Salaam wakuu,
Je, ulishawahi kupoteza kitu cha muhimu sana wakati ulipokuwa unakihitaji sana?
Mimi ilinitokea 2013, nilisafiri kwa mara ya kwanza kwenda Mwanza, nilikuwa na mwenyeji wangu aliyekuwa ananisubiria, yeye alikuwa eneo linaloitwa Magu.
Tuliwasiliana hadi nafika nyegezi, huku...