Wanabodi Hamjambo...
Ni Wazi Kila Serikali Duniani Nia Na Lengo Lake Ni Kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi Wake. NA ndio Maana Moja Ya Slogan Katika Kupindi Cha JK ni MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.
Katika Muktadha Huo, Kama Ningepata Nafasi Ya Kua Na Ushawishi Katika Chama, Bunge Na Serikali...
Mpo salama!
Kama utafuatilia mikutano na mambo ya CHADEMA utagundua kuwa Sugu ushawishi wake umeshuka Sana.
Yaani akiwepo sehemu ni kama hayupo hivi. Yaani huwezi kujua yupo au hayupo.
Hakuna anayemzingatia Sana Wala Waandishi wa habari na wachukua kamera hawana habari naye.
Na ukimwon labda...
"....Lazima tujiulize, tumewakosea wapi WANANCHI hadi kupelekea hawaiamini tena Chadema?"
"....mfano, imefikia M/kiti akiitisha maandamo anaye jitokeza ni binti yake na yeye peke yake-kwanini?!"
"....watu waliokuwa tayari kutufia, sasa wana kiona Chadema kama rafiki kipenzi wa CCM."
Tundu.
Nimecheka kweli, Bw Manara kaita wasanii ambao hawana influence yoyote hapa nchini na kuwasihi watumie platform zao kuhamasisha watu kujaa uwanjani, hivi kweli jaman washabiki wa mpira wanaweza kwa mfano kushawishiwa na Diamond t ambaye ana influence kubwa kwenda kuiona timu yao ikisambaza Gusa...
Kuna viashiria vingi vya chama chenye nguvu na wafuasi wengi. Mojawapo ya viashiria hivyo ni wingi wa watu wanaojitokeza wakati chama hicho kikifanya michakato yake ya ndani kama vile uchaguzi mkuu, n.k.
Tofauti na CCM, mchakato wa uchaguzi mkuu wa viongozi ndani ya CHADEMA umevuta hisia kali...
Wanabodi,
Kwa Tundu Lissu na Freeman Mbowe uwenyekiti wa CHADEMA ni title na umaarufu na wala hauta badilisha sana majukumu ya wote kwenye chama. Mjumbe ambaye anataka kuwa mwenyekiti na hayupo kwenye kamati kuu ya chama, anaweza kupata mabadiliko makubwa ya ushawishi na uwezo wa kutekeleza...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa...
Mimi maji ninayopendelea kunywa tangu nafika Dar es Salaam ni maji brand ya Uhai, yalipokuja Hill water niliyapenda kwa sababu ya muonekano wa chupa yake na portability yake. Nimeona matangazo ya maji mengi lakini sijawahi kufikria kununua maji kwa sababu ya kushawishiwa na influencer...
Viwango vya uungwaji mkono wa marais na kupungua ushawishi wao duniani na kwenye nchi zao,tunaweza kutumia vyanzo vya kimataifa vyenye kuaminika kama
Morning Consult, ambayo hutoa takwimu za mara kwa mara kuhusu uungwaji wa mkono wa viongozi na huwa wanachapisha taarifa hizi kila siku...
Hapa kuna orodha ya nchi zinazoongozwa kwa sera za kidini au ambazo dini ina ushawishi mkubwa kwenye serikali na sheria za kitaifa. Nimezipanga kulingana na dini husika:
1. Uislamu (Nchi za Kiislamu)
Nchi hizi zinafuata sheria za Kiislamu (Sharia) kikamilifu au kwa kiwango kikubwa katika mfumo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna mwanadamu mmoja na Raia mmoja ambaye kwa sasa ndiye anayependwa , kukubalika,kuungwa mkono na mwenye ushawishi wa hali ya juu sana hapa Nchini.Ndiye Binadamu ambaye asipoonekana hata kwa siku moja tu hadharani watu wanaanza kumtafuta kama Pesa.Ni kiongozi ambaye...
Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru
Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo.
Robotic megaport that operates...
Habari Wakuu!
Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea.
Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu
Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star àmbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya kimataifa Kutoka kwàke.
Mwanamke mwenye mvuto zaidi na mwenye ushawishi ikibidi kuliko wote JF Kwa Mwaka...
Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika
Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.
Kawawekea matozo ya kila...
Nina muda kidogo nimekuwa mteja wa mabasi kwa kusafirisha vifurushi na mizigo midogo kutokea Arusha kwenda Dar na Morogoro, nimebaini mapungufu mengi na ubora wa huduma kati yao, the best nime baini ni kampuni ya BM ni seme kwanini:
1.Wao hawalazi mizigo na vifurushi endapo kuna basi la...
Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035.
waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji...
Wanaukumbi.
MBOWE KATAPIKA MAPEMA SANA WAKATI KAZI NDIYO INAANZA
NI KICHEKESHO sana kwa Mbowe ambaye ni kinara wa kuropoka kauli za hovyo na za uongo juu ya CCM ,serikali na Rais Samia ambazo wangeamua kumpeleka mahakamani basi angekuwa na kesi mpaka mahakama ya mwanzo Buguruni kwa kuwa...