Habarini,
Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada...
Kwa Wanaume.
Unajuaje kama iyo style ya kunyoa inakunoga? Unaambiwaga na watu au unajiona mwenyewe kwenye kioo au ulimuachia kinyozi akuchagulie?
Ushawahi jaribu nyoa para? Pank? Ushawahi jaribu acha ndevu?
Tuanze na wanawake wa Mikoa kama Manyara, Singida, Mara, Kilimanjaro, Arusha na Dodoma.
Makabila
Wambulu, Wamangha'ti, wagogo, wanyaturu, wakurya, wajaluo wajita, wanyiramba, wapare, wachagga, wamaasai, Wambugwe, Wadatoga, wasonjo etc.
Karibu kwa wenye visa kadhaa kuhusu kadhia ya sonona za...
Usiku una mambo mengi mno
Mda huu wa usiki kila mtu anautumia kivyake, kuna wale wa kulala. Kuna wale wa kuwanga, kuna wale mafundi ila kuna sisi wengine ambao keyboard ndo chakula chetu.
Kwangu mimi hizi kazi za usiku zimekua too much mpaka nasema hivi ni.lini takua na mpenzi ambaye anaelewa...
Wakuu natumaini wote mpo salama na mnaendelea vyema kusherekea sikukuu hizi
Dah, kwa upande wangu mimi sipo sawa kabisa hapa najiona mkosefu sana na sijui hata jamii itanielewa vipi, nimekuja huku naamini kuna wakubwa na watu wenye busara naweza pata ushauri.. Nayopitia kwa sasa na jinsi...
Vipi wakuu, mimi hapa napitia contact list yangu Kuna baadhi ya contacts sizijui kabisa na sikumbuki nilizipata vipi na wapi.
Kuna mmoja nimekuta nimemsave "muuza madela" ila sielewi chochote.
Habari za mda huu wakuu
Poleni watanzania kwa msiba wa Dkt. Faustine Ndugulile mwana CCM pekee aliyekuwa amebaki mwenye akili
Hii familia sijui wananipendea nini, anyway naamka na simu ya dada yao tulieachana miaka mingi japo sitaki kurudi
Unatoka hiyo inaingia ya mdogo wao wa kike ka first...
Habarini,
Katika harakati za kutongoza kama mwanaume unaeza jikuta wanawake wa type yako hawakutaki, unaishia kupata ambao sio type yako.
Ili kutoa ukame, una date na mdada asie type yako, ila hata kumtambulisha kwa ndugu na marafiki kama huyu ni girlfriend wangu, unaona aibu, hata kuongozana...
Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.
Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.
Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao...
Hope Jumapili iko njema kwa wote,. Kwa ambao hamko sawa nawaombea mrejee kwenye hali zenu za kawaida..
Iko hivi, imi hua nakutana na hii kitu sijui niiwekaje,. Yaani unakuta maybe mtu ana shida na kitu fulani labda kuelekezwa au kumpatia namna ya kukipata au kukijua. Na ninao uwezo labda wa...
Ma dj waga waduazi sana wanajifanya mademu wazur wote wanaokuja clabu au bar ni spesho kwa ajili yao tu. Demu anakupanga fresh alafu badaye utamkuta yupo kwa dj pembeni kama kifaraga cha kuchi hapo kumtoa inakuwaga ngumu sana sana sana ukiforce utaishia kumaliza pesa zako tu tena mkimpa bia...
Ilikuwaje na ulisolve vipi hata kama ulipakwa mafuta funguka ili vijana wajifunze kuwa mke wa mtu ni mtamu ila mpaka pale utakopofumaniwa ndio utajua hujui.
Quantum physics
Hii ni mojawapo ya branch za physics tuh ambazo vinaelezea kuhusu vitu vingi mfano
Time travel
Worm holes
Time dilations
Light&gravity
Time travel
Ushawahi sikia mtu anatoka future kwenda past au past kuja future ???hii nadharia nadhani wabongo tunaihisi kwenye mamovie tena ya...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, Nilikuwa nikifanya field katika Kampuni flani ya Ujenzi,,
Nikajenga urafiki na mtoto wa moja ya Wakurugenzi wa Kampuni (G), alikuwa akisoma Marekani.alikuja Dar kama likizo.
Tukaenda kula bata Billcanas.
Demu wa G akaja na rafiki yake, vitoto vya ushuani.
Mwamba...
Wewe ni bosi upo kampuni flani au kwenye taasisi ya serikali lakini unatumia mamlaka yako vibaya kwa kuwakandamiza na kuwanyanyasa walio chini yako na kuwadhulumu stahiki zao, nini faida ya yote hayo unayoyafanya?
Zikitangazwa ajira kwenye ofisi yako unaitisha interview kama formality tu lakini...
Habarini,
Unakutana na mdada unamuona mzuri, na personality yake inaridhisha kiasi, unaanza kumtongoza (anakubali) mnakua kwenye courtship phase, jinsi mnavokaa na kuongea nae miezi kadhaa inapita, jinsi muda unavoenda, interest yako kwake inashuka (hapo hujala mzigo) mwishowe mtu unaanza...
Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi ilikuwa ishasema ndani ya masaa 24 au 48. Kilichotokea kiliendana sawa sawa na kauli za viongozi wa...
E bana jana kwenye bajaji nimekutana na jamaa mmoja anakipaji cha kuchekesha, angepata exposure sipati picha kwenye stage angekalisha sana.
Tulikua abiria watatu na dereva, pikipiki ikapita kwa speed sana ndio akaanza kuelezea mkasa wake wa ajali wakiwa wamepakizwa kwenye fekon huko mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.