ushawishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Rais Ruto anajiamini mno, ni miongoni mwa marais wenye nguvu na ushawishi zaidi Afrika Mashariki

    Anaongoza Serikali yenye viongozi wakuu waandamizi watatu tu serikali kuu, yaani Naibu wa Rais RigyG, Musalia Mudavadi Prime Cabinet Secretary ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje na kaimu wa waziri wa wizara zote Kenya zilizovunjwa majuzi.. Ni katika harakati za kubana matumizi, lakini pia...
  2. Yoyo Zhou

    Ushawishi wa G7 wapungua kutokana na vitendo vya kinyume na mkondo wa zama

    Mkutano wa kilele wa G7 umefungwa hivi karibuni huko Puglia nchini Italia. Taarifa iliyotolewa baada ya mkutano huo kwa mara nyingine tena imekashifu China katika masuala mbalimbali bila ya msingi wowote. Kuhusu migogoro kati ya Russia na Ukraine na kati ya Palestina na Israel, msimamo wa kundi...
  3. Mcheza Piano

    Nataka kutumia ushawishi wangu kusababisha uhaba wa chumvi nchini

    Nataka packet 1 ya chumvi iuzwe Elfu 7 na chumvi iwe bidhaa adimu. Muda wa umaarufu wa sukari umekwisha, sukari si muhimu kama chumvi. Nikileta uhaba wa chumvi mtanyooka si mijini wala mashambani.
  4. Tlaatlaah

    Mwenye ushawishi mkubwa kisiasa CHADEMA

    Viongozi waandamizi chadema kwa mfano, Lissu na Mbowe, wana nguvu sana kisiasa, wana uwezo mkubwa kujieleza, kutetea na kujenga hoja, wana maono, vipawa vya kipekee sana, nia, dhamira njema, ndoto, hulka za uongozi. Kwa hali halisi ya kisiasa wakati huu, na kwa nguvu na uwezo wao binafsi, ni...
  5. instagramer

    Nani ni maarufu sana eneo unaloishi? Nini chanzo cha umaarufu wake?

    Katika Kila mtaa hua Kuna mtu mmoja ke au me anakua na umaarufu Mkubwa Sana na nguvu ya ushawishi either kwa mabaya au mazuri. Anaweza kua mcheza mpira, kibaka, Malaya, bondia, mwanasiasa, mfanyabiashara, tapeli, mchawi au vyovyote vile. Mi naanza na huyu.. Hapa Nyakato bana Kuna jamaa mmoja...
  6. Roving Journalist

    Mafunzo ya Usalama wa Wanahabari na Watu wenye Ushawishi

    Waandishi wa Habari wa kike na Watu Wenye Ushawishi wameshiriki warsha ya Siku moja iliyohusu kujengewa Uelewa wa Usalama wao katika masuala ya Mtandao, ilifanyika Mei 7, 2024 ikiandaliwa na Taasisi zisizo za Kiserikali, JamiiForums kwa kushirikiana na CIPESA. Warsha hiyo ililenga kuangalia...
  7. W

    Baadhi ya Waafrika waliopo kwenye orodha ya watu 100 wenye ushawishi duniani

    Kwa mujibu wa jarida la Times limetoa orodha ya watu 100 wenye ushawishi zaidi duniani kwa mwaka 2024 tarehe 17, Aprili 2024. Orodha hii imejumuisha watu wanaoshughulika na sekta mbalimbali kama biashara , Sanaa, michezo, muziki na nyingine nyingi. Wafahamu baadhi ya waafrika waliopo kwenye...
  8. Moto wa volcano

    Wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto, kuwa makini kama umezaa na mwanamke ambaye hauishinaye

    Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa. Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke uliyezaanaye usitegemee watoto watakuja kukutambua. Nafahamu sio wababa wote ambao hawatoi huduma...
  9. Abraham Lincolnn

    Zanzibar: Wadaiwa kuitwa Mgogoni kwa Rais Samia na kupewa msaada wa Tsh. 5,000

    Nimeshangaa sana kiongozi mkubwa kutumia fedha kufanya ushawishi na kampeni wakati huo huo ulikuwa na nafasi ya kubadilisha maisha ya hao wanaopokea fedha hiyo kwa kuandaa mazingira rafiki ili uchumi wao uweze kukua! Fedha hiyo ingetumika kujenga masoko mazuri na miundombinu bora ili kina mama...
  10. DR Mambo Jambo

    Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

    Maneno hayo aliyasema Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipoulizwa kwanini Kamati kuu wamekata jina la Lowasa licha ya kuwepo kwa Ushawishi mkubwa na kupendeka sana kwenye Chama hicho na Hasa kuwa na ushawishi mwingi kwa wananchi.. Kama tutakumbuka mwaka huo huo...
  11. Erythrocyte

    Lissu: Baada ya Nyerere aliyefuatia kwa ushawishi alikuwa Lowassa

    Tundu Lissu amefika kwenye Msiba wa Lowassa kuhani na kuwapa pole Wafiwa , ambapo amemmwagia sifa Lowassa na kuzungumza kwamba baada ya Nyerere Lowassa ndiye Mwanasiasa aliyefuatia kwa Ushawishi . Amedai kwamba wanasiasa wengi waliokufa na hawa waliopo walipata umaarufu baada ya kuwa...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka. Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi. Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
  13. Suzy Elias

    Pre GE2025 Ushawishi wa Makonda ni mbingu na ardhi na wa Nchimbi

    Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi. Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo. Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala...
  14. R

    Tunategemea CCM waje na Katibu Mkuu mwenye nguvu ya ushawishi au waendelee kuwekeza kwenye tume na dola?

    Hali ilivyo nchini kuna njia mbili yakuamua siasa za 2024 hadi 2025. Njia ya kwanza ni chama cha mapinduzi kuweka kwenye safu yake viongozi wenye ushawishi kwa jamii. Kwa mtazamo wangu hakuna jina la katibu mkuu linaweza likawa na ushawishi kuliko jina la makamu mwenyekiti bara Ndugu Kinana...
  15. Mhafidhina07

    Kutoa msaada ni njia mojawapo ya kujionesha ili upate ushawishi wa kumtapeli mpokeaji

    MSAADA ni kiasi au idadi ya kitu ambacho kinatolewa kwenda mtu fulani ambaye huonekana kuwa anauhitaji wa hicho kitu hivyo msaada kwa maana ya haraka kuwa ni njia ya kujionesha kuwa unatoa fungu fulani ili kupata ushawishi kwa lengo au watu fulani mara nyingi tumezoea kuona wanasiasa wakitoa...
  16. Nigrastratatract nerve

    Pre GE2025 Inadaiwa, Mbunge wa Busega Bwana Simoni Songe amewahonga wajumbe 800 kila mmoja elfu thelathini kama ushawishi wa kuja kuchaguliwa

    Kuna Madai ya Mbunge wa Jimbo la Busega bwana Simoni Songe hivi karibuni mwezi December mwaka 2023 aliwaita wajumbe wa CCM 800 na kuwahonga kila mmoja elfu thelathini alitumia kama million25 kwamba kiongozi anaenda Bungeni anapewa posho ya Kuja kuwahonga walipa kodi lakini vyombo vya dola...
  17. N

    Mtazamo wangu; Viongozi wenye ushawishi zaidi kwa mwaka 2023

    1. Samia Suluhu Hassan Huyu ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,pia mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,chama kikongwe na cheye heshima kubwa sana barani Afrika,taarifa zisizo rasmi zinasema chama hiki kina wafuasi zaidi ya millioni 35 ndani na nje ya mipaka ya Tanzania,kwa mtazamo...
  18. Kididimo

    Mtaka hujui kusema Makonda yuko sahihi 100% kinakupunguzia ushawishi ndani na nje ya CCM? Ungekaa kimya ingefaa zaidi

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, cha kila Jumatatu, kaonyesha misimamo yake. Kuwa, anapenda aone wananchi wana uelewa wa kutosha kuhusu maono ya Mama yetu Raisi. Na kuwa yeye (Mtaka) hukaa na viongozi wenzake kutafsiri na kutekeleza maono na matarajio ya Raisi kwa...
  19. Pang Fung Mi

    Usioe mwanamke bikra kwa ushawishi wa lazima. Bikra ambae hajakupenda mbeleni atakuumiza vibaya

    Wale viherehere wa kuoa nawasanua zingatieni ushauri huu ukitaka kuoa bikra hakikisha unaoa anaekupenda haswaa ila ukitumia ushawishi wa kiwaki huko mbele utauona moto, mwanamke ana evolve kwenye nyanja zote Wadiz
  20. Nelson Jacob Kagame

    Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

    Sauti inakuja kichwani jiue....!!! Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue. Maisha yakibana jiue..... Matarajio yakifutika jiue.... Makwazo yakitokea jiue... NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA...
Back
Top Bottom