo kuleta madhara

    Habari wadau, wamiliki, watumiaji na wasimamizi wote katika sekta ya ujenzi. Kwanza nitoe pole kwa wahanga waliokutwa na jambo zito la kuangukiwa na ghorofa kariakoo! Naomba kutoa machache kutokana na uzoefu wangu kiufundi katika majengo makubwa na madogo! Kwanza kabisa Siyo kosa kiufundi...
  9. Magical power

    Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako.

    Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako, mimi ni binti wa miaka 24 nlikuwa kwenye mahusiano lakini hayakuwa ya amani hivi baada ya kuondoka kwenye hayo mahusiano nilikaa mwaka mzima bila kujiingiza kwenye mahusiano sasa kuna kaka...
  10. pet geo pet

    Nimepewa kiwanja na Baba mkwe wangu naombeni ushauri nikijenge au nikiache kwa muda ila yeye amesema nijenge

    Wakuu habarini!! Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao... Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue. Ninachogopa ni kuwa kiwanja nilichopewaa na Baba mkwe wangu nitakosa nguvu kama kidume Cha familia...hata...
  11. Etugrul Bey

    Ushauri Kutoka kwa Grand Legend

    Watu muhimu katika maisha yako ni wale ambao wameamua kushea maisha na wewe hivyo uwajali sana Unaweza kuishi maisha marefu au mafupi,ila jali sana ujana wako Vitu ni vitu tu,usiwekeze sana sana katika vitu ila katika mda na uzoefu Wivu unaharibu mahusiano,jifunze kumwamini mwenzako,je ni...
  12. Mwachiluwi

    Ushauri wangu kwa kijana ambaye anataka kuajiriwa Jeshini au kuwa Afande

    Hello Wengi huwa wanaomba nafasi mbalimbali katika vyombo vya ulinzi wengine wanakuja kufeli kwenye usahili kwa vitu vidogo vidogo ambavyo vinaweza kurekebishwa kabla ya usahili ila mnavipuuzia Nafasi zinapotoka kunakuwa na ushindani mkubwa unakuta kila mtu anapambana mtu wake apite au apate...
  13. K

    Naomba ushauri

    Mwanangu amemaliza darasa la saba na amepata alama hz Ana c moja tu D nne Na e moja Naomba walimu mnijuze km kuna uwezkano wa huyu dogo kupangiwa shule na selikali
  14. Komeo Lachuma

    Ushauri wangu. Urais 2025 Mwinyi aje agombee Bara

    Mwinyi utendaji wake ni mzuri na hana makelele. Anafanya mambo yake kimya kimya na yanaonekana. Ndo nimeelewa kwa nini Magufuli alimtaka Ali Mwinyi. Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania Bara kwa kipindi hiki. Samia nadhani aende Zanzibar au sasa apumzike. Mwinyi hata Elimu anayo vizuri. Pia...
  15. love life live life

    Yule bwana (mtekwaji) angekuwa anafuata ushauri wa Prof Janabi tungekuwa tushamsahau

    Wazungu wanakitu kinaitwa intuition, ubonge ambao kila siku janabi anauponda leo umegeuka kuwa mokozi wa Yule bwana hii ndio maana ya za kuambiwa changanya na zako.
  16. KENZY

    BOT, ishaurini serikali ianze kuzalisha noti za shillingi elfu hamsini (50,000)

    BOT ishaurini serikali ianze kuzalisha noti za shillingi elfu hamsini (50,000). Jipapatueni huko muanze kuizalisha hiyo noti, mtakuwa mmepunguza mzigo kwa watu fulani fulani nafikiri hata nyinyi mnanielewa!. by the way hakikisheni uchumi unakuwa stable sio kuileta hiyo noti ndo nathamani ya...
  17. Anonymous77

    Ushauri wa Vijana unatishia usalama wa maamuzi yako

    Siku za hivi karibuni ndio nimeelewa ile kauli ya "heshimu wazee" watu wengi wamekuwa wakitusisitiza vijana kuheshimu wazee na kuwaomba ushauri wazee na wale waliokuzidi umri sababu mara waliopitia mengi na wenye matatizo mengi ndio wenye ushauri mzuri. Lakini vile vile nimekumbuka ile kauli ya...
  18. Q

    Najuta naombeni ushauri wenu, msinihukumu hali ni mbaya

    Habari za jumapili Nina tatizo nimekaa nalo mda mrefu saana..ila kwa sasa nataka niache nioe niwe na familia naombeni msada wenu. Mimi nina umri wa miaka 33 mwaka 2003 kulikua na House girl wetu alikua amenizidi kidogo tuu umri sasa tukawa tunafanya michezo ya kikubwa alikua anakuja anavua...
  19. RIGHT MARKER

    Ukianza safari usiombe ushauri kwa waliobaki nyumbani

    📖Mhadhara (58)✍️ Leo ni Novemba 8, 2024. Mwaka 2024 unaelekea kwisha, ile mipango yako yote uliyopanga kuifanya na kuikamilisha mwaka huu imebuma, tena imebuma kweli kweli. • Unadhani ni kwanini? Shida ilianza hapa;- Wewe kabla hujaanza safari yako tayari ushawaambia ndugu, jamaa na marafiki...
  20. moneymakerman

    Naomba Ushauri mtoto awe "anapata ufaulu mzuri" Je, nifanyaje?

    Naomba kujua kutoka kwa wazazi wenzangu ambao watoto wenu wanapata matokeo bora, siri ama mbinu gani mnatumia hapo nyumbani mtoto afaulu? Nawasilisha
Back
Top Bottom